Hivi ni sheria ama mmejipangia hii ya kulala bila nguo πππNdio ilivyo, tena mlale uchi ili mpatane usiku huo huo. Hakuna tendo linalofanyika bila nafsi kuridhia, ukisharidhia mkimaliza tu mtayajenga na mnuno utaisha.
ππBasi tumekwishaaaa ππππ
Unapenda kupigwa/kupigana??..kwisha habari yakoπ
Kulala uchi ni tamaduni ya wanandoa, sio wote though kwa sababu binafsi sipendi, labda siku ya tukio na likiisha natafuta bukta chaap π€£π€£Hivi ni sheria ama mmejipangia hii ya kulala bila nguo πππ
Ikitokea emergency usiku inakuwaje ππ
Kuna mmoja alikuwa ana tabia ya kulala na kanzu, ndani havai chochote, siku hio katoka nje kakutana na wezi, akaanza kukimbizwa, akaona kama kanzu inampa uzito wa kupiga hatua zaidi ikabidi atupe kanzu, jamaa alikuwa anakimbia uchi bajaji haifiki ile spidi...Hivi ni sheria ama mmejipangia hii ya kulala bila nguo πππ
Ikitokea emergency usiku inakuwaje ππ
ππSi unaona Sasa Mimi nilipitiwa na usingiz nilivaa kinight dress ukilala kinapnda juu choteKuna mmoja alikuwa ana tabia ya kulala na kanzu, ndani havai chochote, siku hio katoka nje kakutana na wezi, akaanza kukimbizwa, akaona kama kanzu inampa uzito wa kupiga hatua zaidi ikabidi atupe kanzu, jamaa alikuwa anakimbia uchi bajaji haifiki ile spidi...
Baada ya kuwapiga chenga wezi, si akaanza kurudi nyumbani, kufika nyumbani kupiga hodi anaona noma familia ikitoka yupo kama alivyo zaliwa... Aisee ilikuwa noma sana...
Wanaolala na kanzu wanajielewa, watapita hapa kimya...
ππKulala uchi ni tamaduni ya wanandoa, sio wote though kwa sababu binafsi sipendi, labda siku ya tukio na likiisha natafuta bukta chaap π€£π€£
Shukuru hio night dress iliyopanda juu iliwachanganya sana wezi wakashindwa kuiba...ππSi unaona Sasa Mimi nilipitiwa na usingiz nilivaa kinight dress ukilala kinapnda juu chote
Usiku naashwa jirani chumba Cha pili kaibiwa nikasema lahaula kuja kuangalia dirisha langu liko waz kioo kimesogezwa wavu wa ndani umesogezwa ila walishindwa kuiba πππYan wale wez km walichungulia ππ
πππMuone Kwamba walichanganyikiwa ila walinichungulia bhana sio uongoShukuru hio night dress iliyopanda juu iliwachanganya sana wezi wakashindwa kuiba...
Mwizi anapoingia ndani akikosa cha kuiba atakunywa hata maji aondoke...
Walifaidi sanaπ€£π€£ππSi unaona Sasa Mimi nilipitiwa na usingiz nilivaa kinight dress ukilala kinapnda juu chote
Usiku naashwa jirani chumba Cha pili kaibiwa nikasema lahaula kuja kuangalia dirisha langu liko waz kioo kimesogezwa wavu wa ndani umesogezwa ila walishindwa kuiba πππYan wale wez km walichungulia ππ
Walipagawa na mali ya mwilini badala kuiba...hapo waliwaza mengi wakaona wafaidi kwa picha, potelea pwete kuiba π€£π€£π€£πππSi unaona Sasa Mimi nilipitiwa na usingiz nilivaa kinight dress ukilala kinapnda juu chote
Usiku naashwa jirani chumba Cha pili kaibiwa nikasema lahaula kuja kuangalia dirisha langu liko waz kioo kimesogezwa wavu wa ndani umesogezwa ila walishindwa kuiba πππYan wale wez km walichungulia ππ
Wakati niko chuo nilikuwa na kitanda chat futi nne, mchuchu alisema kitanda kidogoo, nilimjibu "ndo kizuri kwa mgusano maana huendi mbali" πWalifaidi sanaπ€£π€£
Mazingira hayaturuhusu kulala bila nguo, ila ni jambo jema sana kama mazingira yako vizuri. Pia vitanda visiwe vikubwa, 6x6 inaharibu sana ndoa.
Hivi huwa mnapata kabisa usingizi taa inawaka?πππMuone Kwamba walichanganyikiwa ila walinichungulia bhana sio uongo
πππIla nyieWalipagawana na mali ya mwilini badala kuiba...hapo waliwaza mengi wakaona wafaidi kwa picha, potelea pwete kuiba π€£π€£π€£π
Huwa nazima taa siwez kulala taa kilichonikuta nilikuwa nachat nikapitiwa na usingizi ndio maana hata dirisha sikufunga πHivi huwa mnapata kabisa usingizi taa inawaka?
Sema kosa uliwasha taa..
UmekwishaSipewi aisee
Ni kweli ila kupigina hapana hasa kwa watu wazima watu watambue ukimpiga mtu mzima lazima kutakuwa na hali fulani ya chuki au kisasi hata watoto baadhi anaweza kuchukia mzazi wake kama kupiga itakuwa sehem ya kuelekezanaHata mm nilisikia wakubwa wanasema wanandoa wasilale wakiwa wamenunia usiku huo huo mambo yaanze
Na wewe umekubali kabisa kupewaSipewi aisee
kama ni mkeo wa NDOA mbembeleze tu..Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
Pole sana , nadhani kuanzia hio siku hujafanya makosa..Huwa nazima taa siwez kulala taa kilichonikuta nilikuwa nachat nikapitiwa na usingizi ndio maana hata dirisha sikufunga π