Wanaosema kujenga ni kuzika pesa

Wanaosema kujenga ni kuzika pesa

Kwa milioni 30 za kujenga nyumba, bora uwe na viwanja 10.
Chukulia mkopo viwili, halafu anza kujenga.
Biashara unayo...ambayo iko registered? Inayengeneza faida usifikiri bank wanatoa tu hela? Hicho kiwanja cha 3M kiko wapi? Kina hati? Ukishachukulia mkopo unalipa na nini kila.mwezi? Biashara ndio inalipa deni sio kiwanja....
 
Trump anajenga kwenye prime location pia hatumii cash kujenga, ni mkopo wakati watz wanadunduliza savings zao kwa ajili ya kujenga kwa miaka.
Watu wengi Hawaelewi namna mambo yanakwenda inabidi tuendele kupeana elimu itatusaidiaa..!

Watu wanajenga commercial complex building hapa tz majengo makubwa lakini hawajengi kwa pesa zao ... wanacho miliki unakuta ni ardhi ..tu lakini wanakuwa financed na Ma bank,

Kiuchumi ujenzi wa nyumba ni hasara tu , kwasababu haizalishi pesa ila inatumia pesa kujenga..

Lakini haimaanishi watu wasijenge nyumba za kuishi ..
 
Hivi mtu anaetoa 500m Kariakoo anaunua zile mbavu za mbwa au eneo?! Mbavu za mbwa si angejenga mwenyewe huko Mbande! Pale ananunua eneo mbona ni kitu rahisi kueleweka?
Huyo aliyejenga nyumba kariakoo mwaka 1970 saizi umemuona yupo katika hali gani? nyumba tunajenga kama security ya maisha tu kwamba ikitokea siku huna ajira basi usishindwe kulipa kodi ukae kwako. Kama sio mfanyabiashara ukijenga nyumba umefukia pesa shimoni. Unajenga nyumba ya milion 70 mpangaji analipa kodi sh laki 2. mpaka ije irudi pesa uliyoifukia hapo ni miaka 20 ijayo baada ya hiyo miaka 20 nyumba yako inaonekana kama kibanda cha mganga wa kienyeji. Wafanyabiasha wanajenga nyumba wanaenda benk wanakopea mzigo wa maana wanauzungushia ndani ya muda mfupi wanapata faida kibao kodi za wapangaji ndo marejesho ya mkopo
Watu wanakaza shingo sana hawataki kuelewa aisee .. wamekariri

Kama mtu unajenga nyumba /vyumba au apartment za kupangisha .. kama hauop kwenye prine location.. ni sawa na kuweka pesa bank na kuwa unazichomoa mdogo mdogo..

Mfano fremu ya biashara chumba kimoja kodi inaweza kuwa hadi 300,000.. kwenye prime location

Lakini laki 3 hiyo hiyo kuna mtu anapanga nyumba nzima yenye vyumba vitatu sebule na jiko ! Huko majohe...

Na jamaa huyu aliye jenga majohe kwa almost 40mil anajihesabia anafanya biashara???

Location location location!!!!
 
Biashara unayo...ambayo iko registered? Inayengeneza faida usifikiri bank wanatoa tu hela? Hicho kiwanja cha 3M kiko wapi? Kina hati? Ukishachukulia mkopo unalipa na nini kila.mwezi? Biashara ndio inalipa deni sio kiwanja....
Mimi siwezi kuchukua mkopo nikanunue sub woofers na fridge.
Kwa hiyo unavyoniuliza unalipa na nini kwani nimechukua hiyo hela nikafanyie nini?

Hiyo milioni 3 ni mfano tu, unaeza ukachukua cha milioni 10. Ingawa viwanja vya milioni tatu vipo vingi tu na of cousre kina hati.
Usilazimishe vikwazo.
 
Ukitaka kujua unazika pesa..subiri ufe ghafla tukurudishe kwenu huko..
Hawa wanaosema kuwa kuzika pesa ndio tunakuwa mstari wa mbele na nyuma kusema marehemu hakuwa na elimu..mke wala hakuwa na status..hata nyumba alishindwaje kujenga.Hakuwa na akili kabisa..
Dunia hii fanya yako unayaona mazuri.
 
Kobello ni mshamba sana anafikiri kujenga kunazuia kuwa na viwanja vingi
Wee unachekesha sana.
Hata ukiwa na viwanja haimaanishi hutakuwa na nyumba.
Wazee wetu zamani walikuwa wanajenga mpaka matombo. Hela aliyotumia 1976 angeweza kuwa na shamba la ekari tano kimara.
Shamba hilo angekata viwanja na kuturithisha wanae ni bora kuliko hiyo nyumba ya matombo ambayo sitakuja kuishi na haiuziki.
Ila huwezi kuwalaumu, sasa mtu upo kwenye information era unawaza hivyohivyo.
 
Mimi siwezi kuchukua mkopo nikanunue sub woofers na fridge.
Kwa hiyo unavyoniuliza unalipa na nini kwani nimechukua hiyo hela nikafanyie nini?

Hiyo milioni 3 ni mfano tu, unaeza ukachukua cha milioni 10. Ingawa viwanja vya milioni tatu vipo vingi tu na of cousre kina hati.
Usilazimishe vikwazo.
Mkuu hujanielewa ni hv kazi au kiwanja na nyumba ni dhamana tu ya mkopo! Unapaje wanaevalute business..yako.ndio maana yangu ambayo utakuwa una 7 return each month.!!..unaposema nanunua viwanja kisha nakopea bank bado kuna a lot of evaluation alafu hela ya bank ndio ujengee!! First uwe nayo biashara kwanza....
 
Watu wanakaza shingo sana hawataki kuelewa aisee .. wamekariri

Kama mtu unajenga nyumba /vyumba au apartment za kupangisha .. kama hauop kwenye prine location.. ni sawa na kuweka pesa bank na kuwa unazichomoa mdogo mdogo..

Mfano fremu ya biashara chumba kimoja kodi inaweza kuwa hadi 300,000.. kwenye prime location

Lakini laki 3 hiyo hiyo kuna mtu anapanga nyumba nzima yenye vyumba vitatu sebule na jiko ! Huko majohe...

Na jamaa huyu aliye jenga majohe kwa almost 40mil anajihesabia anafanya biashara???

Location location location!!!!
Kwa nini asinihesabie kuwa anafanya biashara wakati ana uhakika wa kuingiza hiyo hela mpaka kufa kwake?

Alafu utambue unazoziita prime area leo miaka 10 iliyopita zilikuwa pori
 
Hakuna anayekatazwa asijenge mkuu! Kujenga sawa jenga lakini, suala linabaki pale pale Ardhi na Nyumba kinachoongezeka thamani ni Ardhi na sio nyumba elewa hilo ... !

Mtu anapo nunua kiwanja chenye nyumba ya udongo pale kariakoo kwa billion kadhaa anacho nunuwa pale sio ongezeko la thamani ya hio nyumba bali ni kiwanja !

Nyumba na Gari hivi vyote kwa aslimia kubwa ni liability tu na sio asset..
Kwa sababu yeye huwa anasikia watu wakisema nauza nyumba. Watu wananunua ardhi na sio nyumba. Kuonyesha kuwa wananunua ardhi, huwa wanavunja hayo magofu na kujiongezea gharama nyingine ya kuzoa takataka ili pafae kuwekeza.
 
Kuwa halisi haimaanishi kufuata mkumbo.
Katika kipindi hicho cha miaka kumi, badala ya kujenga, nunua viwanja.
Nyumba kama Jengo siyo asset.
Ardhi ni asset.
Nyumba ya milioni 30 utapangisha kwa laki mbili kwa mwezi ambayo ni milioni mbili kwa mwaka (maintanance laki nne ambayo ni ndogo najua).
Itachukua miaka 15 ku break even.
Baada ya hapo utakuwa unachukua mshahara wa laki mbili kwa mwezi.
Buy land, then wait.
Nafikiria kutumia mil.60 kujenga guest house simple ndani ya miaka 5 ijayo,hapo itakuwa ni asset au?
 
Kwa nini asinihesabie kuwa anafanya biashara wakati ana uhakika wa kuingiza hiyo hela mpaka kufa kwake?

Alafu utambue unazoziita prime area leo miaka 10 iliyopita zilikuwa pori
Wewe unabisha ili mradi kubisha ... umeshupaza shingo hatushinda ni elimu tu unapewa ..

Nyumba kujenga ina umuhimu, gari kununua lina umuhimu hatukatai ..

Ila tukija kwenye masuala ya kiuchumi na biashara , kama ilivyo gari yako ya kutembelea huwezi kusema ni kitega uchumi linakuigizia pesa /hata kama iwe unatembelea na kukodisha siku 1 , 1 utapata pesa lakini sio faidi na hauwezi ita boashara hiyo...

Watu wanajenga nyumba zakuishi kujipongeza mkuu.. hauwezi ukahesabia nyumba yako kama chanzo cha mapato au biashara...

Labda kama unajenge -uza ..
 
Kwa sababu yeye huwa anasikia watu wakisema nauza nyumba. Watu wananunua ardhi na sio nyumba. Kuonyesha kuwa wananunua ardhi, huwa wanavunja hayo magofu na kujiongezea gharama nyingine ya kuzoa takataka ili pafae kuwekeza.
Wanabisha ili mradi kubisha tu !
 
Mkuu hujanielewa ni hv kazi au kiwanja na nyumba ni dhamana tu ya mkopo! Unapaje wanaevalute business..yako.ndio maana yangu ambayo utakuwa una 7 return each month.!!..unaposema nanunua viwanja kisha nakopea bank bado kuna a lot of evaluation alafu hela ya bank ndio ujengee!! First uwe nayo biashara kwanza....
Bro, still hatimiliki ni vichochezi kwa ofisa mikopo wa Benki
Mkopo ni kama ajira, Benki watakwambia tunataka kazi au biashara yenye rekodi za mapato.
Wewe nenda ukajieleze na ukanegotiate terms of payments na ujisupport na collaterals.
Usikariri maisha, Kuna baadhi ya watu matajiri wakubwa tu wamenufaika na ardhi ya bure tu, tena mapori ya serikali wametumia kupata hela Benki na kuzizungusha.
Kuna nchi nyingi duniani Hamna ardhi.
Kama utatoa zawadi kwa wanao, iwe ardhi siyo umjengee Chanika wakati yeye anafanya kazi na kulowea Arusha na style ya nyumba siyo anayoitaka.
 
Hakuna nyumba ambayo haiuziki popote pale duniani acha kupotosha watu.

Unaweza kukosa mteja wa kiwanja na siyo nyumba
Ishi maisha ya kiukweli.
usije ukashindwa kuiuza nyumba ukasema umelogwa.
Nyumba zipo nyingi haziuziki. Yaani unapewa Bei unaanza kulia ukikumbuka ulivyosota kujenga.
 
Thamani ya kiwanja utokana na makazi ya watu! Hakuna ardhi inayopanda bei kama hakuna makaz ya watu kabisa! So tuwaheshimu pia walioamua kujenga! Ushawah kujiuliza wote tukinunua viwanja na kila mtu asijenge bei ya kiwanja itapandaje?
 
Back
Top Bottom