KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
- Thread starter
- #61
Sasa hapo nimekupika kivipi bwashee.....??Acha kutupika bwasheee
Ukitaka kifo penda kwa moyo wako kwanza unaingia vita ngumu sana maana moyo ni wa Mungu pekee jifanye upende kwa moyo uone kila rangi ya vita makaoni mwako
Kimsingi hupaswi kupenda kwa moyo
Unapaswa umpende kama unavojipenda wewe
Lkn ukikuta ndoa imevunjika ktk nafsi za wanandoa wataishi kwa amani sana hakuna atakauemfuatafuata mwenzie maana hawako pamoja kabisa
Watu ambao bado nafsi zao ziko bondi ni wale wanaopigana matukio kumuumiza mwenzie
Ukikuta unaumia kwa x wako humtakii kabisa mema jua nafsi yako bado inabondi na huyo mtu .