Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
- Thread starter
-
- #41
Mkuu unadhani watakamata kwa utaratibu...? Wataingia kjijijni kwa nguvu na kubeba kila wanaekutana nae mbele ya macho yao.Utakamata wangapi kwa matokeo hayo hiyo ilikuwa ni mob war labda wajitutumue kwa mamlaka yao kukamata yeyote ila kikubwa ni sheria zifuatwe kati ya wawekezaji,maafisa ardhi na wananchi.
Kimekuna mkuu..!!Mungu wangu
Hizi stress ni shida! Sasa mgogoro utaishaje kwa namna hii!!!?Hatari sana.Wananchi wenye hasira wamewashambulia watumishi wa Ardhi kutoka wilaya ya Mlimba na kuchoma magari, pikipiki pamoja na vifaa vyao vingine wakati wakiendelea na zoezi la uhakiki wa mipaka ya mashamba yanayogambaniwa na muwekezaji na wananchi wilaya ya Mlimba, Morogoro.
Watumishi wa ardhi waliokua kwenye hilo zoezi wamejeruhiwa vibaya...
Unyanyasaji ukivuka viwango vya uvumilivu haya ndio matokeo yakeKimekuna mkuu..!!
Wanamlinda sabaya!Sehemu yenye mgogoro ilikuaje hao wapima ardhi kwenda bila ya kua na ulinzi?
Serikali ijiandae kulea yatimaHapo kijiji kinahamia msituni kujificha π
Ilikuwa dodoma vijijini kama sikoseiInategemea wataalamu waliingia na lugha gani,unaweza kuta hata mwenyekiti wa kijiji hakujulishwa,wanakijiji wana lugha zao hasa ikizingatiwa kwamba kuna mgogoro,
Kuna mwaka Fulani watafiti kama sikosei kutoka SUA walichomwa moto wote na gari lao waliingia maporini huko bila taarifa
Hao wote uliowataja siyo chaguo la wananchi wa eneo husika na ndiyo kiini Cha tukio kama hilo..Mwenyekiti wa Kijiji hajashinda uchaguzi,Diwani na yeye hivyo hivyo na mbunge pia..CCM ni Washamba Sana ,waache wananchi waongozwe na watu waliowachagua wao,siyo kuiba tu kura na kubadilisha matokeo.Yaani hapo no DC naanza na madiwani wote , wenyeviti wote wa vijiji halafu kijiji kinakuwa kwenye quarantine kwa mwezi mzima. Kuluh nalah mulluhu
Mungu w
Mshana usishangalie mkuu. Mlimba Kuna matatizo makubwa na Jimbo lote viongozi ni CCM . Wakija Huku wanajifungia kwenye maVX. Taarifa zikiandikwa kutumia tamisemi wanasema HALI YA ULINZI NA USALAMA NI SWARI.Mungu wangu
Nadhani kuna kubwa limejificha katika vurugu hizo.ijapo kuwa walichokifanya ni cha hovyo kabisa,ila serikali ichunguze kwa makini kiini chache kabisaWananchi wenye hasira wamewashambulia watumishi wa Ardhi kutoka wilaya ya Mlimba na kuchoma magari, pikipiki pamoja na vifaa vyao vingine wakati wakiendelea na zoezi la uhakiki wa mipaka ya mashamba yanayogambaniwa na muwekezaji na wananchi wilaya ya Mlimba, Morogoro.
Watumishi wa ardhi waliokua kwenye hilo zoezi wamejeruhiwa vibaya, japokua hakuna kifo kilichorpotiwa hadi sasa.
View attachment 1885041View attachment 1885043View attachment 1885046View attachment 1885047
kama ni mimi sasa hivi ningekuwa nishapita namangaHapo kijiji kinahamia msituni kujificha π
Miamba inaenda kuishi kama digidigi na bush kulivyo na usnitch kujificha ni mbinde sana πHapo kijiji kinahamia msituni kujificha π
Ni Tanzania tu utakutana na mambo haya kwa wenzetu wenye akili wangeanza kwanza na hao watumishi waliochukua rasilimali za serikali siku ambayo siyo ya kazi na kwenda nazo site!Trust me , punde si punde kuna majitu yatalia na kusaga meno fasi ya mlimba wamechoma ndinga ya serikali, bodaboda ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania na tripod stand ya serikali pia wamewadunda watumishi wa umma wakiwa wanatimiza majukumu yao
Sawa captain kinjekitile ngwale unaamini utaweza kupambana na mwenye bunduki wewe ukiwa na rungu,Kafie mbele!Uonevu ukizidi serikali kwa wananchi matokeo yake ndiyo haya.
Kwa taarifa yako nchi nzima kituo kinachofuata ni polisi
Dah haya mambo sio kabisa nakumbuka vizuri nilimpoteza kijana alikua mwanafunzi wangu kutoka chuo cha madini alikua field kwenye hicho Kituo cha Utafiti was Udongo Selian ArushaInategemea wataalamu waliingia na lugha gani,unaweza kuta hata mwenyekiti wa kijiji hakujulishwa,wanakijiji wana lugha zao hasa ikizingatiwa kwamba kuna mgogoro,
Kuna mwaka Fulani watafiti kama sikosei kutoka SUA walichomwa moto wote na gari lao waliingia maporini huko bila taarifa