Wanandoa wengi walishaachana kwenye nafsi zao ingawa kimwili wanaonekana wapo pamoja lakini si wamoja

Acha kutupika bwasheee

Ukitaka kifo penda kwa moyo wako kwanza unaingia vita ngumu sana maana moyo ni wa Mungu pekee jifanye upende kwa moyo uone kila rangi ya vita makaoni mwako

Kimsingi hupaswi kupenda kwa moyo
Unapaswa umpende kama unavojipenda wewe

Lkn ukikuta ndoa imevunjika ktk nafsi za wanandoa wataishi kwa amani sana hakuna atakauemfuatafuata mwenzie maana hawako pamoja kabisa

Watu ambao bado nafsi zao ziko bondi ni wale wanaopigana matukio kumuumiza mwenzie

Ukikuta unaumia kwa x wako humtakii kabisa mema jua nafsi yako bado inabondi na huyo mtu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…