Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
“ndipo akakutana na basi la Luwinzo uso kwa uso.”
Duh na hii mashine inavyokuwaga moto mkali, lazoma ajali ilikuwa na impact kubwa sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
“ndipo akakutana na basi la Luwinzo uso kwa uso.”
Mkuu, walikuwa wanakuja huku Makongolosi kwenye msiba wa mtoto wa kaka yake Noah aliezikwa tarehe 20 December.Ndoa siku 4 unasafiri vipi?
Ilipaswa wakae sehemu kwanza ajili ya mapumziko mafupi baada ya kufunga ndoa.
Lilikuwa vibe la mwisho [emoji24]Ila hili vibe kwenye sherehe sijui wanalipataga wapi [emoji2]
Rip makamanda
Chanzo cha ajali:Chanzo cha ajali: TUTA
...Ajali Haileweki Vizuri. Eleza Vizuri. Isiwe kama Unawahi 'Like' ![emoji846]....Hizi ajali zinazidi kumaliza watu. Ajali hiyo imetokea Iringa ambapo watu 3 wakiwemo wanandoa ambao wamefunga ndoa siku 4 zilizopita.
======
Noah na Agnes wamefikwa na mauti katika ajali hiyo ikiwa ni siku nne zimepita tangu walipofunga ndoa, Desemba 17, 2022 jijini Arusha.
Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi akizungumza na Mwananchi Digital amesema, waliofariki katika ajali hiyo ni watatu wakiwemo askari wawili wa Polisi, Mkoa wa Arusha, Noah Semfukwe (30) aliyekuwa dereva na mkewe, Agnes Kiyeyeu (27).
![]()
Gari lililopata ajali na kusababisha vifo vya watu watatu wakiwemo wanandoa Noah Semfukwe (30) na Agnes Kiyeyeu (27). Mwingine aliyekuwa kwenye gari dogo ni, Enocka Mbata (35), mkazi wa Iringa aliyekuwa kwenye gari hilo ambaye mwili wake umezikwa leo mkoani humo.
Kamanda huyo amesema, ajali hiyo ilitokea saa 3:05 asubuhi wakati gari hilo dogo aina ya Vits kulipiga katika tuta kubwa, ikaenda kwa kasi mbele na kukawa na lori mbeye yake, ikamlazimu kulipita, “ndipo akakutana na basi la Luwinzo uso kwa uso.”
Amesema miili ya askari hao imehifadhiwa Hospitali ya Mkoa wa Iringa na kesho Alhamisi, itasafirishwa kwenda Makongorosi, Mkoa wa Mbeya kwa maziko.
Sasa hao wachawi nao wameingiaje tena kwa ajali!? Au wametajwa na report ya uchunguzi wa ajali hiyo kuwa Wachawi ndiyo chanzo cha ajali hiyo!!??Wachawi watu wabaya sana hawafai kuishi hapa duniani....
Soma attachment ya gazeti hapo nimeweka...Ajali Haileweki Vizuri. Eleza Vizuri. Isiwe kama Unawahi 'Like' ![emoji846]....
...Kweli. Na ndio maana husikii Ajali za Kijinga jinga za mara Kwa Mara kama Zetu !!..[emoji45][emoji45][emoji45]Wazungu wanavofundisha adabu madereva barabarani, HAWANA HAJA YA TUTA
Sehemu ya 80km/h ukaenda +100km/h
1. Wanakunyang'anya leseni wiki 2
2. Wanakupiga faini $450
3. Insurance company zinakucharge pesa ndefu ya bima inaweza toka 300$ to 700$ per year
Wanaheshimu barabara kuliko chochote
Jamani haya maisha dah. Tukiachana na mtu tunaliagaaa kumbe wenda Mungu anatuepushia mengi bila kujua.
...Hata ukiangalia gari la Marehemu hao utajua Impact ilikuwa Kubwa! [emoji45]Duh na hii mashine inavyokuwaga moto mkali, lazoma ajali ilikuwa na impact kubwa sana...
Mungu atuepushie mbali haya majanga, maana yamezidi kuteketeza maisha ya watu.
Sema baadhi yao sio woteChanzo cha ajali:
Watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, wakiendesha vyombo vya moto barabarani huwa hawaheshimu sheria za usalama barabarani.
Hii iwe fundisho kwa watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama.
R.I.P
Siku ukikutana nao au wakiwa kwenye msafara utaniambia.Sema baadhi yao sio wote
Mkuu dunia ina mengi.. baki kwenye sintofahamu hivyo hivyo.. maombi ndio jambo pekee litakalokuepusha na mabaya..Sasa hao wachawi nao wameingiaje tena kwa ajali!? Au wametajwa na report ya uchunguzi wa ajali hiyo kuwa Wachawi ndiyo chanzo cha ajali hiyo!!??
Hatupo duniani tuishi milele, tulishaambiwa tutakufa hakika, maombi hayatakuepusha na kifo.Mkuu dunia ina mengi.. baki kwenye sintofahamu hivyo hivyo.. maombi ndio jambo pekee litakalokuepusha na mabaya..
Dhuluma haijawai aacha mtu salamaPoleni familia na jeshi la polisi