Wanaojifanya kumjua sana mwanamke, wanajidanganya

Bora uujenge ubongo wako kuelewa hivyo siku itakusaidia ukigongewa, husije kufanya maamuzi ya ajabu na ukaishangaza dunia ndio points yangu,lkn ukisema eti akilini mwako na kwa kujiamini ukasena eti "mimi siwezi gongewa.........",siku ya siku lazima utadata au utafanya maamuzi ya ajabu.

Hivi vitu siku hizi vimekuwa vingi sana na huwezi kumchunga mtu mzima kwani hujamkuta bikra so wewe jiandae tu kisaikolojia. Mimi nawakubaligi wale wanao gongewa ambao wanamove on bila kusababisha madhara yoyote na kama kuna mali wanagawana maisha yana endelea,ukimwona mtu anafanya maamuzi kama hayo jua alishaiandaa akili yake vizuri kuhusu tukio la kugongewa.
 
Ili Hilo jambo lisiwezekane wa kwanza anatakiwa kuwa mwanaume asitongoze Mke wa mtu au kuwe na Sheria Kali za Kulinda ndoa na adhabu Kwa wahusika ila Kwa uhuru ulivyo ni kubinjuana tuu,kwani wewe ulimkuta bikira?
 
Unabadili mahali pa tukio na majina ya wahusika... Mfano, kama ilikuwa Dar, waweza sema Mtwara, etc
 
Unaona sasa utetezi wao
Utetezi upi.
Wanaume wa sasa ni kama hamna malezi ya kiume yani hamna maneno ya kiume.
Mwanaume na akili zake timamu hawezi kuja kuongea ongea hapa kuhusu mwanamke.

Wanawake ni wavumilivu sana ukiona amefikia maamuzi ya kufanya chchte kwa ajili ya furaha yake ilopotea basi hujue amepitia mengi sana.

Alaf kingine ww mtoa mada OKW BOBAN SUNZU huyo rfk ako aejifaraghua alikwambia yeye alikua akimtreat vip mke wake.
Msipende lawama wanawake wabaya mnawatengeneza wenyewe hawatengenezwi
 
Wanaume ndio wanaongoza kwa michepuko.
 
H
napewa mimba na mchepuko anaitoa na bado unamhudumia hospital?? Huo ni uzuzu
Hapana,unaitwa uungwana,baada ya hapo akikaa sawa talaka kwa sisi waislam,wale ambao ndoa zimeunganishwa na mungu hivyo hawapaswi kuzivunja basi wanaendelea na ndoa zao
 
Kupenda ni ujinga
 
Pole sana mkuu. Vumilia tu!
 
Hizi zote changamoto za kawaida tu sioni geni kwenye hili,,,

Mi mwaka huu nahtaji chombo moja inayojielewa niweke ndani,,,

1.Mkristu
2.Age 18-28
3.form4- university
4.awe na kazi ama hana fresh tu japo akiwa nesi au Mwalimu itafaa sana.
 
Atakayekuoa ana kazi.
Ila Mungu ni Mungu utashangaa huolewi na mcha Mungu ila utaolewa na WA kufanana naye ambaye hakuwa na option nyingine.
 

Huwezi ukaishi Kwa Akili na kitu au na MTU usiyemjua wala kumuelewa.

Unapomzungumzia Akili unazungumzia ufahamu, Uelewa, utambuzi, kumbukumbu, maarifa, ujuzi, kuchambua na kuchanganua.

Kitendo cha kushindwa kumjua au kumuelewa Mwanamke unayeishi naye kinamaanisha huna Akili ya kuishi naye, yaani huwezi kuishi naye.

Mapungufu ya Wanawake hasa ya kitabia kama kutokuwa waaminifu au kuwa Wanafiki, ni mapungufu ambayo hata wanaume wengi tunayo.
Ungemuuliza huyo Rafiki yako yeye hachepuki?
Au Kwa vile Sisi wanaume hatubebi mimba?
Mwanamke kuchepuka haimfanyi yeye awe kiumbe kisichoeleweka.

Kosa kubwa Watu wengi wanalolifanya ni kum-term Mwanamke as if sio binadamu kama tulivyo Sisi Wanaume.

MWANAMKE ni binadamu kama alivyomwanaume, anatamaa ya mwili, naye anatamani wanaume wengine zaidi ya Mume aliyemuoa kama ilivyo Sisi Wanaume tunavyotamani Wanawake.
Stara na aibu ya Mwanamke kujifanya ni wastaarabu Hali inayowafanya Wanawake kuwa pretenders ndio kunawachanganya Watu wengi na kudhani wao hawapo kama Sisi. 😂😂

Jinsi unavyojiona mwanaume ulivyo ndivyo hivyohivyo Mwanamke alivyo, tofauti iliyopo haizidi 10%
 
Ili Hilo jambo lisiwezekane wa kwanza anatakiwa kuwa mwanaume asitongoze Mke wa mtu au kuwe na Sheria Kali za Kulinda ndoa na adhabu Kwa wahusika ila Kwa uhuru ulivyo ni kubinjuana tuu,kwani wewe ulimkuta bikira?

hahahaha, Mke wa mtu huko barabarani ana alama gani?.... Mwenye mamlaka ya kusema Ndio au hapana ni mwanamke mwenye Shimo, either aligawe au abaki nalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…