Kaoneshwa mwamala umeingia kwenye account yake akasema huyo mtu aliyemtumia hamjuiUnataka kusemaje?
Heche hana ndugu hana marafiki, hana biashara, achezi kamari, ahongwi na mke wake au mwanamke wake,
Au unataka kusema maisha ya Heche yanatakiwa kusimama kabisa? Hata mafuta asipake?
Kama tunaamini kesi ya lissu sio kesi ya mchongo then mahakama itaamua
Na yeye mwenyewe lissu ni mtu mzima, anaweza kuamua chochote,
Kuwa na magari ni dhambi?
Kaoneshwa mwamala umeingia kwenye account yake akasema huyo mtu aliyemtumia hamjui
MTu mmoja hawezi kupanga kuipindua nchi? Kwani zile vurugu za oct29 kama zingeachwa ziendelee hazingeweza kuipindua serikali? Ili ziweze kuleta mabadiliko aliyosema Lissu zilipaswa ziharibu nini na nini?Mnufaika wa kesi ya Lissu ni aliyembambikia kesi hiyo, ambaye ni CCM na serekali yake.
Mtu mmoja anapinduaje serekali bwana?... Be serious mleta mada.
Lissu hajawekwa ndani na Heche bali CCM na serekali yake.
Kosa lenu ni kuharibu hata hiki cha kwetu sisi tusiokuwa na vyama. Mmenunua ugomvi kutoka kwa wananchi wenye mali na wanufaika wa barabara za mwwndokasi na vituo vya polisi.Mbona mnawashwa sana kwenye nusu kipenyo chenu? Mkilala cdm mkiamka cdm. Halafu wananchi iko mioyoni mwao. Ni mpango wa Mungu kamwe binadamu hawezi kupangua ,ni kama uhai na kifo. Aluuuhhh!
Kwanza lazima umvuruge shahidi kwa maswali, na alivurugika kweli kwa taarifa zile kujulikana. Kama yalikuwa halali mbona alitaja magari mawili tu?Ni kwamba kwa muda wote akiwa mbunge, kufanya biashara, nk angekosa hela ya kununulia hayo magari! Wenye uwezo wa kununua magari ni nyinyi maccm tu!
Ni kwamba hayo magari ndiyo yamesababisha uhaini wa Lissu, vurugu kutokea Oktoba 2025! ccm mnatia aibu mpaka basi.
Bilioni 40 za kagoda limited hukupata mgao?Huwezi kupata fedha halafu zote ukaenda kuzitumia kununua magari. Bila shaka fedha ya kununulia magari ni sehemu ndogo tu ya fedha anayopata mtu, maana hata hayo magari yatahitaji kufanyiwa services na matumizi mengine kama ada za watoto, nk.
Kama Heche ametumia fedha nyingi kununulia magari wakati huuhuu wakati boss wake yuko gerezani maana yake amezipata fedha hizo wakati Lissu yuko gerezani.
Hii inadhihirisha kuwa Heche hataki Lissu awe huru kifaida zaidi binafsi na genge lake la akina Maria na Mange na Hilda na wengine. Ni wanufaika wa Lissu kuwa gerezani.
HEbu sikiliza mahojiano ya Heche na Katuga mahakamani
Kwaiyo na selekali pia watakuwa na mgao kutoka kwa heche kwa sababu kama wangekuwa hawana mgao wameishajuwa kuwa hiyo kesi inamnufaisha heche ilitakiwa wamuachie lisu ili asiendelee kupata manufaa tenaHuwezi kupata fedha halafu zote ukaenda kuzitumia kununua magari. Bila shaka fedha ya kununulia magari ni sehemu ndogo tu ya fedha anayopata mtu, maana hata hayo magari yatahitaji kufanyiwa services na matumizi mengine kama ada za watoto, nk.
Kama Heche ametumia fedha nyingi kununulia magari wakati huuhuu wakati boss wake yuko gerezani maana yake amezipata fedha hizo wakati Lissu yuko gerezani.
Hii inadhihirisha kuwa Heche hataki Lissu awe huru kifaida zaidi binafsi na genge lake la akina Maria na Mange na Hilda na wengine. Ni wanufaika wa Lissu kuwa gerezani.
HEbu sikiliza mahojiano ya Heche na Katuga mahakamani
Ikitokea hivyo lazima utoe taarifa kwa mamlaka na uzirudishe kwa mwenyewe haraka.
Sasa yeye si anasema mumtoe ili asinufaike mbona akili zenu ziko makalioni badala ya kichwani.Huwezi kupata fedha halafu zote ukaenda kuzitumia kununua magari. Bila shaka fedha ya kununulia magari ni sehemu ndogo tu ya fedha anayopata mtu, maana hata hayo magari yatahitaji kufanyiwa services na matumizi mengine kama ada za watoto, nk.
Kama Heche ametumia fedha nyingi kununulia magari wakati huuhuu wakati boss wake yuko gerezani maana yake amezipata fedha hizo wakati Lissu yuko gerezani.
Hii inadhihirisha kuwa Heche hataki Lissu awe huru kifaida zaidi binafsi na genge lake la akina Maria na Mange na Hilda na wengine. Ni wanufaika wa Lissu kuwa gerezani.
HEbu sikiliza mahojiano ya Heche na Katuga mahakamani
Sasa mnataka Heche anufaike?Serikali hawaathiriki na chochote kwa Lissu kuweko jela. Akae tu.
Lissu mmembambika kesi miezi 5 kabla ya kesi. Nashawishika kuamini kuwa vurugu zilifanywa na CCM ili m justify case dhidi ya Lissu.MTu mmoja hawezi kupanga kuipindua nchi? Kwani zile vurugu za oct29 kama zingeachwa ziendelee hazingeweza kuipindua serikali? Ili ziweze kuleta mabadiliko aliyosema Lissu zilipaswa ziharibu nini na nini?
Tofautisha kati ya saa mbovu na nzima kama unaweza. Vile mlivyochoma oct29 havikuwa mali ya Samia. Ndio maana tunawaandamana sisi wenye vitu vyetu. Ni mpumbavu pekee ambae anafurahia miundombinu yetu kuharibiwa na genge. Mimi maslahi yangu ni barabara, umeme, reli, maji, amani na utulivu nifanye mambo yangu sio Heche, Lissu wala Samia, wala Wasira.Mnaotumwa kumchafua Heche, basi kazi kwenu na hachafukii kabisaa. Lol.
Kisimi cha ****** wako kinakuwasha ukiisikia Chadema tuHuwezi kupata fedha halafu zote ukaenda kuzitumia kununua magari. Bila shaka fedha ya kununulia magari ni sehemu ndogo tu ya fedha anayopata mtu, maana hata hayo magari yatahitaji kufanyiwa services na matumizi mengine kama ada za watoto, nk.