Wanaosema Heche ananufaika na kesi ya Lissu sio waongo, amethibitisha

Na mtapinduliwa tu wajinga nyie.
Hakuna mtu anaweza kupindua serikali ya CCM. CCM ni web mosaic system iliyosambaa kutoka Uganda, Burundi, Rwanda, Zambia, Msumbiji, Angola, Zimbabwe, Namibia, South Afrika, CHINA, Cuba, Urusi hadi Misri. Ukigomba na CCM unaongea kugombana na nchi zote hizi kwa wakati mmoja. Kuweni wapole mtumie dialogue zaidi kiliko kutumia viguvu kama vile.

Thabo Mbeki hakibaliki hata huko kwao South Afrika.
 
Muachilieni Lissu ili Heche asinufaike basi.
We kilaza unadhani Heche ni kapuku kana hayati fazaako?
Lissu hawamuachii ili iwe fundisho kwa wale wanaodhani kuwa wakiachiwa maana yake walibambikiwa kesi za uongo. Wacha apambane hadi mwisho.

Lissu amesababisha uharibifu, vifo vingi sana vya watubwasiokuwa na hatia na kuitumbukiza nchi kwenye aibu kubwa. Bahati nzuri alikuwa anajua kuwa vurugu anazopanga zingesababisha majeraha na vifo kwa wataoitikia wito wake lakini hakujali hilo. Hana tofaiti na Kinjekitile aliyewadanganya askari wake kuwa risasi za wajerumani zingegeuka maji zinapotua kwenye miili yao. Tofauti na Lissu ni kwamba yeye aliwaambia utaumia kidogo tu lakini watashinda. Alitumia uwenyekiti, uwanasheria na umaarufu wake na umaskini wa vijana kuwashawishi vijana washiriki zoezi hatari sana kwa manufaa ya genge lake. Wale vijana walikuwa ni vijana wa kawaida sana, hata kama mapinduzi yangefanikiwa wengi wao wangebakia na kuendesha bodaboda zao tu kama zamani. Wanifaika na mapinduzi wote ama walijificha magerezani, majumbani mwao au nje ya nchi ili waseme hatukushiriki kama mambo yatakwenda kinyume na mipango na matarajio yao.

Dhambi hii lazima watubu la sivyo itawatafuna wote kwelikweli. Huwezi kumchokoza na kumchezea chatu halafu akikukamata umuite mbaya. Lissu kawatuma vijana wakamrushie mawe chatu, sasa kelele zake zote ni kumlaumu chatu baada ya watoto kumezwa. Wapumbavu wanamlaumu chatu eti kwanini asingewakamata kwenye nguo zao tu na kuwaacha wakimbie. Sisi siobwajinga wa hivyo. Sisi kule jeshini hakuna adui mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…