Wanaojifanya wanaikubali ndoa wengi wao ni Makatili na watesaji Wakuu

maisha ktk jambo lolote hukabiliwa changamoto, mwenye kuweza kuzikabili kafaulu...

kama utaweza, nionyeshe jambo lolote ktk maisha ulilolitimiza bila kuzikabili changamoto.
 
🤣🤣🤣🤣Sema bhana....please...tutatubia

Yaani nimecheka kweli.
Sijategemea hili Kwa Siku ya leo.
Hiyo picha ni Mwaka 2018 nikiwa MAFINGA- Huko.
Imeonwa nawatu wengi lakini wewe umeona kwa namna isiyotegemewa kabisa.

Ila sio.😊
 
maisha ktk jambo lolote hukabiliwa changamoto, mwenye kuweza kuzikabili kafaulu...

kama utaweza, nionyeshe jambo lolote ktk maisha ulilolitimiza bila kuzikabili changamoto.
Changamoto ndio utamu wenyewe wa Maisha
Chan
 
Yaani nimecheka kweli.
Sijategemea hili Kwa Siku ya leo.
Hiyo picha ni Mwaka 2018 nikiwa MAFINGA- Huko.
Imeonwa nawatu wengi lakini wewe umeona kwa namna isiyotegemewa kabisa.

Ila sio.😊
🤣🤣🤣🤣🤸 Am so sorry
 

Chief

Kuna kitu kimoja ambacho huwa nakiona kutoka kwako, kuna mambo ambayo huwa unazungumza hlf baadae unakuja kutengua kauli zako kana kwamba hujui unasimamia wapi.

Kwa mfano,kuna andiko lako moja ulisema ndoa ni mfumo WA kizamani na ndio Bora Kwa Maisha ya ndoa

Lakini

Mtindo huo huo ndio ambao wazee wetu walifundishwa umuhimu wa kuvumiliana na kustahamiliana katika ndoa na ndio maana mpaka Leo wazazi wetu bado wapo katika ndoa, lakini cha kushangaza sasa hivi unakuja na habar nyingine kwamba hakuna kuvumiliana katika ndoa kwani ni mateso,je chief huwa unakurupuka au.....

Ulizungumzia zamani majukumu mazima ya kusimamia ndoa pamoja na majukumu Yake ni wajibu WA mume na ndio maana hata kipindi kile ndoa zilidumu Sana kwakuwa kuvaa,Kula na mahitaji mengine ilikuwa ni show ya mume.

Lakini Leo unalalamika kuwa mwanamke Hana mchango WA matumizi katika familia au pesa yake ni yake na haisaidii familia.

Chief naona unayumba Sana katika Maandiko yako.

Ni hayo Tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…