Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 4,835
- 8,418
Unapakatwa?Unauliza jibu?
Unapakatwa?Unauliza jibu?
Mkuu, tatizo ni wanaume kutokuwa tayari kuwa responsible kuwalinda wenza wao.. Refer Genesis, Adam alipewa Eva.. mzee Adam alifail mahala hadi Eva akakuta na Lucifer.. na hata Mungu alivyotokea adhabu kubwa ilielekezwa kwa Me kwasababu ndio muwajibikaji mkuu.. Kizazi hiki wengi tunakimbia majukumu.. hakuna kiumbe chepesi kama mwanamke kama tu, utahakikisha kipo salama pale kinapo ingia mikononi mwakoMkuu, tatizo wapo waliowema wanakutana na mashetani.
Fikiria Malaika anaolewa na Shetani, au Shetani anaoa Malaika. Au malaika anaoa Shetani hapo kuna nini?
Chief
Kuna kitu kimoja ambacho huwa nakiona kutoka kwako, kuna mambo ambayo huwa unazungumza hlf baadae unakuja kutengua kauli zako kana kwamba hujui unasimamia wapi.
Kwa mfano,kuna andiko lako moja ulisema ndoa ni mfumo WA kizamani na ndio Bora Kwa Maisha ya ndoa
Lakini
Mtindo huo huo ndio ambao wazee wetu walifundishwa umuhimu wa kuvumiliana na kustahamiliana katika ndoa na ndio maana mpaka Leo wazazi wetu bado wapo katika ndoa, lakini cha kushangaza sasa hivi unakuja na habar nyingine kwamba hakuna kuvumiliana katika ndoa kwani ni mateso,je chief huwa unakurupuka au.....
Ulizungumzia zamani majukumu mazima ya kusimamia ndoa pamoja na majukumu Yake ni wajibu WA mume na ndio maana hata kipindi kile ndoa zilidumu Sana kwakuwa kuvaa,Kula na mahitaji mengine ilikuwa ni show ya mume.
Lakini Leo unalalamika kuwa mwanamke Hana mchango WA matumizi katika familia au pesa yake ni yake na haisaidii familia.
Chief naona unayumba Sana katika Maandiko yako.
Ni hayo Tu!
Mkuu, tatizo ni wanaume kutokuwa tayari kuwa responsible kuwalinda wenza wao.. Refer Genesis, Adam alipewa Eva.. mzee Adam alifail mahala hadi Eva akakuta na Lucifer.. na hata Mungu alivyotokea adhabu kubwa ilielekezwa kwa Me kwasababu ndio muwajibikaji mkuu.. Kizazi hiki wengi tunakimbia majukumu.. hakuna kiumbe chepesi kama mwanamke kama tu, utahakikisha kipo salama pale kinapo ingia mikononi mwako
👆👆👆👆👆 hapo juu ndio point ya msingiVijana wakiume wanapaswa waandaliwe kuwa wanaume kikamilifu ili kutimiza majukumu makubwa ya kifamilia, kijamii na kitaifa. Lakini Wanawake nao lazima wapewe nguvu ili wawasaidie waume zao. Kwani mwanaume bila msaada wa Mwanamke itakuwa NI kazi ngumu
Muda wangu ukifika nitaoa. Lakini kusema ukweli kuna watu wameoa ila ni wazinzi,wahuni kuliko sisi ambao hatujaoa. Kwasababu gani sijui ila tupo nao mitaani wanahangaika sana na dunia.Kwa mfano wewe hapo na mchepuko wako Mama G.
Yaani ni mambo ya ajabu kabisa.
Alafu unasema upo ndoani bila hata aibu.
Hakuna Ndoa ya hivyo.
Ungekuwa umeoa kweli na upo ndoani usingekuwa na huyo mchepuko wako.
Ndio hicho Vijana WA siku hizi wanawaona hamnazo.
Mnawachukua Wanawake ili muwatese Kwa Tabia za ajabu ajabu.
Alafu ndio mnakuwa wakwanza kupiga Kelele ndoa! Ndoa! Utadhani mnajua maana yake.
Ukatili, utesaji, maumivu ndio mnaita Ndoa 😲
kama unalijua hilo, mbona unapotosha kuhusu ndoaChangamoto ndio utamu wenyewe wa Maisha
Chan
kama unalijua hilo, mbona unapotosha kuhusu ndoa
Muda wangu ukifika nitaoa. Lakini kusema ukweli kuna watu wameoa ila ni wazinzi,wahuni kuliko sisi ambao hatujaoa. Kwasababu gani sijui ila tupo nao mitaani wanahangaika sana na dunia.
life is an adventureChangamoto ndio utamu wenyewe wa Maisha
Chan
life is an adventure
changamoto za kimaisha zipo na ni sehemu ya maisha tunakubali
ILA
Kuwa played na mke siyo lazima.
drama na maupupu mengi yakwenye ndoa siyo lazima sisi wengine tukutane nayo/ hayo mambo tumewaachia wenye wanayaweza.
Mkuu mimi leo nakubaliana nawewe .Mwanamke asipokupenda lazima atakusumbua tuu.
Mwanamke anayejiona sio hadhi yako kuwa naye lazima atakusumbua tuu.
Mwanaume usipokuwa na Akili na uwezo wa kiume lazima uhangaishwe tuu
yote uloandika yanasababishwa na changamoto, so mada yako ilipaswa kuelekeza namna bora ya kuzikabili, sio kuwaita makatili wanaozikubali ndoa.Kipi napotosha?
yote uloandika yanasababishwa na changamoto, so mada yako ilipaswa kuelekeza namna bora ya kuzikabili, sio kuwaita makatili wanaozikubali ndoa.
hivi hizi tafiti huwa zinafanyikia wapi?
Mkuu mimi leo nakubaliana nawewe .
umezungumza ukweli mtupu ambao wengine wameupokea ila wanajalibu kukubishia ilimradi tu.
BIG UP BROTHER.
Agiza maji popote ulipo nitakulipia Chifu...[emoji120][emoji16]Kupinga ndoa, ni kumpinga Mungu...
Muanzilishi wa ndoa ni Mungu..
Kataa ndoa ni agenda kutoka kuzimu, ma wanadamu wanatumika kama vifaa vya shetani kupinga mpango wa Mungu kw wanadamu..
Yoyote anae mpinga Mungu ana vinasaba vya kutoka kuzimuni 🥸🥸