KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
- Thread starter
-
- #61
Sasa hapo nimekupika kivipi bwashee.....??Acha kutupika bwasheee
Ukitaka kifo penda kwa moyo wako kwanza unaingia vita ngumu sana maana moyo ni wa Mungu pekee jifanye upende kwa moyo uone kila rangi ya vita makaoni mwako
Kimsingi hupaswi kupenda kwa moyo
Unapaswa umpende kama unavojipenda wewe
Lkn ukikuta ndoa imevunjika ktk nafsi za wanandoa wataishi kwa amani sana hakuna atakauemfuatafuata mwenzie maana hawako pamoja kabisa
Watu ambao bado nafsi zao ziko bondi ni wale wanaopigana matukio kumuumiza mwenzie
Ukikuta unaumia kwa x wako humtakii kabisa mema jua nafsi yako bado inabondi na huyo mtu .
Mi katika haya maisha sinaga muda wa kupoteza kuwaza mali za mtu yeyote, tena vitu ambavyo najua nitagombeaaaa afu nadanja naviacha hapo, hapana asee......Hahaha, Hutaki kugawana mali? Au aondoke yeye.
Mbona umezngumzia upande mmoja?Ndoa za siku hizi ni uozo mtupu! Watu wanaoana huku wanaendelea na mahusiano ya kimapenzi na wapenzi wao wa nje. Hakuna maadili ya ndoa ni vurugu tupu muda mfupi baada ya kupata watoto wawili. Ubinafsi nao ni chanzo cha kufa kwa ndoa. Unakuta jimama ni lifanyakazi au lifanyabiashara halitaki mapato yake yajulikane kwa mume wake, majimama mengine yanajenga kwao kwa siri bila mume kujua. Mume akijua siri hiyo huwa tafrani ndoani
Mkuu, ndoa inaunganishwaje kwa damu?Ndoa nyingi zimekufa kimwili (matanio ya mwili ) Na sio katika nafsi, hakuna kitu kigumu kama kuvunja Muunganiko katika nafsi ulio unganishwa kwa damu .. ila hili ni sie wa Imani.
Kabla sijakujibu, ndoa ni Spiritual au Physical?Mkuu, ndoa inaunganishwaje kwa damu?
Vyote viwiliKabla sijakujibu, ndoa ni Spiritual au Physical?
Wakati nikiwa kijana sikua mvivu sana kwenye eneo hilo🤣Kweli wee tomber tomber🤣🤣🤣🤣
Spiritual side ya ndoa ni ipi na physical ya ndoa ni ipiVyote viwili
Wanawake wengi (95.5%) wanaolewa na wanaume wasio wapenda kwasababu watapata wanachokitaka (pesa, maradhi, chakula na mavazi) ila hawana upendo maana wanaume wanaowapenda kwa wakati huo wanakua hawajajipata.Walikuwa wanatamaniana au sio
Kabisaaaa huo ndio ukweli. Women dont love u, they love the lifestyle u can provide basi.Wanawake wengi (95.5%) wanaolewa na wanaume wasio wapenda kwasababu watapata wanachokitaka (pesa, maradhi, chakula na mavazi) ila hawana upendo maana wanaume wanaowapenda kwa wakati huo wanakua hawajajipata.