professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Narudia hakuna Yesu alie kaa IsraelMtafute mwanahistoria Flavius Josephus anaelezea maisha ya Yesu Kristo miaka hiyo yupo Israel. Acha porojo nyepesi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Narudia hakuna Yesu alie kaa IsraelMtafute mwanahistoria Flavius Josephus anaelezea maisha ya Yesu Kristo miaka hiyo yupo Israel. Acha porojo nyepesi.
Shida yako wewe unaleta ushindani badala ya kujadili hoja. Umesema tafsiri nakudai haina makosa. Hapo tena unameza matapishi yako.Kwahiyo kwa akili zako za madrasa unaona watu wakifanya utafiti na kurekebisha walipokosea ni tatizo?
Hata hivyo bible translation ipo open, yeyote anaweza kufanya. Hata waislam zipo zenu mmeandaa tunazifahamu.
Soma google, acha ujinga.Narudia hakuna Yesu alie kaa Israel
Shida yako wewe unaleta ushindani badala ya kujadili hoja. Umesema tafsiri nakudai haina makosa. Hapo tena unameza matapishi yako.
Kuhusu 'New King James Version' ipo toka 1982 ila umegundua karibuni kwa kujua mpya.
Msikilize huyo Pastor kuna vitu gani wamebadilisha kwenye biblia ambavyo kwenye vitabu wameongeza sio.
Sijaona jina la Yesu hapo mojaSoma google, acha ujinga.
View attachment 2381289
Unafahamu biblia zilizotafsiriwa hizi kiswahili unazozisoma zinatumia hizi versions mpya za karibuni kama NIV. Mwishoni kutafsiri ilikuwa 2014 kufanya 'updated version'?Naona hujaelewa, rudia kusoma.
Usitake kukimbia kijana. Mwanzo ulisema wanabadilisha tafsiri kuboresha watu waelewe lugha.Acha kuzunguka sana, nilishakuambia ukitoka hapo ukaenda kukopi kitabu cha mkapa halafu kwenye nakala yako ukawa ulikosea mahali haimaanishi kwamba hilo ni kosa la mkapa. Jiongeze.
You are an idiotSijaona jina la Yesu hapo moja
Alafu msikilize mchungaji kuhusu biblia unayo ipigania umatumiwa video
Mnajizungusha bila kujibu maswali ya msingi mliyoulizwa:Unafahamu biblia zilizotafsiriwa hizi kiswahili unazozisoma zinatumia hizi versions mpya za karibuni kama NIV. Mwishoni kutafsiri ilikuwa 2014 kufanya 'updated version'?
Usitake kukimbia. Ninakuuliza kwa nini ulitudanganya kwamba King James Version wameboresha lugha wakati kuna vitu kibao vimebadilishwa ambavyo vinaleta tafsiri nyingine?Mnajizungusha bila kujibu maswali ya msingi mliyoulizwa:
1. Baadhi ya manuscripts zilozopo birmingham england zinaonesha kuwa ziliandikwa 568-645 AD. Hii inaonesha Quran ilianza kuandikwa kabla ya kipindi cha Muhammad.
2. Kama malaika hawana freewill wasingeweza kufanya argument na Allah.
3. Muhammad alikuwa hajui kusoma lakini jibril alikuwa anamlazimisha asome. Ilitegemewa malaika awe anajua kwamba asingeweza kusoma au malaika angempa uwezo wa kusoma kimiujiza.
4. Mtiririko wa sperm kuwa damu iliyoganda halafu kuwa nyama kisha iwe mifupa na baadae ndio kiumbe mwingine atokee hauko sahihi.
5. Suala kwamba kiumbe kinachokuwa tumboni kinapewa pumzi baada ya miezi minne ni madai ya hatari sana
Usikimbie rudi hapa na yesu wako aliye laaniwaMnajizungusha bila kujibu maswali ya msingi mliyoulizwa:
1. Baadhi ya manuscripts zilozopo birmingham england zinaonesha kuwa ziliandikwa 568-645 AD. Hii inaonesha Quran ilianza kuandikwa kabla ya kipindi cha Muhammad.
2. Kama malaika hawana freewill wasingeweza kufanya argument na Allah.
3. Muhammad alikuwa hajui kusoma lakini jibril alikuwa anamlazimisha asome. Ilitegemewa malaika awe anajua kwamba asingeweza kusoma au malaika angempa uwezo wa kusoma kimiujiza.
4. Mtiririko wa sperm kuwa damu iliyoganda halafu kuwa nyama kisha iwe mifupa na baadae ndio kiumbe mwingine atokee hauko sahihi.
5. Suala kwamba kiumbe kinachokuwa tumboni kinapewa pumzi baada ya miezi minne ni madai ya hatari sana
KJV remains to be a foundational bible translation. Any error in it was from humans which can be corrected any time. Nothing is a problem there.Usitake kukimbia. Ninakuuliza kwa nini ulitudanganya kwamba King James Version wameboresha lugha wakati kuna vitu kibao vimebadilishwa ambavyo vinaleta tafsiri nyingine?
Jibu maswali, acha kurukarukaUsikimbie rudi hapa na yesu wako aliye laaniwa
Hahahah hakuna anae rukaruka na hakuna anae rudia kujibu maswali yaliyoulizwaJibu maswali, acha kurukaruka
Allah ana vituko sana, anasema sperm zinatokea sehemu iliyopo kati ya mbavu na uti wa mgongo.😂Hahahah hakuna anae rukaruka na hakuna anae rudia kujibu maswali yaliyoulizwa
Na kujibiwa
We ji postishe ukimaliza wasikilize wana sayansi hawa tena wakikristo wanavyosemaAllah ana vituko sana, anasema sperm zinatokea sehemu iliyopo kati ya mbavu na uti wa mgongo.[emoji23]
1. Baadhi ya manuscripts zilozopo birmingham england zinaonesha kuwa ziliandikwa 568-645 AD. Hii inaonesha Quran ilianza kuandikwa kabla ya kipindi cha Muhammad.
2. Kama malaika hawana freewill wasingeweza kufanya argument na Allah.
3. Muhammad alikuwa hajui kusoma lakini jibril alikuwa anamlazimisha asome. Ilitegemewa malaika awe anajua kwamba asingeweza kusoma au malaika angempa uwezo wa kusoma kimiujiza.
4. Mtiririko wa sperm kuwa damu iliyoganda halafu kuwa nyama kisha iwe mifupa na baadae ndio kiumbe mwingine atokee hauko sahihi.
5. Suala kwamba kiumbe kinachokuwa tumboni kinapewa pumzi baada ya miezi minne ni madai ya hatari sana
Naona mmeelekezwa mfanye ushoga. Dini ya kishetani.Usikimbie rudi hapa na yesu wako aliye laaniwa
ains to be a foundational bible translation. Any error in it was from humans which can be corrected any time. Nothing is a problem there.
Sasa jibuni maswali yanayohusu mada hii.
Fungua uzi halafu tukupe maelezo zaidi kama utahitaji. Nimekupa basics lakini najua madrasa zimeshakuharibu hivyo mengine lazima tukazane sana ili uweze kuelewa.Human error ndiyo ukosee verse nzima?Hapa haukimbii kirahisi.
Bila aibu umegoogle kama ilivyo nakusema ndiyo foundational bible translation
Hapo ulipo haujielewi biblia ya kiswahili imetafsiriwa kutoka version ipi.
View attachment 2381355
Kwahiyo uthibitisho wa kuaminika kwa muhammad ni hizo porojo za huyo mfaransa?We ji postishe ukimaliza wasikilize wana sayansi hawa tena wakikristo wanavyosema
Sasa sijui kati ya hao na wewe juha ni nani
Huy mfaransa sasa anaitwa
ALFONSE DE LAMARTIN
Philosopher, orator, apostle, legislator, warrior, conqueror of ideas, restorer of rational dogmas, of a cult without images; the founder of twenty terrestrial empires and of one spiritual empire, that is Muhammad. As regards all standards by which human greatness may be measured, we may well ask, is there any man greater than he?"[Translated from Histoire De La Turquie, Paris,