kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Huwezi kupata fedha halafu zote ukaenda kuzitumia kununua magari. Bila shaka fedha ya kununulia magari ni sehemu ndogo tu ya fedha anayopata mtu, maana hata hayo magari yatahitaji kufanyiwa services na matumizi mengine kama ada za watoto, nk.
Kama Heche ametumia fedha nyingi kununulia magari wakati huuhuu wakati boss wake yuko gerezani maana yake amezipata fedha hizo wakati Lissu yuko gerezani.
Hii inadhihirisha kuwa Heche hataki Lissu awe huru kifaida zaidi binafsi na genge lake la akina Maria na Mange na Hilda na wengine. Ni wanufaika wa Lissu kuwa gerezani.
HEbu sikiliza mahojiano ya Heche na Katuga mahakamani