Wanaosema Heche ananufaika na kesi ya Lissu sio waongo, amethibitisha

Huwezi kupata fedha halafu zote ukaenda kuzitumia kununua magari. Bila shaka fedha ya kununulia magari ni sehemu ndogo tu ya fedha anayopata mtu, maana hata hayo magari yatahitaji kufanyiwa services na matumizi mengine kama ada za watoto, nk.

Kama Heche ametumia fedha nyingi kununulia magari wakati huuhuu wakati boss wake yuko gerezani maana yake amezipata fedha hizo wakati Lissu yuko gerezani.

Hii inadhihirisha kuwa Heche hataki Lissu awe huru kifaida zaidi binafsi na genge lake la akina Maria na Mange na Hilda na wengine. Ni wanufaika wa Lissu kuwa gerezani.

HEbu sikiliza mahojiano ya Heche na Katuga mahakamani
Muachilieni Lissu ili Heche asinufaike basi.
We kilaza unadhani Heche ni kapuku kana hayati fazaako?
 
chadema ni genge la watu wachache unaoweza kuwadhibiti kirahisi. Lissu yuko ndani zaidi ya mwaka, wanafanya nini tuwaone? Heche na wenzake wanashangalia nyuma ya pazia mifweza inaingia mifukoni. Atakwambia "msikubaliii, niko tayari kufwa" hii ni ajira yangu ya kufa mtu.
 
Na kweli utakufa aisei. Nchi hii tayari iko huru tangu 1961. Usisahahu kuwa Hawa waliomshangilia Mkapa bado wapo hai tena wengi sana

View: https://youtu.be/a4c3MQwGD0g?si=9pWtynKxmiL6WjPz

IMG_20240922_035102.jpg
Screenshot_20250729-090555~2.png
downloadfile-19.jpg
Screenshot_20260827-082333.png
 
Ni kwamba kwa muda wote akiwa mbunge, kufanya biashara, nk angekosa hela ya kununulia hayo magari! Wenye uwezo wa kununua magari ni nyinyi maccm tu!

Ni kwamba hayo magari ndiyo yamesababisha uhaini wa Lissu, vurugu kutokea Oktoba 2025! ccm mnatia aibu mpaka basi.
Hayo magari amenunua kipindi hiki wakati sio mbunge,na lisu yuko gerezani, jiulize, pesa ametoa wapi?
 
Huwezi kupata fedha halafu zote ukaenda kuzitumia kununua magari. Bila shaka fedha ya kununulia magari ni sehemu ndogo tu ya fedha anayopata mtu, maana hata hayo magari yatahitaji kufanyiwa services na matumizi mengine kama ada za watoto, nk.

Kama Heche ametumia fedha nyingi kununulia magari wakati huuhuu wakati boss wake yuko gerezani maana yake amezipata fedha hizo wakati Lissu yuko gerezani.

Hii inadhihirisha kuwa Heche hataki Lissu awe huru kifaida zaidi binafsi na genge lake la akina Maria na Mange na Hilda na wengine. Ni wanufaika wa Lissu kuwa gerezani.

HEbu sikiliza mahojiano ya Heche na Katuga mahakamani
We wa kupimwa mkojo sio bure................
 
Pesa ya mwaka 2024 Tena ya biashara milioni 20 inakuuma sana kuliko ripoti ya CAG. Mbona CCM walichanga bilioni 86 na hakuna anaye uliza.
 
MTu mmoja hawezi kupanga kuipindua nchi? Kwani zile vurugu za oct29 kama zingeachwa ziendelee hazingeweza kuipindua serikali? Ili ziweze kuleta mabadiliko aliyosema Lissu zilipaswa ziharibu nini na nini?
Na mtapinduliwa tu wajinga nyie.
 
Akili za Uvccm nenda kajaze comment kwenye post ya heche upewe buku 7 yako
 
Hayo magari amenunua kipindi hiki wakati sio mbunge,na lisu yuko gerezani, jiulize, pesa ametoa wapi?
Acha uongo. Halafu uwe na aibu. Magari kanunua hata kabla hajawa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA. Katuga alikuwa anatafuta watu kama wewe ambao huropoka bila kujua wanachoropoka.
 
Huwezi kupata fedha halafu zote ukaenda kuzitumia kununua magari. Bila shaka fedha ya kununulia magari ni sehemu ndogo tu ya fedha anayopata mtu, maana hata hayo magari yatahitaji kufanyiwa services na matumizi mengine kama ada za watoto, nk.

Kama Heche ametumia fedha nyingi kununulia magari wakati huuhuu wakati boss wake yuko gerezani maana yake amezipata fedha hizo wakati Lissu yuko gerezani.

Hii inadhihirisha kuwa Heche hataki Lissu awe huru kifaida zaidi binafsi na genge lake la akina Maria na Mange na Hilda na wengine. Ni wanufaika wa Lissu kuwa gerezani.

HEbu sikiliza mahojiano ya Heche na Katuga mahakamani
Wewe ndiyo mongo kuwa anafaidika,na wanaolihujumu taifa na mtandao wao tunahitaji kuwatambua wote!
 
Back
Top Bottom