City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Unaandika uongo. Wakati wa uchaguzi 210 shillingi ilikua stableUchumi unaendeshwa kwa assumptions; underlying assumption ni kuwa kipindi cha uchaguzi local currencies huwa hazifanyi vizuri against USD kwa sababu mbalimbali ikiwemo investors kusikilizia. Kufanya vizuri hakumaanishi hiyo assumption inaondoka....
Kwa uchaguzi huu ambao una speculations na uncertainity nyingi ungetarajia TZS ifanye vibaya sana. Lakini iko imara. Hiki ni kiashiria kuwa uchumi pia uko stable sana
Mzee sasa unabishana na principle underlying assumption ya Uchumi kwenye swala la Currency stability vs Election???? Hauko serious. Narudia nadharia ndiyo hiyo, ikifanya vizuri maana yake factors zingine ziko stable sana ku nulfy madharaUnaandika uongo. Wakati wa uchaguzi 210 shillingi ilikua stable
Wakati wa uchaguzi 2015 shillingi ilikua pia stable
Wakati wa uchaguzi 2020 shillingi pia ilikua stable.
Sio kweli wakati wa uchaguzi shillingi huporomoka.
Ulipaswa kuja na ile kauli endapo chaguzi zilizopita shillingi ingekua inaanguka sababu ya uchaguzi. Lakini chaguzi zote zilizopita shillingi huwa stable, hapo utakuajaje na assumptions kuwa wakati wa uchaguzi shillingi huanguka?Mzee sasa unabishana na principle underlying assumption ya Uchumi kwenye swala la Currency stability vs Election???? Hauko serious. Narudia nadharia ndiyo hiyo, ikifanya vizuri maana yake factors zingine ziko stable sana ku nulfy madhara
Lakini pia unaandika UONGO; pitia andiko hilo la mwananchi; 2015 TZS klishuka sana.Ulipaswa kuja na ile kauli endapo chaguzi zilizopita shillingi ingekua inaanguka sababu ya uchaguzi. Lakini chaguzi zote zilizopita shillingi huwa stable, hapo utakuajaje na assumptions kuwa wakati wa uchaguzi shillingi huanguka?
Sasa unasubiri mpaka kifike now ni 3.4% ambacho ni kiwango kibaya wastani, ongezeko hakuna namna ya kuzibiti agust tulikuwa 3.3 oct 3.4 yani inaonyesha kupanda tu imeshindwa kubreak all time lower ambayo ilikuwa maintained kwa kipindi kirefu tutarajie kufika 4 to 5 anytimeInflation???? No way: hakuna kiashiria cha inflation kuwa beyond 5% ambayo ndio maximum target limit. Kwa sasa tuko kwenye around 3% na point chache hivi...
2015 ilishuka kutoka 1754 kwenda 2180 against USD, 2020 pia ilishuka zaidi.Unaandika uongo. Wakati wa uchaguzi 210 shillingi ilikua stable
Wakati wa uchaguzi 2015 shillingi ilikua pia stable
Wakati wa uchaguzi 2020 shillingi pia ilikua stable.
Sio kweli wakati wa uchaguzi shillingi huporomoka.
Hiyo ndio average highest inflation rate hata kwa 2024; kuna muda ilikuwa inacheza around 3.3%, 3.4% 3.5% lakini iko within range. Ya 3 - 5%.Sasa unasubiri mpaka kifike now ni 3.4% ambacho ni kiwango kibaya wastani, ongezeko hakuna namna ya kuzibiti agust tulikuwa 3.3 oct 3.4 yani inaonyesha kupanda tu imeshindwa kubreak all time lower ambayo ilikuwa maintained kwa kipindi kirefu tutarajie kufika 4 to 5 anytime
Kuanzia sasa hauna haja ya kuficha vifuatavyo.Pesa zinaprinitiwa kama magazeti ya sani, ukitoka ATM namba zinafuatana Toka lini?pesa laZima ziprintiwe ili mikutano ya kampeni ijae
Kumbe ndo maana vijana wameamua kuita pesa yetu ati ni SASAMPA
Yaani hizi zinafaa kufundishia watoto kuheshabu
Zile accenting na descending numbers
Hii sio poa
View attachment 3492449View attachment 3492450View attachment 3492452View attachment 3492453View attachment 3492454View attachment 3492455View attachment 3492456View attachment 3492457View attachment 3492458View attachment 3492459
Haihitaji mwandishi wa gazeti bongo akuandikie. Waandishi wenyewe hawa wa kijungujikoLakini pia unaandika UONGO; pitia andiko hilo la mwananchi; 2015 TZS klishuka sana.
Why Tanzanian shilling holds strong amidst election jitters
Hii assumption haiwezi kuondoka.. itvis an economic assumption.
Shillingi ya Tanzania inaporomoka kila mwaka bila kujali uchaguzi upo au haupo. Mfano 2012,2013,2014 tulikua na uchaguzi? Mbona shillingi iliporomoka?2015 ilishuka kutoka 1754 kwenda 2180 against USD, 2020 pia ilishuka zaidi.
ACHA UONGO.
Ndiyo maana nakuambia mzee ulianza mapema sana kuniita muongo. Hata hizi data ulizoweka zinaonesha 2015 - USD 1 Jan ilikuwa sa na TZS 1700 - October ilikuwa sawa na TZS 2200... fanya analysis ya Data mkuu. Usiwe mwepesi sana kushambulia watu. Kushambulina sio moango wa wasomi waliostaarabika.Haihitaji mwandishi wa gazeti bongo akuandikie. Waandishi wenyewe hawa wa kijungujiko
Pitia hapa mwenyewe hii history trend ya dollar vs Shillings uone kipindi cha uchaguzi ilikua stable au haikua
No. kwenye Uchumi hauwezi kurun variables zote parallel kama unavyotaka utegemee conclusion yenye Tija. Assumption yangu ilijikita kwenye election vs currency stability nikadraw conclusion. Unaweza kufanya pia assumption yako then tukakubalina kutokubaliana tunasonga mbele.Shillingi ya Tanzania inaporomoka kila mwaka bila kujali uchaguzi upo au haupo. Mfano 2012,2013,2014 tulikua na uchaguzi? Mbona shillingi iliporomoka?
2018,2019 tulikua na uchaguzi mbona pia iliporomoka
2022,2023,2024 kulikua na uchaguzi? Mbona shillingi iliporomoka?
Hoja yangu ni kukataa shillingi kuporomoka sababu ya uchaguzi. Miezi ya uchaguzi haiporomoki kama ulivyosdma inakua palepale ilipokua mieizi mingine
Soma hii history trend ya dollar na shillingi
Wakati wa kuelekea tsz huwa imara au kuwa stable ila nategemea kuiona tsh 2900 next year save this, kama itashindwa kumake below 2300 ndo basUlipaswa kuja na ile kauli endapo chaguzi zilizopita shillingi ingekua inaanguka sababu ya uchaguzi. Lakini chaguzi zote zilizopita shillingi huwa stable, hapo utakuajaje na assumptions kuwa wakati wa uchaguzi shillingi huanguka?
Akili za idd Amin hizo ndio alikuwa anafanya hayo mambo. Sasa naona wameanza kuiga utoto ule ule.Kukiwa na hali mbaya ya uchumi wanachapisha fedha?
Tutarajie nini kwa mwaka ujao na usd inazid kuimarika na hali ya dunia kwa sasa Usd inakuwa na high demands au ndo tunaisave nchi kwa kuweka rasilimali bondi , nchi ingefocus na dhahabu tu tungwkuwa mbali sanaHiyo ndio average highest inflation rate hata kwa 2024; kuna muda ilikuwa inacheza around 3.3%, 3.4% 3.5% lakini iko within range. Ya 3 - 5%.
Huelewi lugha rahisi? Unasema January ilikua 2014 ilikua 1700, waati hapo hapo December 2014 ilikua 1740. Unatolea mfano wa January 2015 ili kuonyesha ilipanda wakati hiuyo 1700 ilipanda tokea 2014, au 2014 kulikua na uchaguzi?Ndiyo maana nakuambia mzee ulianza mapema sana kuniita muongo. Hata hizi data ulizoweka zinaonesha 2015 - USD 1 Jan ilikuwa sa na TZS 1700 - October ilikuwa sawa na TZS 2200... fanya analysis ya Data mkuu. Usiwe mwepesi sana kushambulia watu. Kushambulina sio moango wa wasomi waliostaarabika.
Uki interprete hizi data hazitofautiani na alizochambua ndugu mwandishi wa mwananchi. Ama ulidhani ukiweka data nyingi tunashindwa kuziinterprete???
Huu ndio uongo naoukataa. Shillingi inapanda sio sababu ya uchaguzi. Miaka yote inapanda na hakuna uchaguzi. Kulazimisha kwamba eti wakati wa uchaguzi shillingi hupanda ni uongoNo. kwenye Uchumi hauwezi kurun variables zote parallel kama unavyotaka utegemee conclusion yenye Tija. Assumption yangu ilijikita kwenye election vs currency stability nikadraw conclusion. Unaweza kufanya pia assumption yako then tukakubalina kutokubaliana tunasonga mbele.