johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lushoto ndio Tanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuna mkoa una kabila moja tu? Maana kuna watu wanajua mtu ukitoka Tanga ni Msambaa kumbe kuna Wabondei,wadigo,wazigua etcWasambaa ndio wafanyabiashara wakubwa Tanga wasambaa wanajituma sana kuliko makabila mengine ya Tanga
Hivi kuna mkoa una kabila moja tu? Maana kuna watu wanajua mtu ukitoka Tanga ni Msambaa kumbe kuna Wabondei,wadigo,wazigua etc
Wadigo laini laini sanaTanga kuna wasambaa, wazigua, wabondei, wadigo na kadhalika sasa kati yao wanaoongoza kwa upambanaji ni wasambaa, sawa na uende kigoma utakuta kuna wagoma, wamanyema, wabembe, waha kabila la wapambanaji hapo ni waha, Ruvuma utakuta wangoni, wamatengo, wandendeule, wamanda, wanyasa lakini kabila la wapambanaji kule ni wamatengo ndio matajiri japo wangoni hubeba jina na utambulisho wa mkoa, ukifika mbeya utakuta wasafa, wanyakyusa, wandali, wamalila, wanyamwanga, lakini kabila la wanyakyusa hubeba jina la mkoa japo wasafa wenyeji wapo
Kigoma waha watu wa kaziTanga kuna wasambaa, wazigua, wabondei, wadigo na kadhalika sasa kati yao wanaoongoza kwa upambanaji ni wasambaa, sawa na uende kigoma utakuta kuna wagoma, wamanyema, wabembe, waha kabila la wapambanaji hapo ni waha, Ruvuma utakuta wangoni, wamatengo, wandendeule, wamanda, wanyasa lakini kabila la wapambanaji kule ni wamatengo ndio matajiri japo wangoni hubeba jina na utambulisho wa mkoa, ukifika mbeya utakuta wasafa, wanyakyusa, wandali, wamalila, wanyamwanga, lakini kabila la wanyakyusa hubeba jina la mkoa japo wasafa wenyeji wapo
Wadigo laini laini sana
Wasambaa kaz kaz
Ova
Kigoma waha watu wa kazi
Wamanyema walaini laini mamwinyi
Ova
Wadigo laini laini sana
Wasambaa kaz kaz
Ova
Nenda Tamota, nenda Bungu, nenda Sheshui, Nenda Ambangulu, nenda Lutindi, nenda Kwemshai, nenda Kemagoda, nenda Kunga, Kushoto, nenda Irente, Soni, nenda Dakarani, nenda ..... Usambaani kote kaone watu wa kazi wanavyozalisha.Ukisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
Waeleze hao. Wanasikia tu Wasambaa Wasambaa bila kuwajua.Msambaa anakomaa na genge lake hadi anajenga mjini na maeneo ya wasambaa njaa hakuna wanajituma sana hata shule wameenda sio mchezo wadigo umwinyi sana umetawala
Na mpaka muda huu tayari atakuwa anajutia hiki alichokifanya! Yaani Wasambaa ni washamba!!Unatafuta vita na wasambaa 🤣🤣
Wasambaa ndiyo kabila kubwa, na lenye ushawishi wa kila kitu ndani ya Mkoa wa Tanga.Hivi kuna mkoa una kabila moja tu? Maana kuna watu wanajua mtu ukitoka Tanga ni Msambaa kumbe kuna Wabondei,wadigo,wazigua etc
Umesema kweli kabisa! Halafu Wasambaa siyo watu wa nongwa kama mtoa mada, ambaye ni Mdigo/Mbondei bila shaka!Wasambaa ni km walikopi utamaduni wa mzungu na wabondei na wadigo wakakopi kwa waarabu
Tate na nei wabwanga tishikame.Wasambaa ndiyo kabila kubwa, na lenye ushawishi wa kila kitu ndani ya Mkoa wa Tanga.
Hao wengine, akiwemo mtoa mada; wamejaliwa wivu, uchawi, majungu, mapenzi, uvivu, uzembe, na umwinyi tu.
Nilitak kushanga hi mada lzm nikukute mwana yang mwezangu hunaga bayaWasambaa ndiyo kabila kubwa, na lenye ushawishi wa kila kitu ndani ya Mkoa wa Tanga.
Hao wengine, akiwemo mtoa mada; wamejaliwa wivu, uchawi, majungu, mapenzi, uvivu, uzembe, na umwinyi tu.
Ukisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
Bila wasambaa hakuna Tanga,mngekula mawe,wasambaa ni wachakarikaji ukienda lushoto ndio utajuaUkisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu