Wanaojifanya wanaikubali ndoa wengi wao ni Makatili na watesaji Wakuu

Mkuu, tatizo wapo waliowema wanakutana na mashetani.
Fikiria Malaika anaolewa na Shetani, au Shetani anaoa Malaika. Au malaika anaoa Shetani hapo kuna nini?
Mkuu, tatizo ni wanaume kutokuwa tayari kuwa responsible kuwalinda wenza wao.. Refer Genesis, Adam alipewa Eva.. mzee Adam alifail mahala hadi Eva akakuta na Lucifer.. na hata Mungu alivyotokea adhabu kubwa ilielekezwa kwa Me kwasababu ndio muwajibikaji mkuu.. Kizazi hiki wengi tunakimbia majukumu.. hakuna kiumbe chepesi kama mwanamke kama tu, utahakikisha kipo salama pale kinapo ingia mikononi mwako
 
Tangu zamani Wanawake walikuwa wanamchango mkubwa ndani ya familia.
Walikuwa wakulima, wafugaji, n.k. walikuwa wanasuka ukili,
Nenda umasaini, nenda usukumani, nenda jamii yoyote ya kibantu.
Mwanamke wa kuoa moja ya Sifa yake kuu ilikuwa uchapakazi, kumaanisha mzalishaji.
Ili wasaidieni na mumewe kuzalisha utajiri na Kujenga Familia.
Hiyo ndio ndoa ya kizamani,
Kugawana majukumu ndio kusaidizana kwenyewe Huko.
Sio kuachiana majukumu. Mfumo ambao ni kandamizi na wakinyonyaji Kwa moja ya mwanandoa.

Kunielewa Mimi itakupasa uwe mtulivu Sana. Pia kama unamuda uulize maswali.
Vinginevyo lazima uchanganyikiwe unione napotosha au napuyanga.

Ndio maana kumfurusha Mkeo bila kugawana sehemu ya Mali ilihali naye alikuwa mzalishaji ni uhuni na dhulma Mbaya ambayo haivumiliki.
Ndio maana Mimi Taikon nasema Mwanamke na Mwanaume lazima wafanye kazi Kwa kusaidizana Kwa ajili ya furaha ya Ndoa yao
 
Mkuu jukumu la kufanya kazi ni jukumu la Mwanadamu yeyote awe Mwanamke au Mwanaume kwani kazi ni sehemu ya ibada na utu wa Mwanadamu.
Eva au Adamu wote kazi Yao ilikuwa kufanya kazi. Ingawaje jukumu la Adamu lilikuwa kubwa lakini ukubwa WA jukumu lake utapunguzwa Kwa kusaidiwa na Mkewe Hawa/Eva.

Kimsingi, Mwanamke na Mwanaume ili heshima yake na utu wake ubaki ulivyo ni lazima afanye kazi.
Upendo ndio fungua pekee ya kufungua kufuli lolote katika Maisha ya Ndoa.

Ni kweli ni jukumu la mwanaume kufanya kazi zaidi ya Mwanamke ili kuihudumia familia yake yaani Mkewe na watoto. Lakini haiondoi jukumu la MKE/Mwanamke naye kufanya kazi kuonyesha mchango wa Usaidizi wake katika kuijenga familia.

Kama hatutajifunza hata Kwa Wanyama kna ndege jinsi wanavyojenga familia zao basi tunasafari ndefu.

Vijana wakiume wanapaswa waandaliwe kuwa wanaume kikamilifu ili kutimiza majukumu makubwa ya kifamilia, kijamii na kitaifa. Lakini Wanawake nao lazima wapewe nguvu ili wawasaidie waume zao. Kwani mwanaume bila msaada wa Mwanamke itakuwa NI kazi ngumu
 
๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘† hapo juu ndio point ya msingi
 
Muda wangu ukifika nitaoa. Lakini kusema ukweli kuna watu wameoa ila ni wazinzi,wahuni kuliko sisi ambao hatujaoa. Kwasababu gani sijui ila tupo nao mitaani wanahangaika sana na dunia.
 
Muda wangu ukifika nitaoa. Lakini kusema ukweli kuna watu wameoa ila ni wazinzi,wahuni kuliko sisi ambao hatujaoa. Kwasababu gani sijui ila tupo nao mitaani wanahangaika sana na dunia.

Mtu anaoa kisa anashinikizwa huku anaona kabisa mazingira, Hali ya Maisha, na hajapata MTU wanayependana.
MTU bado hajawa tayari kuacha matabia take ya hovyo alafu anaoa, mwishowe analeta ufisadi, uasherati na usaliti Kwa Siri huku ajitesa kuficha. Huo ndio Utapeli wenyewe.

Sasa si Bora angekaa tuu mwenyewe
 
Changamoto ndio utamu wenyewe wa Maisha
Chan
life is an adventure
changamoto za kimaisha zipo na ni sehemu ya maisha tunakubali

ILA
Kuwa played na mke siyo lazima.
drama na maupupu mengi yakwenye ndoa siyo lazima sisi wengine tukutane nayo/ hayo mambo tumewaachia wenye wanayaweza.
 
Mwanamke asipokupenda lazima atakusumbua tuu.
Mwanamke anayejiona sio hadhi yako kuwa naye lazima atakusumbua tuu.
Mwanaume usipokuwa na Akili na uwezo wa kiume lazima uhangaishwe tuu
 
Dogo huwa unaandika ukiwa umepakatwa na mumeo, maana unaandika upumbav sana humu
 
Mwanamke asipokupenda lazima atakusumbua tuu.
Mwanamke anayejiona sio hadhi yako kuwa naye lazima atakusumbua tuu.
Mwanaume usipokuwa na Akili na uwezo wa kiume lazima uhangaishwe tuu
Mkuu mimi leo nakubaliana nawewe .
umezungumza ukweli mtupu ambao wengine wameupokea ila wanajalibu kukubishia ilimradi tu.
BIG UP BROTHER.
 
Agiza maji popote ulipo nitakulipia Chifu...[emoji120][emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ