Dadii
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 749
- 1,158
Biashara unayo...ambayo iko registered? Inayengeneza faida usifikiri bank wanatoa tu hela? Hicho kiwanja cha 3M kiko wapi? Kina hati? Ukishachukulia mkopo unalipa na nini kila.mwezi? Biashara ndio inalipa deni sio kiwanja....Kwa milioni 30 za kujenga nyumba, bora uwe na viwanja 10.
Chukulia mkopo viwili, halafu anza kujenga.