Wanaojifanya wanaikubali ndoa wengi wao ni Makatili na watesaji Wakuu

Mungu ameoa?
Malaika wameoa?
Kwa mujibu wa Dini yako.

Ndoa ni upendo kama hakuna Upendo automatically ndoa lazima ipingwe.

Mungu aliwaambia binadamu waoe na kuolewa ikiwa watapata wakufanana na sio vinginevyo.
Acha kujitia kipofu ndg Robert, kila kitu unachokifikilia kinachohusu mahusiano kilipangwa tayari na mwenye mamalaka.

Kwanza nafurahi unaamini yupo Mungu, pili unasema Upendo, sure Upendo pasipo kumfahamu unayekwenda kujenga Upendo kwake ni sawa na kuogelea kwenye bwawa lenye mamba.

Tatu usitake tuamini unachoandika ndicho sahihi NO!, Hakuna kitu kama hicho mengi ni unapotosha sana, wa kufafa nawe huwezi kumjua sababu tabia hazibaki zilezile bali zinabadirika na kuendana na zile mlizonazo baada ya kuishi pamoja.

Ndiyo maana ukiishi na mwenza wako kwa muda mrefu wazee tunasema mnafanana, why kuna uasili wa kimahusiano huwa unahama kwa huyu na huyu mnauvaa each other!.


Sitaki kutaja maandiko but nataka twende kwa uandishi wako, NDOA ni serikali kamili inayojitegemea, Amani ya dunia inatokana na NDOA (hapa huwezi nielewa kijana) NDOA ndiyo inabeba asilimia kubwa ya issues flani hasa kwa waliomo kwenye mahusiano ya NDOA.

Mtu anayechepuka siyo kwamba hana Upendo kwa mwenza wake bali ni anaiarifu NDOA yake na anakuwa sawa na mtenda dhambi yeyote unayemuona, usichanganye dhambi na Upendo ndg Robert.
 
Aisee acheni unafiki ya nini unapinga ndoa halafu hapo hapo unataka kufanya ngono na mwanamke?
Hutaki ndoa basi acha kufanya ngono baki hivyo hivyo au piga punyeto.
Waambie wanawake wasitoe mbususu kama hakuna ndoa, huo msimamo utawasaidia hata nyie wapenda NDOA angalau mtaoa bikira
 
Kumbe huyu jamaa naye ni punga

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kupinga ndoa, ni kumpinga Mungu...

Muanzilishi wa ndoa ni Mungu..

Kataa ndoa ni agenda kutoka kuzimu, ma wanadamu wanatumika kama vifaa vya shetani kupinga mpango wa Mungu kw wanadamu..

Yoyote anae mpinga Mungu ana vinasaba vya kutoka kuzimuni
 
Mungu ameoa?
Malaika wameoa?
Kwa mujibu wa Dini yako.

Ndoa ni upendo kama hakuna Upendo automatically ndoa lazima ipingwe.

Mungu aliwaambia binadamu waoe na kuolewa ikiwa watapata wakufanana na sio vinginevyo.
Umetoa jibu zuri sana mtu makini mwenye akili makini atakua amekuelewa,
 
yote uloandika yanasababishwa na changamoto, so mada yako ilipaswa kuelekeza namna bora ya kuzikabili, sio kuwaita makatili wanaozikubali ndoa.
Ni makatili ndio, unakuaje na michepuko angali umeoa kama siyo upumbavu na kutokujielewa ni nini?
 
Waambie wanawake wasitoe mbususu kama hakuna ndoa, huo msimamo utawasaidia hata nyie wapenda NDOA angalau mtaoa bikira
Wanaoongoza kwa ubakaji ni wanaume au wanawake? hoja yako kusema mwanamke asitoe mbususu ni hoja dhaifu.
Hutaki ndoa acha kufanya ngono,ndoa hutaki ngono unataka huo ni unafiki
 
Unakataa ndoa ila unazini, uasherati kutwa kucha. Hii ni agenda ya devil worshipers. Haita fanikiwa.
Shida ume-comment kwa mhemko, hujauelewa uzi, anyway nisikulaumu maana huenda ufahamu wako ndo umeishia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…