Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Mi suala la hela kuingizwa kwenye mzunguko silipingi na hata sina uelewa nalo zaidi naliona humu nachosema mimi huu mfuatano wa hizo no mi nimeanza kuuona tangu zamani nikienda kuchukuaa hela bank napewa hela hizo no zimefatana hivo hvoHizo mpya zinatoka wapi wakati miaka miwili fedha haijapritiwa Kwa mujibu wa Waziri
Fedha iliyoingizwa kwenye mzunguko miaka miwili inaweza kuwa mpya lakini isiwe kwenye series
Naona umeshtukia matango pori🤣Mbona hii ni kawaida ukitoa hela ATM zikatoka mpya mpya uwa zinatoka kwenye mpangilio wa numbers?
Uwa hamzingatii?
Au mnapita tu na upepo wa Mange 🤔
Anyway
Wewe bwege utakufa kwa chuki ya umaskini!! Kwa hiyo hujawahi kupata noti mpya? Hiyo ndiyo kawaida noti mpya lazima ziwe kwenye serial numbers.Pesa zinaprinitiwa kama magazeti ya sani, ukitoka ATM namba zinafuatana Toka lini?pesa laZima ziprintiwe ili mikutano ya kampeni ijae
Kumbe ndo maana vijana wameamua kuita pesa yetu ati ni SASAMPA
Yaani hizi zinafaa kufundishia watoto kuheshabu
Zile accenting na descending numbers
Hii sio poa
View attachment 3492449View attachment 3492450View attachment 3492452View attachment 3492453View attachment 3492454View attachment 3492455View attachment 3492456View attachment 3492457View attachment 3492458View attachment 3492459
Kama hujawahi kukamata fedha mpya kaa kimya, usionyeshe ushamba wakoHizo mpya zinatoka wapi wakati miaka miwili fedha haijapritiwa Kwa mujibu wa Waziri
Fedha iliyoingizwa kwenye mzunguko miaka miwili inaweza kuwa mpya lakini isiwe kwenye series
Mmhhh. Waziri ni mwanasiasa na wanasiasa ni..........Waziri kasema miaka miwili hakuna fedha mpya au wewe ni chawa kuliko waziri
Pesa ikiprintiwa kuna shida gani?Pesa zinaprinitiwa kama magazeti ya sani, ukitoka ATM namba zinafuatana Toka lini?pesa laZima ziprintiwe ili mikutano ya kampeni ijae
Kumbe ndo maana vijana wameamua kuita pesa yetu ati ni SASAMPA
Yaani hizi zinafaa kufundishia watoto kuheshabu
Zile accenting na descending numbers
Hii sio poa
View attachment 3492449View attachment 3492450View attachment 3492452View attachment 3492453View attachment 3492454View attachment 3492455View attachment 3492456View attachment 3492457View attachment 3492458View attachment 3492459
Pamoja na kwamba sina uhakika(solid proofs) kuhusu kuchapishwa pesa lakini kuamini kauli za mtu caliber ya Mwigulu ni symptom mojawapo ya kichaa kilichokithiri, Mwigulu mwizi, fisadi na chawa wa bi Kijakazi aongee ukweli? Kwanza cabinet yote na makatibu wa wizara zote hakuna anayefanyia kazi interests za nchi na wananchi. Yaani mipango ni kuiba, kufisadi, kuwekeza overseas na kuua kila anayejaribu kudadisi, kuuliza au kukemea.Mwigulu kakanusha hilo la pesa kuchapishwa, kasema ni mchakato mrefu huchukua mpaka miaka miwili na zaidi ndio pesa zichapishwe kama kuna hali mbaya ya uchumi
Kuna uzi humu uliwekwa. Namna ya pesa zetu zinavotengenezwa na nchi inayotengenezaHii mada ikipata wataalamu wa uchumi akaja hapa akatoa darasa kwa maana ya elimu hata konda wa daladala au winga akaelewa itakuwa ni taarifa nzuri sana kwa jamii.
Binafsi sina elimu jiyo labda niingie chimbo, niitafute na kuisoma kutoka vyanzo sahihi kisha kuleta taarifa kamili hapa ambapo wengi wa umma watakuwa wamepata elimu ni nini hufanyika.
Kwa maana ya kwamba, serikali chini ya wizard ya fedha pamoja na BOT huwa wanachukua hatua gani ndo waone sasa kuna uhitaji wa kuingiza noti na safaru mpya sokoni ama kwenye mzunguko wa hela, pia ni wakati gani pesa zinazorudi BOT kama noti chakavu huwa zinaharibiwa na kuondolewa kwenye soko.
Ushawahi kujiuliza, mara ya mwisho kuona noti ya shilingi mia 5 kwenye mzunguko ni lini? Je BOT walikuja kuichukua kwenye pochi za wananchi? La hasha. Pesa inazunguka na namna inazunguka inajikuta imerudi ilikotoka ikiwa chakavu kiasi hakuna mtumiaji anayetaka kukaa nayo. Hapo wanafungulia batch mpya iingie kwenye mzunguko kupitia mabenki.
Mtoa mada umenipa chachu ya kwenda kusoma na kuitafuta hii elimu, nimeiona tamu kwangu. Na taarifa nyingine huwa zinakuwa wazi tuu kwenye websites /tovuti za wizara au benki kuu.
Pia fedha zetu huwa zinatengenezwa nchi gani na kila noti ama safari moja gharama/thamani yake ni shilingi ngapi... kwa maana ya noti ya elfu kumi moja kwenda kuiprinti huko inakoprintiwa serikali inalipa shilingi ngapi?
Kuna baadhi ya nchi hutoa elimu namna ya kutunza fedha ili noti na safaru zisichakae haraka ili kupunguza gharama ya kuprinti hela mara kwa mara. Kuna nchi ukikunja kunja noti haipokelewi kwenye mzunguko utakufa nayo, ila kwetu pesa zinafichwa kwenye soksi na boksa ili mtu asiibiwe zikitoka hapo zinamajasho ya utoko. Hata kama motu mpya mwezi tuu ishachakaa....
Wacha nikatafute taarifa za hii elimu....😊.
Kuna uzi humu uliwekwa. Namna ya pesa zetu zinavotengenezwa na nchi inayotengeneza
Nimeweza hivi. Hope itasaidia na utaelewaSikuusoma huo uzi.
Ukikutana nao tafadhali uweke hapa tuelimike.
Ama kama unamkumbuka aliyeweka huo uzi mtag ili atuwekee hapa huo uzi.
Elimu kama hizi za kuongeza maarifa ni nzuri kwa afaya ya akili.
Hakika umenena vyema... Ni kawaida sana...Kivipi wakati karibuni tu ndio tumeanza kutumia hela mpya zilosainiwa na Nchemba na Gavana wa sasa? Haifiki hata mwaka. Tulianza na kubadilisha matoleo ya zamani sambamba na kuanza kutumika noti mpya. Na huko kuprint inawezekana zilishaprintiwa zamani ila sasa ndio zipo kwenye matumizi
Mimi kama nakuwa na hela mpya nikitaka kumpa mtu kiasi kadhaa wala sihesabu naangalia namba tu mana nna uhakika zipo serial
View attachment 3492483