Wanaojifanya kumjua sana mwanamke, wanajidanganya

Mwanamke analaumiwa sababu bila yeye kuruhusu hilo tukio mwanaume hawezi fanikisha. Kwani hakuna mwanaume anabaka mke wa mtu!
Yeye ndo mwezeshaji, alafu mwanaume anatongoza lkn mwanamke hutongozwa.,PIN na codes zote anazo yeye
 
Rel

Relax 🤔 Kama umeoa afu uka.t.mbewa that's your problem 🙏 stress zako usizihamishie kwa watu usowajua mitandaoni🤣🤣🤣 don't quote me please,am done with you,seems you have marital problems 🤣🏃
No sina marital problems hata moja.
Nimeweka malengo mbele kuliko papuchi ila nakuwaga bored tu na vitu hivi, naonaga washkaji wanalalamika sana kumbe chanzo ni mmekataa kumove on.
 
Mwanamke ni mbinafsi kuliko Mwanaume.
 
Weka hiko kisa tujifunze asee,,,madhara ndio mafunzo yenyewe sasa,,hakuna madhara yanayokosa funzoo/mafunzo ndani yake
 
hahahaha, Mke wa mtu huko barabarani ana alama gani?.... Mwenye mamlaka ya kusema Ndio au hapana ni mwanamke mwenye Shimo, either aligawe au abaki nalo.
Alama anayo maana Huwa wanasema ila wanaume tunalazimisha
 
Nampongeza mwanamke mwenzangu kwa KUNIWAKILISHA VYEMA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmezoea mnafanyaga nyie tu tukifanya sie mnakuja kulilia huku[emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
 
Tukioana wenye bado napo mnalalamika🤣🤣🤣
 
Kama mwanamke si malaya kwa asili, hatma yake kimapenzi ipo mikononi mwa mumewe! Hawa ni viumbe ambao hata Mungu alituagiza tuishi nao kwa akili tu!

Narudia kama si malaya na akatoka nje ya ndoa tatizo linaanzia kwa mumewe kubali kataa! Pesa pekee haisaidii, kuwa fundi kitandani pekee haisaidii, kuwa navyo vyote pesa na fundi kitandani haisaidii! Akili tu!

Mfano mdogo unavyo vyote lakini mkeo kaokoka ni mtu wa watumishi huku wewe mlevi na bata, utashangaa siku hao hao watumishi wakipita nae sababu tu ya imani. Kwa ufupi una mke anapenda dini, kuwa baba yake kiroho, jua dini vizuri hadi appreciate na muongoze kule unakoamini sio anakoamini yeye.

Pesa, ufundi kitandani n.k ni muhimu lakini kuwa kiongozi, kuwa na majibu kwenye maswali/changamoto zake ( ikiwemo imani, kazi n.k) ni muhimu zaidi! Lazima awe na imani kama watoto wanavyoamini kuwa baba yupo hakuna kinachoweza kuharibika.

Sasa wanawake wengine kutoka nje ya ndoa ni tabia! Hata umpe nini akiona vitu vinavyompa ukichaa lazima achojoe! Hii huwezi kufanya lolote hadi akubwe na balaa ndio atapona.


Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Usiwaze na wala jamaa hajanikataa,tulipotezana tu after high school,tumekuja kuonana Tena akiwa kashaoa na mie Nina family tayari,so hanitumii,tunatumiana whenever necessary 🤣🏃 na siyo sex tu hata ishu nyingine za maisha tunasaidizana🙏🙏🙏
 
Nampongeza mwanamke mwenzangu kwa KUNIWAKILISHA VYEMA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmezoea mnafanyaga nyie tu tukifanya sie mnakuja kulilia huku[emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Hahahah so ngoma droo?🤣
 

Kumjua mwanamke kupindukia lengo linakuwa ni nini?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaani eti wanaume wanajiona watakatifu jamani! Aliyefanya huo ujinga na mwanaume yumo.
 
utasikia oooooh mimi hata nikiolewa sitaki tuachane, mara ooooh promise me nikiolewa hutaniacha, mara nataka nizae tu na wewe mtoto kama kumbukumbu...nk nk.

hayo ni maneno ya watoto wakike, sidhani kama kuna mwanaume anaongeage haya kwa mtoto wa kike.

Binafsi naamini Mwanamke ameumbwa kupenda na kuubwaga moyo na hiyo ni nature yake huwezi kuibadirisha, Mwanamme huwa anatamani nayo ni nature yake, ila mwanamume habwagi moyo..

Mwanamke akianza kuchepuka na kupenda huko alikochepuka lolote linaweza kutokea, Ni hatari zaidi kwa Mwanamke kuchepuka kuliko Mwanamume..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…