Wanaosema Heche ananufaika na kesi ya Lissu sio waongo, amethibitisha

Muachilieni Lissu ili Heche asinufaike basi.
We kilaza unadhani Heche ni kapuku kana hayati fazaako?
 
Muachilieni Lissu ili Heche asinufaike basi.
We kilaza unadhani Heche ni kapuku kana hayati fazaako?
chadema ni genge la watu wachache unaoweza kuwadhibiti kirahisi. Lissu yuko ndani zaidi ya mwaka, wanafanya nini tuwaone? Heche na wenzake wanashangalia nyuma ya pazia mifweza inaingia mifukoni. Atakwambia "msikubaliii, niko tayari kufwa" hii ni ajira yangu ya kufa mtu.
 
Hayo magari amenunua kipindi hiki wakati sio mbunge,na lisu yuko gerezani, jiulize, pesa ametoa wapi?
 
We wa kupimwa mkojo sio bure................
 
Pesa ya mwaka 2024 Tena ya biashara milioni 20 inakuuma sana kuliko ripoti ya CAG. Mbona CCM walichanga bilioni 86 na hakuna anaye uliza.
 
MTu mmoja hawezi kupanga kuipindua nchi? Kwani zile vurugu za oct29 kama zingeachwa ziendelee hazingeweza kuipindua serikali? Ili ziweze kuleta mabadiliko aliyosema Lissu zilipaswa ziharibu nini na nini?
Na mtapinduliwa tu wajinga nyie.
 
Akili za Uvccm nenda kajaze comment kwenye post ya heche upewe buku 7 yako
 
Hayo magari amenunua kipindi hiki wakati sio mbunge,na lisu yuko gerezani, jiulize, pesa ametoa wapi?
Acha uongo. Halafu uwe na aibu. Magari kanunua hata kabla hajawa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA. Katuga alikuwa anatafuta watu kama wewe ambao huropoka bila kujua wanachoropoka.
 
Wewe ndiyo mongo kuwa anafaidika,na wanaolihujumu taifa na mtandao wao tunahitaji kuwatambua wote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…