Uhanga unawasumbua tu. Mkikua mtaziona za kawaidaEvidence suggests otherwise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhanga unawasumbua tu. Mkikua mtaziona za kawaidaEvidence suggests otherwise
Akaaaaahhh we endekeza tu hayo mambo Trump kishachomoa battery huko utapata kideli shauri akoKenge wee njoo tupige treesome ya kukaribisha february...mwezi wa wapenda nao
Una uzoefu wa ndoa wa miaka mingapi tuanzie hapo.Ndoa haipiganiwi bali inarekebishwa kwenye makosa ya kibinadamu na sio yale ya kukusudiwa.....
Apataye mke mwema, amepata kitu chema maishani mwakeNikisomaga nyuzi kama hizi hua naishia kushukuru tu Mungu, maana sio kwa uwezo wala ujanja wangu.... bali ni kwa neema na ukuu wake Mungu.
Ngoja nimsaidie kuandaa watoto twende kanisani..☺
Mbusus ya kwaida 🤣🤣🤣 u r dreaming my frendUhanga unawasumbua tu. Mkikua mtaziona za kawaida
Walikuwa wanatamaniana au sioWanandoa wengi (90%) hawakupendana hadi wanafikia kua wanandoa.
Zaidi ya miaka 50 tushazizoea rafiki yanguMbusus ya kwaida 🤣🤣🤣 u r dreaming my frend
Trump wacha achomoe ili waafrica tufe tuwaachie dunia wadhungu wenye akiliAkaaaaahhh we endekeza tu hayo mambo Trump kishachomoa battery huko utapata kideli shauri ako
Haizoeleki hiyo wewe, kula mbususu wacha uvivuZaidi ya miaka 50 tushazizoea rafiki yangu
Hahaha, Mkuu ila soma na mazingira ya sababu ya kufukuzana msije chomana visu vya makoromeo.Hata akinitoa nje akarusha na begi langu, napanda juu ya geti narudi tena ndani naingia jikoni kupika.....😹
8 kids mazee....🙂Mnawatoto wangapi. Wife kashavaa sunday best?
Kweli wee tomber tomber🤣🤣🤣🤣8 kids mazee....🙂
Usipo toka natoka mimi😁Marahaba bro, sa naondoka naenda wapi? Nikiondoka ni naenda tu dukani narudi tena.....😹
Siondoki broHahaha, Mkuu ila soma na mazingira ya sababu ya kufukuzana msije chomana visu vya makoromeo.
Hahaha, Baki mkuu.Siondoki bro
Nipo, yani nipo kabisa siendi popote akitoka atanikuta 😹Hahaha, Baki mkuu.
Hahaha, Hutaki kugawana mali? Au aondoke yeye.Nipo, yani nipo kabisa siendi popote akitoka atanikuta 😹
Acha kutupika bwasheeeHabari za jumapili waungwana wa jukwaa hili,
Katika hali ya kawaida kama ilivyozoeleka na wengi katika ulimwengu wa maraha na mahaba ukimuuliza mwanandoa sababu ipi iliyomfanya aolewe/ amuoe mwenza wake na kudumu nae miaka yote.....jibu linatakiwa kuwa jepesi kuwa
KWA KUWA NI CHAGUO LANGU NA NI YEYE PEKEE NIMEPENDAYE.
Linapokuja jawabu nje ya upendo na chaguo basi ni wazi NDOA hapo hakuna kwa kuwa ile sababu hasa iliyo wafanya kuwa pamoja imeshaondoka nafsini mwenu.
Ili maisha yaendelee mtu anaangalia cha ziada nje ya upendo uliokufa kama vile manufaa anayopata kwenye muunganiko huo kwa muda huo au kutoweza kumudu gharama za maisha baada ya kuwa na mzigo mzito wa majukumu.
Hadi kufikia hapo tena hakuna anayefurahia ndoa isipokuwa inakuwa gereza ambalo akimaliza Tu kutumikia kifungo na adhabu anaangalia ustaarabu mwingine.
Kama ni watoto wakikua na kujitegemea unashangaa mwenza anatumia muda mwingi kwa watoto kama ni biashara ikashaleta mafanikio na kujihakikishia kuwa anaweza kuishi peke yake ndio harakati za kudai uhuru zinaanza.
Haya mambo ninayoaandika ndio yanayoendelea kwenye ndoa nyingi mengine yapo wazi kama ukiwa karibu na wanandoa. Mengine yanafumuka baadae baada ya upande mmoja kupata uhuru wake.
Lakini kimsingi hasa ndoa inafungwa moyoni kutokana na ridhaa yako.
Uchunguzi usio kuwa rasmi na data mbali mbali kwenye jamii ambapo humo humo tunaishi na wanandoa kama majirani, wafanyakazi wenzetu, wenye nyumba na wengine wapangaji wetu zinatanabaisha uhalisia wa haya mambo.
Ndio maana wanandoa wengi ambao NDOA zao zimekufa mioyoni mwao wanaishi kwa plan B ya miaka mingi ijayo.
BE WISE.
View attachment 3221822 CHOOSE WIFE, STAY SAFE.......