Wanaopinga ndoa wana matatizo au wamekulia kwenye familia zenye mgogoro

Kumekuwa na mijadala mingi sana inayowazuia vijana kuoa au kuolewa, kubwa sana ni kukataa kuoa. Hiyo ni kutokana na mfumo wa maisha ya sasa yalivyo. Ndoa nyingi hazidumu na uaminifu ndani ya ndoa umepungua sana kiasi kwamba wanandoa kusalitiana limekuwa jambo la kawaida na ndio sababu ya ndoa nyingi kuvunjika.

Pamoja na yote hayo haipaswi kuwepo na mjadala wa kuhamasishana watu wasioe/kuolewa au wasiingie kwenye ndoa. Katika hilo kuna watu wanaingia mkenge kwa kufata mkumbo au kumuiga mtu fulani kwa kuwa hataki kuoa/kuolewa nami sioi/siolewi. Hiyo sio poa kabisa kwa sababu watu wanatofautiana na kila mtu ana changamoto zake, changamoto za mke wa fulani haziwezi kuwa sawa na changamoto za mke wa fulani au za mume wa fulani haziwezi kuwa sawa na mume wa fulani. Halafu wengi wanaokataa kuoa/kuolewa wana changamoto za kisaikolojia ambazo wamezipata either kwa kushuhudia au kusimuliwa.

Kwahiyo nawaomba vijana ambao hamjaoa au kuolewa msiogope kuingia kwenye ndoa. Usiangalie na kulinganisha na ndoa ya fulani kwani ndoa yako haiwezi kufanana na hao wengine.

Kubali Ndoa
Ndoa ni Baraka
Ndoa ni Furaha
Ndoa ni Heshima
Kwanza kabisa tungeanza na chanzo cha hii habari mimi nafikiri waliokwenye ndoa wazee na waubwa wetu wangetuonesha hiyo katika miaka hii mmomonyoko wa maadili kuanzia kwa wazee hao waliooa mpaka kwetu vijana ndio imesababisha watu waliowengi kuona ndoa haina maana...mfano

1,Mtu unamconice vipi aolewe na huku anaona waliooa walio wengi wanavidemu mitaani???sasa anaona mbona kama au unakuta kijana huyu huyu ana mahusiano na mke wa mtu inabodi anajiuliza sasa kama aliyeoa tuu anagongewa hivi na mimi yatanikuta.

2,Unakuta kila unakogeuka unasikia vilio,migogoro, mauaji ukirudi nyuma unakuta ni kwa sababu ya ukosefu wa maadili kwa hawa wakubwa zetu ama waliotutangulia,

Kiukweli kwa sasa kama tungelikua na uwezo wa kurestore maadili kwa rika zote ingesaidia sana wanaokataa ndoa wanasema unaona kumbe nikioa ninakua na faida moja mbili tatu zinazoonekana tofauti na mambo ya kufikirika mara sijui heshima.

Mwisho tubadilikeni tabia uko vizuri oa mkeo na isiwe kwa fashion au kusukumwa ila kwa akili yako na uhitaji na pia tujitahidi kuweka image ya ndoa kuwa na heshima na kwa vizazi vijavyo
 
Kumekuwa na mijadala mingi sana inayowazuia vijana kuoa au kuolewa, kubwa sana ni kukataa kuoa. Hiyo ni kutokana na mfumo wa maisha ya sasa yalivyo. Ndoa nyingi hazidumu na uaminifu ndani ya ndoa umepungua sana kiasi kwamba wanandoa kusalitiana limekuwa jambo la kawaida na ndio sababu ya ndoa nyingi kuvunjika.

Pamoja na yote hayo haipaswi kuwepo na mjadala wa kuhamasishana watu wasioe/kuolewa au wasiingie kwenye ndoa. Katika hilo kuna watu wanaingia mkenge kwa kufata mkumbo au kumuiga mtu fulani kwa kuwa hataki kuoa/kuolewa nami sioi/siolewi. Hiyo sio poa kabisa kwa sababu watu wanatofautiana na kila mtu ana changamoto zake, changamoto za mke wa fulani haziwezi kuwa sawa na changamoto za mke wa fulani au za mume wa fulani haziwezi kuwa sawa na mume wa fulani. Halafu wengi wanaokataa kuoa/kuolewa wana changamoto za kisaikolojia ambazo wamezipata either kwa kushuhudia au kusimuliwa.

Kwahiyo nawaomba vijana ambao hamjaoa au kuolewa msiogope kuingia kwenye ndoa. Usiangalie na kulinganisha na ndoa ya fulani kwani ndoa yako haiwezi kufanana na hao wengine.

Kubali Ndoa
Ndoa ni Baraka
Ndoa ni Furaha
Ndoa ni Heshima
chanzo cha kukataa kuoa kuolewa chanzo ni ukirisito paulo akuoa alikuwa hanithi papa padiri hawaoi kazi kuwa ingilia watoto wa kiume kinyume cha maumbile hao vijana wasio taka kuoa hiyo ndio tabia yao ushoga na kusagana viongozi wao hawa hapo chini wakiabudu sanamu
download.jpg
 
Kupinga ndoa ni kampeni ya wanaosapoti mapenzi ya jinsia moja.

NB. Kama Baba yangu alimuoa mama yangu, nipinge ndoa mimi ni nani?
kiongozi wao huyu hapa [emoji116][emoji116]
download.jpg
 
Kupinga ndoa ni kampeni ya wanaosapoti mapenzi ya jinsia moja.

NB. Kama Baba yangu alimuoa mama yangu, nipinge ndoa mimi ni nani?

Kama baba yako alikuwa mlevi upinge ulevi wewe nani?
Kama Ako alikuwa tapeli, upinge UTAPELI wewe nani?
Kama baba Ako alikuwa mwizi mwizi, upinge uwizi wewe?

Hey man, everybody has his/her path in life.

Choose yours, CHOOSE WISELY.

Nilizaliwa nikakuta baba kamuoa mama, ila Mimi kuoa HAPANA.

That's my life, is my choice.

#YNWA
 
Protector

""Halafu wengi wanaokataa kuoa/kuolewa wana changamoto za kisaikolojia ambazo wamezipata either kwa kushuhudia au kusimuliwa.""

Kwakuwa hatuamini unachoamini basi TUNAMATATIZO YA SAIKOLOJIA.

Hey man, mbona Kuna mengi watu wanafanya wewe hufanyi, KWA KUWA HUFANYI, HUNA MATATIZO YA AKILI KWELI?

Mwamba achia kila mtu Aishi style yake ya maisha.

#YNWA
 
Well said👏👏

Yeah wametoka kwenye broken family

Mtu wanawake wamemshinda anaanza kampeni ya kupangia wengine wasioe.

Hivi mtu utokee kwenye familia yenye upendo unapata wapi nguvu ya kuandika kataa ndoa😬

Mwanaume unapo andika kataa ndoa una maanisha unataka kuolewa ama🤷🏼‍♀️

Hawa ni mawakala wa shetani hakuna namna.

Haya, nimewakusanya wotee ili niwaambie "Nyie tukaneni, kebehini, ropokeni" yaani andikeni lolote ila HATUOI HATUOI HATUOI.

Anyway:- Karibu gheto tusikilize song la zuena la mkali mwenzetu MOND A.K.A mkataa ndoa A.K.A baba Tiffah.

Nasubiri matusi yoteee
Nasubiri kejeli zotee
.... Ila YATAPITAAAAAAAA

Nakala:-
dronedrake
Mafian cartel

Waione kwenye jalada.

Anyway:- Karibu gheto tusikilize song la zuena la mkali mwenzetu MOND A.K.A mkaa ndoa A.K.A baba Tiffah.

Nasubiri matusi yoteee
Nasubiri kejeli zotee
.... Ila YATAPITAAAAAAAA

Nakala:-
dronedrake
Mafian cartel

Waione kwenye jalada.

#YNWA
Umetisha mzee eti nakala waione kwenye jalada
 
Haya, nimewakusanya wotee ili niwaambie "Nyie tukaneni, kebehini, ropokeni" yaani andikeni lolote ila HATUOI HATUOI HATUOI.

Anyway:- Karibu gheto tusikilize song la zuena la mkali mwenzetu MOND A.K.A mkataa ndoa A.K.A baba Tiffah.

Nasubiri matusi yoteee
Nasubiri kejeli zotee
.... Ila YATAPITAAAAAAAA

Nakala:-
dronedrake
Mafian cartel

Waione kwenye jalada.

#YNWA
🤣🤣🤣
 
Oshey mr [emoji383]
 
Protector

""Halafu wengi wanaokataa kuoa/kuolewa wana changamoto za kisaikolojia ambazo wamezipata either kwa kushuhudia au kusimuliwa.""

Kwakuwa hatuamini unachoamini basi TUNAMATATIZO YA SAIKOLOJIA.

Hey man, mbona Kuna mengi watu wanafanya wewe hufanyi, KWA KUWA HUFANYI, HUNA MATATIZO YA AKILI KWELI?

Mwamba achia kila mtu Aishi style yake ya maisha.

#YNWA
Wengi wanaokataa kuoa ukiwauliza watakwambia wanawake hawajatulia, kwa jibu hilo inasadiki kwamba wengi wameshuhudia au kusimuliwa matitizo ya ndoa fulani ndiyo maana wakawa na msimamo huo.

#YNWA
 
Kama baba yako alikuwa mlevi upinge ulevi wewe nani?
Kama Ako alikuwa tapeli, upinge UTAPELI wewe nani?
Kama baba Ako alikuwa mwizi mwizi, upinge uwizi wewe?

Hey man, everybody has his/her path in life.

Choose yours, CHOOSE WISELY.

Nilizaliwa nikakuta baba kamuoa mama, ila Mimi kuoa HAPANA.

That's my life, is my choice.

#YNWA
huya kiongozi wa kikiristo kwani akuzaliwa na baba na mama je yeye kaoa? kazi yao kubwa kueneza ushoga na usagaji na kuabudu masanamu
download.jpg
 
Back
Top Bottom