Wanaobisha kuwa wahuni hawaja print pesa, tazama hapa

 
Kwaiyo anataka kusema pesa zilishaprintiwa miaka miwili iliyopita nusu zikaingizwa katk mzunguko alafu nusu zikahifadhiwa ktk maboksi? Kwaiyo ndo zinasambazwa sasa?
Au zimechapishwa hivi karibuni?

Pesa hizi ni wazi hazikuwa ktk mzunguko ndo kwanza zimeingizwa maana adi ktk tigopesa ukienda unazikuta
 
Tigopesa si anatoa float/ cash bank aisee 😄
 
Mange anapewa taarifa na wanaofanya kazi BOT, amefichua mengi ya risiti za TRA na mengine mengi, hii issue naona wana print kweli.

Uthibitisho mwingine ni inflation ya hatari inayofuatia..
Inflation???? No way: hakuna kiashiria cha inflation kuwa beyond 5% ambayo ndio maximum target limit. Kwa sasa tuko kwenye around 3% na point chache hivi...
 
Ilitarajiwa na nani? Mbona hata 2020 kipindi cha uchaguzi ilikua stable
Uchumi unaendeshwa kwa assumptions; underlying assumption ni kuwa kipindi cha uchaguzi local currencies huwa hazifanyi vizuri against USD kwa sababu mbalimbali ikiwemo investors kusikilizia. Kufanya vizuri hakumaanishi hiyo assumption inaondoka....

Kwa uchaguzi huu ambao una speculations na uncertainity nyingi ungetarajia TZS ifanye vibaya sana. Lakini iko imara. Hiki ni kiashiria kuwa uchumi pia uko stable sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…