Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Kwahiyo kwa akili zako za madrasa unaona watu wakifanya utafiti na kurekebisha walipokosea ni tatizo?

Hata hivyo bible translation ipo open, yeyote anaweza kufanya. Hata waislam zipo zenu mmeandaa tunazifahamu.
Shida yako wewe unaleta ushindani badala ya kujadili hoja. Umesema tafsiri nakudai haina makosa. Hapo tena unameza matapishi yako.
Kuhusu 'New King James Version' ipo toka 1982 ila umegundua karibuni kwa kujua mpya.
Msikilize huyo Pastor kuna vitu gani wamebadilisha kwenye biblia ambavyo kwenye vitabu wameongeza sio.

Acha kuzunguka sana, nilishakuambia ukitoka hapo ukaenda kukopi kitabu cha mkapa halafu kwenye nakala yako ukawa ulikosea mahali haimaanishi kwamba hilo ni kosa la mkapa. Jiongeze.
 
Acha kuzunguka sana, nilishakuambia ukitoka hapo ukaenda kukopi kitabu cha mkapa halafu kwenye nakala yako ukawa ulikosea mahali haimaanishi kwamba hilo ni kosa la mkapa. Jiongeze.
Usitake kukimbia kijana. Mwanzo ulisema wanabadilisha tafsiri kuboresha watu waelewe lugha.
Ulikuwa unakataa nini kwamba King James Version haina makosa?
 
Unafahamu biblia zilizotafsiriwa hizi kiswahili unazozisoma zinatumia hizi versions mpya za karibuni kama NIV. Mwishoni kutafsiri ilikuwa 2014 kufanya 'updated version'?
Mnajizungusha bila kujibu maswali ya msingi mliyoulizwa:

1. Baadhi ya manuscripts zilozopo birmingham england zinaonesha kuwa ziliandikwa 568-645 AD. Hii inaonesha Quran ilianza kuandikwa kabla ya kipindi cha Muhammad.
2. Kama malaika hawana freewill wasingeweza kufanya argument na Allah.
3. Muhammad alikuwa hajui kusoma lakini jibril alikuwa anamlazimisha asome. Ilitegemewa malaika awe anajua kwamba asingeweza kusoma au malaika angempa uwezo wa kusoma kimiujiza.
4. Mtiririko wa sperm kuwa damu iliyoganda halafu kuwa nyama kisha iwe mifupa na baadae ndio kiumbe mwingine atokee hauko sahihi.
5. Suala kwamba kiumbe kinachokuwa tumboni kinapewa pumzi baada ya miezi minne ni madai ya hatari sana
 
Usitake kukimbia. Ninakuuliza kwa nini ulitudanganya kwamba King James Version wameboresha lugha wakati kuna vitu kibao vimebadilishwa ambavyo vinaleta tafsiri nyingine?
 
Usikimbie rudi hapa na yesu wako aliye laaniwa
 
Usitake kukimbia. Ninakuuliza kwa nini ulitudanganya kwamba King James Version wameboresha lugha wakati kuna vitu kibao vimebadilishwa ambavyo vinaleta tafsiri nyingine?
KJV remains to be a foundational bible translation. Any error in it was from humans which can be corrected any time. Nothing is a problem there.

Sasa jibuni maswali yanayohusu mada hii.
 
Hahahah hakuna anae rukaruka na hakuna anae rudia kujibu maswali yaliyoulizwa
Na kujibiwa
Allah ana vituko sana, anasema sperm zinatokea sehemu iliyopo kati ya mbavu na uti wa mgongo.😂

1. Baadhi ya manuscripts zilozopo birmingham england zinaonesha kuwa ziliandikwa 568-645 AD. Hii inaonesha Quran ilianza kuandikwa kabla ya kipindi cha Muhammad.
2. Kama malaika hawana freewill wasingeweza kufanya argument na Allah.
3. Muhammad alikuwa hajui kusoma lakini jibril alikuwa anamlazimisha asome. Ilitegemewa malaika awe anajua kwamba asingeweza kusoma au malaika angempa uwezo wa kusoma kimiujiza.
4. Mtiririko wa sperm kuwa damu iliyoganda halafu kuwa nyama kisha iwe mifupa na baadae ndio kiumbe mwingine atokee hauko sahihi.
5. Suala kwamba kiumbe kinachokuwa tumboni kinapewa pumzi baada ya miezi minne ni madai ya hatari sana
 
We ji postishe ukimaliza wasikilize wana sayansi hawa tena wakikristo wanavyosema

Sasa sijui kati ya hao na wewe juha ni nani

Huy mfaransa sasa anaitwa

ALFONSE DE LAMARTIN

Philosopher, orator, apostle, legislator, warrior, conqueror of ideas, restorer of rational dogmas, of a cult without images; the founder of twenty terrestrial empires and of one spiritual empire, that is Muhammad. As regards all standards by which human greatness may be measured, we may well ask, is there any man greater than he?"[Translated from Histoire De La Turquie, Paris,
 
Usikimbie rudi hapa na yesu wako aliye laaniwa
Naona mmeelekezwa mfanye ushoga. Dini ya kishetani.

2: 223 - Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Lakini jitangulizieni kheri nafsi zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kuwa hakika nyinyi mtakutana naye. Na wape bishara njema Waumini

ains to be a foundational bible translation. Any error in it was from humans which can be corrected any time. Nothing is a problem there.

Sasa jibuni maswali yanayohusu mada hii.

Human error ndiyo ukosee verse nzima?Hapa haukimbii kirahisi.

Bila aibu umegoogle kama ilivyo nakusema ndiyo foundational bible translation
Hapo ulipo haujielewi biblia ya kiswahili imetafsiriwa kutoka version ipi.

View attachment 2381355
Fungua uzi halafu tukupe maelezo zaidi kama utahitaji. Nimekupa basics lakini najua madrasa zimeshakuharibu hivyo mengine lazima tukazane sana ili uweze kuelewa.

Kwenye mada hii jibu maswali yaliyoulizwa.
 
Kwahiyo uthibitisho wa kuaminika kwa muhammad ni hizo porojo za huyo mfaransa?

Mambo ya kisayansi yameiacha quran uchi. Kimekuwa kitabu cha kutupwa dampo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…