Biashara unayo...ambayo iko registered? Inayengeneza faida usifikiri bank wanatoa tu hela? Hicho kiwanja cha 3M kiko wapi? Kina hati? Ukishachukulia mkopo unalipa na nini kila.mwezi? Biashara ndio inalipa deni sio kiwanja....Kwa milioni 30 za kujenga nyumba, bora uwe na viwanja 10.
Chukulia mkopo viwili, halafu anza kujenga.
Kajenge Katoro inalipaHao wanaopata shida, wanaipata sio kwakua wamepanga bali ni sehemu walizopanga.
Nyumbani kwangu ni Dsm ila nipo Geita for 8 years now, huku napo nijenge?
Maaajabu sanaHivi bank wanakubali kutoa mkopo ukiwa na hati ya kiwanja ambacho hakina jengo?
Watu wengi Hawaelewi namna mambo yanakwenda inabidi tuendele kupeana elimu itatusaidiaa..!Trump anajenga kwenye prime location pia hatumii cash kujenga, ni mkopo wakati watz wanadunduliza savings zao kwa ajili ya kujenga kwa miaka.
Hivi mtu anaetoa 500m Kariakoo anaunua zile mbavu za mbwa au eneo?! Mbavu za mbwa si angejenga mwenyewe huko Mbande! Pale ananunua eneo mbona ni kitu rahisi kueleweka?
Watu wanakaza shingo sana hawataki kuelewa aisee .. wamekaririHuyo aliyejenga nyumba kariakoo mwaka 1970 saizi umemuona yupo katika hali gani? nyumba tunajenga kama security ya maisha tu kwamba ikitokea siku huna ajira basi usishindwe kulipa kodi ukae kwako. Kama sio mfanyabiashara ukijenga nyumba umefukia pesa shimoni. Unajenga nyumba ya milion 70 mpangaji analipa kodi sh laki 2. mpaka ije irudi pesa uliyoifukia hapo ni miaka 20 ijayo baada ya hiyo miaka 20 nyumba yako inaonekana kama kibanda cha mganga wa kienyeji. Wafanyabiasha wanajenga nyumba wanaenda benk wanakopea mzigo wa maana wanauzungushia ndani ya muda mfupi wanapata faida kibao kodi za wapangaji ndo marejesho ya mkopo
Mimi siwezi kuchukua mkopo nikanunue sub woofers na fridge.Biashara unayo...ambayo iko registered? Inayengeneza faida usifikiri bank wanatoa tu hela? Hicho kiwanja cha 3M kiko wapi? Kina hati? Ukishachukulia mkopo unalipa na nini kila.mwezi? Biashara ndio inalipa deni sio kiwanja....
Wee unachekesha sana.Kobello ni mshamba sana anafikiri kujenga kunazuia kuwa na viwanja vingi
Mkuu hujanielewa ni hv kazi au kiwanja na nyumba ni dhamana tu ya mkopo! Unapaje wanaevalute business..yako.ndio maana yangu ambayo utakuwa una 7 return each month.!!..unaposema nanunua viwanja kisha nakopea bank bado kuna a lot of evaluation alafu hela ya bank ndio ujengee!! First uwe nayo biashara kwanza....Mimi siwezi kuchukua mkopo nikanunue sub woofers na fridge.
Kwa hiyo unavyoniuliza unalipa na nini kwani nimechukua hiyo hela nikafanyie nini?
Hiyo milioni 3 ni mfano tu, unaeza ukachukua cha milioni 10. Ingawa viwanja vya milioni tatu vipo vingi tu na of cousre kina hati.
Usilazimishe vikwazo.
Kwa nini asinihesabie kuwa anafanya biashara wakati ana uhakika wa kuingiza hiyo hela mpaka kufa kwake?Watu wanakaza shingo sana hawataki kuelewa aisee .. wamekariri
Kama mtu unajenga nyumba /vyumba au apartment za kupangisha .. kama hauop kwenye prine location.. ni sawa na kuweka pesa bank na kuwa unazichomoa mdogo mdogo..
Mfano fremu ya biashara chumba kimoja kodi inaweza kuwa hadi 300,000.. kwenye prime location
Lakini laki 3 hiyo hiyo kuna mtu anapanga nyumba nzima yenye vyumba vitatu sebule na jiko ! Huko majohe...
Na jamaa huyu aliye jenga majohe kwa almost 40mil anajihesabia anafanya biashara???
Location location location!!!!
Kwa sababu yeye huwa anasikia watu wakisema nauza nyumba. Watu wananunua ardhi na sio nyumba. Kuonyesha kuwa wananunua ardhi, huwa wanavunja hayo magofu na kujiongezea gharama nyingine ya kuzoa takataka ili pafae kuwekeza.Hakuna anayekatazwa asijenge mkuu! Kujenga sawa jenga lakini, suala linabaki pale pale Ardhi na Nyumba kinachoongezeka thamani ni Ardhi na sio nyumba elewa hilo ... !
Mtu anapo nunua kiwanja chenye nyumba ya udongo pale kariakoo kwa billion kadhaa anacho nunuwa pale sio ongezeko la thamani ya hio nyumba bali ni kiwanja !
Nyumba na Gari hivi vyote kwa aslimia kubwa ni liability tu na sio asset..
Nafikiria kutumia mil.60 kujenga guest house simple ndani ya miaka 5 ijayo,hapo itakuwa ni asset au?Kuwa halisi haimaanishi kufuata mkumbo.
Katika kipindi hicho cha miaka kumi, badala ya kujenga, nunua viwanja.
Nyumba kama Jengo siyo asset.
Ardhi ni asset.
Nyumba ya milioni 30 utapangisha kwa laki mbili kwa mwezi ambayo ni milioni mbili kwa mwaka (maintanance laki nne ambayo ni ndogo najua).
Itachukua miaka 15 ku break even.
Baada ya hapo utakuwa unachukua mshahara wa laki mbili kwa mwezi.
Buy land, then wait.
Wewe unabisha ili mradi kubisha ... umeshupaza shingo hatushinda ni elimu tu unapewa ..Kwa nini asinihesabie kuwa anafanya biashara wakati ana uhakika wa kuingiza hiyo hela mpaka kufa kwake?
Alafu utambue unazoziita prime area leo miaka 10 iliyopita zilikuwa pori
Wanabisha ili mradi kubisha tu !Kwa sababu yeye huwa anasikia watu wakisema nauza nyumba. Watu wananunua ardhi na sio nyumba. Kuonyesha kuwa wananunua ardhi, huwa wanavunja hayo magofu na kujiongezea gharama nyingine ya kuzoa takataka ili pafae kuwekeza.
Bro, still hatimiliki ni vichochezi kwa ofisa mikopo wa BenkiMkuu hujanielewa ni hv kazi au kiwanja na nyumba ni dhamana tu ya mkopo! Unapaje wanaevalute business..yako.ndio maana yangu ambayo utakuwa una 7 return each month.!!..unaposema nanunua viwanja kisha nakopea bank bado kuna a lot of evaluation alafu hela ya bank ndio ujengee!! First uwe nayo biashara kwanza....
Ishi maisha ya kiukweli.Hakuna nyumba ambayo haiuziki popote pale duniani acha kupotosha watu.
Unaweza kukosa mteja wa kiwanja na siyo nyumba
Ni asset nzuri. Ila ni kama tu umefuata masharti ya biashara.Nafikiria kutumia mil.60 kujenga guest house simple ndani ya miaka 5 ijayo,hapo itakuwa ni asset au?