mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,857
Mkuu au kisa we' umeoa unatukashifu tusiooa?[emoji38]
Mkuu au kisa we' umeoa unatukashifu tusiooa?[emoji38]
Mkuu endelea kutoa doziMara nyingi nyuzi zangu zipo hivihivi.
Wapi nimetukana?
Matabia ya hovyohovyo hayahitaji Lugha ya staha, siwezi kuyachagulia Lugha nzuri matabia ya hovyo. Sina matumizi hayo ya lugha
Mkuu endelea kutoa dozi
Ndo maana umepewa ban hujitambui kutwa michipuko ya Mama J huku unashauri watu tuoeSikuhizi mtoa mada umeona ni fasheni
Kuchomeka matusi katikati ya nyuzi zako[emoji848]
Kuna Mtu mmoja anasema kaoa then kila siku anapandisha nyuzi za michipuko naona kaanza kulalamika hapo juu eti mtoa Mada kaandika matusi yaani Mtu akiambiwa ukweli anasema matusi.
Kashapewa ban naona mod wapo vizuri Sana leo ijumaa Kareem inapendezaNdio nimemuambia hapo juu. Kuwa Watu uhuni ndio wanaita ndoa.
Hao wanaoitetea ndoa utasikitika Sana utakapoona hicho wanachokiita ndoa.
Ni uhuni, mateso, ukatili mtupu
Kashapewa ban naona mod wapo vizuri Sana leo ijumaa Kareem inapendeza
Makosa ya baadhi ya wapumbavu isiwe kigezo cha kukataa ndoa , Kukataa ndoa ni uhuni ulio wazi..
Utahiraha usiomithirika!!
Ngoja apumzike huko anaharibu maadili na Mada zake za michipukoKwani kafanyaje Mkuu?
Ooo jaman sweetie....mbona banned
Huyo mjinga ana heshima anabidi Apewe banOoo jaman sweetie....mbona banned
Ooo jaman sweetie....mbona banned
Hajakataa ndoa bhana. Wewe ni product ya wapi usiyejua kusoma kwa ufahamu? Mburahati au?Makosa ya baadhi ya wapumbavu isiwe kigezo cha kukataa ndoa , Kukataa ndoa ni uhuni ulio wazi..
Ngoja apumzike huko anaharibu maadili na Mada zake za michipuko
Hujaelewa. Na ukicheza hutoelewa.Utahiraha usiomithirika!!