Wanaosema Heche ananufaika na kesi ya Lissu sio waongo, amethibitisha

Kaoneshwa mwamala umeingia kwenye account yake akasema huyo mtu aliyemtumia hamjui
 
Mnufaika wa kesi ya Lissu ni aliyembambikia kesi hiyo, ambaye ni CCM na serekali yake.
Mtu mmoja anapinduaje serekali bwana?... Be serious mleta mada.
Lissu hajawekwa ndani na Heche bali CCM na serekali yake.
MTu mmoja hawezi kupanga kuipindua nchi? Kwani zile vurugu za oct29 kama zingeachwa ziendelee hazingeweza kuipindua serikali? Ili ziweze kuleta mabadiliko aliyosema Lissu zilipaswa ziharibu nini na nini?
 
Mbona mnawashwa sana kwenye nusu kipenyo chenu? Mkilala cdm mkiamka cdm. Halafu wananchi iko mioyoni mwao. Ni mpango wa Mungu kamwe binadamu hawezi kupangua ,ni kama uhai na kifo. Aluuuhhh!
Kosa lenu ni kuharibu hata hiki cha kwetu sisi tusiokuwa na vyama. Mmenunua ugomvi kutoka kwa wananchi wenye mali na wanufaika wa barabara za mwwndokasi na vituo vya polisi.
 
Kwanza lazima umvuruge shahidi kwa maswali, na alivurugika kweli kwa taarifa zile kujulikana. Kama yalikuwa halali mbona alitaja magari mawili tu?
 
Sema vitu vingine vinatia hasira, unafika hatua unajiuliza hivi mtu kama mtoa post Wana ubongo au hawana. Heche kawa mbunge, ni mfanyabiashara.

Heche ni mfugaji wa Ng'ombe ni mkulima wa parachichi zao linalotajirisha vijana huko njombe ashindwe kununua gari la million mia?. Na milion sitini?

Haya tuseme Heche ananufahika na uwepo wa Lissu ndani. Kama serikali inaona ananufahika si imuachie huru Ili Heche asinufaike. Ukifikiri unaona ni mtu wa chekechea tu ataogelea kwenye petty propaganda kama hizi.

Kabla amjakuja na mabandiko ya namna hii msisahau mnawaletea watu wenye uwezo wa kureason na kujenga judgment.
 
Bilioni 40 za kagoda limited hukupata mgao?
Mliacha Mzee Mkapa akilalamika hadi anaingia kaburini
Ama kweli CCM ina wenyewe.
 
Kumbe huu uzezeta bado mnao, kama ananufaika si mwachilieni Lissu ili Heche akose manufaa hayo.
 
Kwaiyo na selekali pia watakuwa na mgao kutoka kwa heche kwa sababu kama wangekuwa hawana mgao wameishajuwa kuwa hiyo kesi inamnufaisha heche ilitakiwa wamuachie lisu ili asiendelee kupata manufaa tena
 
Sasa yeye si anasema mumtoe ili asinufaike mbona akili zenu ziko makalioni badala ya kichwani.
 
Haya mambo haya acha tu upofu wa kufikiri unaweza kukupoteza hawa hawa ndo walituaminisha Lissu alijipiga risasi 😂
 
MTu mmoja hawezi kupanga kuipindua nchi? Kwani zile vurugu za oct29 kama zingeachwa ziendelee hazingeweza kuipindua serikali? Ili ziweze kuleta mabadiliko aliyosema Lissu zilipaswa ziharibu nini na nini?
Lissu mmembambika kesi miezi 5 kabla ya kesi. Nashawishika kuamini kuwa vurugu zilifanywa na CCM ili m justify case dhidi ya Lissu.
 
Mnaotumwa kumchafua Heche, basi kazi kwenu na hachafukii kabisaa. Lol.
Tofautisha kati ya saa mbovu na nzima kama unaweza. Vile mlivyochoma oct29 havikuwa mali ya Samia. Ndio maana tunawaandamana sisi wenye vitu vyetu. Ni mpumbavu pekee ambae anafurahia miundombinu yetu kuharibiwa na genge. Mimi maslahi yangu ni barabara, umeme, reli, maji, amani na utulivu nifanye mambo yangu sio Heche, Lissu wala Samia, wala Wasira.

Tunaweza kufanya utani na mabishano mengine lakini sio kwenye huduma za umma.
 
Kisimi cha ****** wako kinakuwasha ukiisikia Chadema tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…