Wanandoa wengi walishaachana kwenye nafsi zao ingawa kimwili wanaonekana wapo pamoja lakini si wamoja

Kwa hiyo wanawake watombweeee weee na wanaume watombeeee weew ndio waingie kwenye ndoa.
Sasa mbona tunafanya hivyo lakini kila leo ndoa ni negative things na divorce juu
 
Ndoa sio jambo la shuruti bali khiyari na ndio maana unaulizwa kama umeridhia.......ndoa inapokuwa tena ya kutupiana nguo na kuvunjiana milango baada ya kuyamaliza ndani inakuwa sio NDOA bali ni gereza
 
Damu ipi hyo? wakati mtu hukumkuta na UTEPE/BIKRA....
Anazungumzia muunganiko kupitia watoto.

Hakuna bond kubwa baina ya binadamu kama watoto, ndo maana ukioa Single mother upo kwenye hatari sababu ana bond na mwanaume mwingine.

Kupunguza hatari unatakiwa umzalishe hata watoto 3/5. Hapo yeye ndo atahofia kukupoteza wewe maana hiyo bond uliyoitengeneza ina nguvu.
 
Ndoa sio jambo la shuruti bali khiyari na ndio maana unaulizwa kama umeridhia.......ndoa inapokuwa tena ya kutupiana nguo na kuvunjiana milango baada ya kuyamaliza ndani inakuwa sio NDOA bali ni gereza
Alafu wanandoa wengi wasengez sana eti wana matatizo wanakuja kuomba ushauri nje. Ebo! Nyie sii mnaongea mkiwa uchi sasa mnashindwaje tatua matatizo yenu wenyewe mliyoyaleta mkiwa uchi
 
Kwa hiyo wanawake watombweeee weee na wanaume watombeeee weew ndio waingie kwenye ndoa.
Sasa mbona tunafanya hivyo lakini kila leo ndoa ni negative things na divorce juu
Hiyo safi maana kila mtu anakuwa hana uchu wa K au dyudyu! Mkioana mpaka kifo ndicho kitawatenganisha
 
Huyo evelyn salt anasema hivyo kwakuwa hapo alipo kuna angalau mkate unapatikana pengine, lkn ingekuwa pangu pakavu tia mchuzi asingejishebedua hivyo angelala mbele muda mrefu tu
 
Hapa nimekupata mkuu..

sisi kataa ndoa wagumu kuelewa, yaani nimeshndwa kuelewa hapa nikadhani unazungumzia bikra....
 
Ndoa sio jambo la shuruti bali khiyari na ndio maana unaulizwa kama umeridhia.......ndoa inapokuwa tena ya kutupiana nguo na kuvunjiana milango baada ya kuyamaliza ndani inakuwa sio NDOA bali ni gereza
Kitendo hicho hakitokei kama upande mmoja haujaanza Shari. Mtu akikupiga kofi, ukakaa kimya, hawezi rudisha la pili. Kwanza lazima ujue, mwanamke ndiye Nguzo ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…