kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
- Thread starter
- #61
Hakuna mtu anaweza kupindua serikali ya CCM. CCM ni web mosaic system iliyosambaa kutoka Uganda, Burundi, Rwanda, Zambia, Msumbiji, Angola, Zimbabwe, Namibia, South Afrika, CHINA, Cuba, Urusi hadi Misri. Ukigomba na CCM unaongea kugombana na nchi zote hizi kwa wakati mmoja. Kuweni wapole mtumie dialogue zaidi kiliko kutumia viguvu kama vile.Na mtapinduliwa tu wajinga nyie.
Thabo Mbeki hakibaliki hata huko kwao South Afrika.