Wananchi wa Mbeya wana utofauti mkubwa sana na Watanzania wengine

mikoa radical tanzania ni mitatu , mbeya, kilimanjaro na musoma. hii mikoa naivulia kofia kwa kuwa na msimamo mkali wa kisiasa na uzarendo.hawadanganyiki wala kuwa machawa. piga mahesabu machawa wavumao wametoka mikoa gani. utalia machozi!
 
Watu wa mbeya na watu wa kanda ya ziwa hasa wasukuma wanajulikana hata na serikali kwamba ikitokea uvamizi toka nje wao ndio watakua msaada mkubwa katika kulikomboa taifa... Sisi wengine tutaongeza nguvu tu sababu tuna miili midogo alafu ni waoga
Wasukuma 😆😆😆😆 hao hata katika wale wapigania uhuru hawapo. Hawa ni machawa na makatili. Kwa watu wenye haki
 
Wasukuma 😆😆😆😆 hao hata katika wale wapigania uhuru hawapo. Hawa ni machawa na makatili. Kwa watu wenye haki
Watu wa Mbeya wamenivutia sana. Yaaani wamama, wazee na vijana wanaacha shughuli zao na wanaingia maporini kumtafuta mtu.

Hii Tanzania sijawahi iona sehemu zaidi ya Mbeya. Hawa watu wapewe maua yao.
 
Km kuna mstari tunatakiwa kuchora km nchi..tuchore watu wa pwani mwisho kuongoza nchi hii!
Mwisho wa sisi kuongoza tutajigawa , hatuwezi kuongozwa na watu wa porini...Tunataka uhuru wetu ,tuwe sehemu yq Zanzibar.
 
mikoa radical tanzania ni mitatu , mbeya, kilimanjaro na musoma. hii mikoa naivulia kofia kwa kuwa na msimamo mkali wa kisiasa na uzarendo.hawadanganyiki wala kuwa machawa. piga mahesabu machawa wavumao wametoka mikoa gani. utalia machozi!
Hiyo mikoa ya mipakani ina watu wengi ambao sio watanzania ni wa nchi jirani

Hiyo iliyobaki ndio ya watanzania halisi

Watanzania halisi hupenda amani na utulivu na hutii sheria bila shuruti
 
Watu wa Mbeya wamenivutia sana. Yaaani wamama, wazee na vijana wanaacha shughuli zao na wanaingia mapolini kumtafuta mtu.

Hii Tanzania sijawahi iona sehemu zaidi y Mbeya. Hawa watu wapewe maua yao.
Kweli mkuu ila kuna mtu kasema wasukuma nao ni wapigania haki. Nimekuja nataka kuoneshwa msukuma mpigania haki hapa Tanzania tumjue. Km sio kina bashite tupu na meko. Type za watemi
 
Walikata umeme mkoa mzima
Asubuhi hadi jioni.
Kweli watu wamechanganyikiwa😂
Sasa umeme unazuia mkutano??
Wakatufanya hadi tusio kuwa na habari, tupate habari kwamba Lissu anakuja.
Kumbe 🙌
Kweli lisu ni Habari nyingine aisee
 
This is rubbish, JF mnaruhusije huu upuuzi?
 
Hiyo mikoa ya mikani ina watu wengi ambao sio watanzania ni wa nchi jirani

Hiyo iliyobaki ndio ya watanzania halisi

Watanzania halisi hupenda amani na utulivu na hutii sheria bila shuruti
Mbona kigoma asilimia kubwa ya raia wa mkoa ule ni warundi ila wamejaa ujinga sana?

Machawa wote hapa mjini wanatoka Kigoma. Watu wanaojipendekeza wote wanatoka Kigoma.

Angalia anayeongoza kurudisha nyuma harakati za ukombozi wa kisiasa nchini Tanzania bwana Zitto Kabwe nae anatokq Kigoma. Yeye yuko kwenye payroll ya CCM ku sabotage upinzani wa kweli kuikomboa kweli Tanzania.
 
Waliomteka wanawachora tu, yule mzee alipokanusha kuwa hawajamkamata shughuli iliishia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…