Wananchi wa Mbeya wana utofauti mkubwa sana na Watanzania wengine

Hawawezi kumpata huko, Chadema bado wanamfanyia makeup ya manundu na kumpaka tomato
 
Unamaanisha nni
 
Nyie walevi ,tunawaona ni watu wachafu ..inakuwaje mnakisi na meno yenu hayo?
 
Wamenyooka kama rula,anatuangusha Mwashambwa tuu huko ndio maana tulimtupia Songwe wamfundishe aache ushamba!
 
Watu wa mbeya na watu wa kanda ya ziwa hasa wasukuma wanajulikana hata na serikali kwamba ikitokea uvamizi toka nje wao ndio watakua msaada mkubwa katika kulikomboa taifa... Sisi wengine tutaongeza nguvu tu sababu tuna miili midogo alafu ni waoga
Tuna miili midogo na ujuaji kama wa sungura
 
Watu wa mbeya na watu wa kanda ya ziwa hasa wasukuma wanajulikana hata na serikali kwamba ikitokea uvamizi toka nje wao ndio watakua msaada mkubwa katika kulikomboa taifa... Sisi wengine tutaongeza nguvu tu sababu tuna miili midogo alafu ni waoga
Mmesahau kuwa kiboko ya M 23 Kule Congo alikuwa Major General Mwakibolwa? Mwaisa kutoka Langbosh!
 
Hakuna kina Sangoma mbeya. Alipaswa kutafutwa kwa rada na kufungulia radi ya kwenye jua kali wote waliohusika.
 
Wana Mbeya kasoro Sabwufa na Mwashamba lakini wale wapenda HAKI wote 🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…