Wanaopinga ndoa wana matatizo au wamekulia kwenye familia zenye mgogoro

Kupinga ndoa ni kampeni ya wanaosapoti mapenzi ya jinsia moja.

NB. Kama Baba yangu alimuoa mama yangu, nipinge ndoa mimi ni nani?
Babaako alikufa masikini utafute hela wewe ni nani? Ndo akili zako hizo au kuna zingine?
 
Kina diamond Ronaldo eloni mask wamekataa ndoa pia hakuna mwanaume mwenye akil mingi kipndi cha sasa anakubli huo ujinga
 
Mwanaume anaye andika eti “kataa ndoa”huwa namuona hana maadili na ametokea katika familia ya ajabu mno.
Ulikomenti utumbo kwenye nyuz za dr mwaka then unataka watu waoe hiv mnafikir hatuwaoni?
 
Achana na kutokuoa yani Huyu hakuwa hata na geto ila wafuasi wlikuwa nao
Kama ulikua haujui papa ndo alileta sheria za ndoa na uvaaji wa Pete baada ya ndoa. , ndoa zilikua zaman kwa sasa tupo bize na mbususu tu
 
Hakuna mkataa ndoa alie tendwa anglia nyuzi za wanaume wapumbavu wanavyolalamika kutendwa kila sku , mara kasalitiwa mara anataka jiua kisa mke wake kaamua kumpa kidude chake mwamba mwingne , utafkir hyo k ni Mali yake
 
Sio broken family tu

Wengi wao hasa wakiume, ni wasio na uwezo wa kusimamisha
Wasio weza kuzalisha.
Wagonjwa wa ukimwi

Wanatumia hiyo mbinu kujiweka kando ili wasiaibike
Mkuu wake zetu si ndo wanaomba talaka wanakuja kwetu wakataa ndoa unanipa hasra niwe nawazagamua tu hao wake wenu wa ndoa ujue
 
Pambana na hali yako kwa uburu. Most married men don't cares about your status, wanawaza ada, chakula bima za afya n.k.
nina watoto watatu ndani ya ndoa ya mtu ninawalea mwenyewe , huyo mjinga wala halei chochote ni Mario tu
 
Reactions: Tsh
Real wife ni wabaya wa sura na umbo au waliojikatia tamaa ya maisha yani nioe uchafu kisa wana tabia nzuri ? Sipo hapa kuoa ili kuonea huruma viumbe mkuu , bila ndoa nakula mbususu ninayo taka mkitaka tuoe waambieni dada zenu wabane mabaja
 
Mkuu watoto wa kwenye ndoa wengi wao ndo mashoga chunguza mkuu usiropoke tu
 
Kataa ndoa hii kampeni ipo moyon mwa kla mwanaume , hakuna mwanaume anahamasisha kufunga ndoa ,ndoa nyingi unakuta wadada ndo wamezipigania , ebu ishi na mwanaume usigusie swala la ndoa uone kma ataangaika kufunga ,kiufupi tunazikataa cze wadada wa sasa wanaztumia kma fimbo kwa ss wanaume wapambanaji , hakuna mwanaume mwenye pesa amezipata mwenyewe ataomba kuingia kwenye mtego wa ndoa labda ukute anataka asaidiane na mwanamke kupata uchumi au wale Mario mnaowapenda.
 
Ndoa nyingi hazidumu na uaminifu ndani ya ndoa umepungua sana kiasi kwamba wanandoa kusalitiana limekuwa jambo la kawaida na ndio sababu ya ndoa nyingi kuvunjika.
Anza na Sheria ya Ndoa hizo zingine mbwembwe tu, tatizo linaanza kwenye Sheria ya Ndoa haina usawa kwa pande mbili inakandamiza pande moja na kuinyanyua pande nyingine Ndoa ni km mradi wa Kitapeli uliopakwa rangi na hutumiwa zaidi na wanawake wapigaji kuwatapeli wanaume anajua akiingia kwenye ndoa anavuna asivyovitafuta anavipata bure
 
Unasemea mioyo ya wanaume wengine wakati wewe una changamoto zako za kiafya? Marijali kila siku nawaskia huku wana support ndoa, wameoa, wana familia na wanaheshimika. Nyie wenye agenda zenu za siri mnajipa moyo kataa ndoa ila utelezi mnaupigania. Ndo maana mnafia gesti.

Na kwa bahati nzuri mimi ni shuhuda wa hiyo style ya kutokuongelea ndoa, the moment mwanaume akiona uko busy na maisha yako and umejipanga anatamani uwe mke wake. Sasa nyinyi mna date na kina mwajuma ndalandefu unachunwa af tatu za vicoba lazima ulilie kataa ndoa. Hujapata mwanamke mwenye calliber ya kuwa mke. Sikulaumu😄 change your relationship circle acha ku date cheap
 
Ndoa haina maana acha wizi ao dada zenu Ni zaidi ya Uchafu wake zenu wanagawa uchi Sana

Unataka kutuingiza matatizoni sio?
 
Ndoa haina maana acha wizi ao dada zenu Ni zaidi ya Uchafu wake zenu wanagawa uchi Sana

Unataka kutuingiza matatizoni sio?
Umeona kwa bi mkubwa nini? Au dada zako nyumbani? Sio makosa yako bali ni mazingira uliyokulia ndo yanakupelekea kudhani wanawake wote ni kama wa huko kwenu.

Acha marijali watunze ndoa zao
 
Nipe ndo ni mfumo uliojengwa ili kumpa mwanamke uhalali wa kupata haki katika mali mlizochuma na hakuna kingine,nipe faida ya cheti cha ndoa kwa mwanamme kama ,nipe hata moja,ndoa humtia kibri mwanamke yaani inakuwa sawa na fundi gari aliyepewa gari ya police aitest kwa siku moja mjini,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…