Wanaoibeba Tanga ni Wadigo na wabondei

Wanaoibeba Tanga ni Wadigo na wabondei

Hivi kuna mkoa una kabila moja tu? Maana kuna watu wanajua mtu ukitoka Tanga ni Msambaa kumbe kuna Wabondei,wadigo,wazigua etc

Tanga kuna wasambaa, wazigua, wabondei, wadigo na kadhalika sasa kati yao wanaoongoza kwa upambanaji ni wasambaa, sawa na uende kigoma utakuta kuna wagoma, wamanyema, wabembe, waha kabila la wapambanaji hapo ni waha, Ruvuma utakuta wangoni, wamatengo, wandendeule, wamanda, wanyasa lakini kabila la wapambanaji kule ni wamatengo ndio matajiri japo wangoni hubeba jina na utambulisho wa mkoa, ukifika mbeya utakuta wasafa, wanyakyusa, wandali, wamalila, wanyamwanga, lakini kabila la wanyakyusa hubeba jina la mkoa japo wasafa wenyeji wapo
 
Wadigo laini laini sana

Wasambaa kaz kaz

Ova
 
Kigoma waha watu wa kazi

Wamanyema walaini laini mamwinyi

Ova
 
Kigoma waha watu wa kazi

Wamanyema walaini laini mamwinyi

Ova

Kweli muha anachapa kazi fikiria anatoka kwao na baiskeli ya kuuzia madafu au machungwa anamtaji wa 50 elfu halafu anauza miaka mitatu, mwaka wa nne anaduka kubwa la vyakula, miaka miwili mbele anamaduka ya jumla jumla, na baadae anajenga nyumba nzuri ya kuishi na familia baadae unamkuta anaduka la nguo kariakoo, wenzao wamanyema ni walaini sana hawezi kuzungusha madafu toka mbagala hadi ubungo kwa baiskeli
 
Ukisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
Nenda Tamota, nenda Bungu, nenda Sheshui, Nenda Ambangulu, nenda Lutindi, nenda Kwemshai, nenda Kemagoda, nenda Kunga, Kushoto, nenda Irente, Soni, nenda Dakarani, nenda ..... Usambaani kote kaone watu wa kazi wanavyozalisha.

Kakae Mombo na Korogwe uone jinsi makenta yanavyoshusha bidhaa toka Usambaani. Halafu urudi tena na thread yako hii.
 
Mimi nauliza tu.
1.Mdigo na mbondei wamejenga chuo kikuu kipi Kama sio Zahrau na Tamta.
2. Naomba kujuzwa tajiri mmoja tu wa kibondei.
3. Mbona wabondei hawajengi kwao Kama hawaogopi kurogwa? Mbondei akienda bonde utamsikia 'papa kida mie' naiza kuughusa maa mwenga ' hata kulala halali.
4. Wadigo wanajivunia ngono tu ambayo hata wagogo wanaijua japo kwa kiwango hafifu.
 
Hivi kuna mkoa una kabila moja tu? Maana kuna watu wanajua mtu ukitoka Tanga ni Msambaa kumbe kuna Wabondei,wadigo,wazigua etc
Wasambaa ndiyo kabila kubwa, na lenye ushawishi wa kila kitu ndani ya Mkoa wa Tanga.

Hao wengine, akiwemo mtoa mada; wamejaliwa wivu, uchawi, majungu, mapenzi, uvivu, uzembe, na umwinyi tu.
 
Wasambaa ni km walikopi utamaduni wa mzungu na wabondei na wadigo wakakopi kwa waarabu
Umesema kweli kabisa! Halafu Wasambaa siyo watu wa nongwa kama mtoa mada, ambaye ni Mdigo/Mbondei bila shaka!

Wivu tu na majungu ndiyo vimemjaa.
 
Wasambaa ndiyo kabila kubwa, na lenye ushawishi wa kila kitu ndani ya Mkoa wa Tanga.

Hao wengine, akiwemo mtoa mada; wamejaliwa wivu, uchawi, majungu, mapenzi, uvivu, uzembe, na umwinyi tu.
Nilitak kushanga hi mada lzm nikukute mwana yang mwezangu hunaga baya

Good person Sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ukisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
Ukisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
Bila wasambaa hakuna Tanga,mngekula mawe,wasambaa ni wachakarikaji ukienda lushoto ndio utajua
 
Back
Top Bottom