inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Wanaongea akina nani!?Hapa unalazimisha kitu kisichokuwa halisi. Allah anasifiwa sana kwenye quran. Anaogopa nini kuongea yeye badala yake wanaongea wao?
Mkuu tukiacha ubishi , hakuna kitabu cha dini kinacho eleza uumbaji isipokuwa Qur-an, pili kime jitosheleza pia kimesheheni sayansi kubwa, hv ninyinyi majiulizi kwa nini Qur-an haibadiliki?Sperm ambayo ni cell ya uzaz ya mwanaume inapoungana na ovum ambayo ni cell ya uzaz ya mwanamke tunapata zygote ambayo inadevelop kuwa ball of cell(mfano wa mpira wenye cell) zinazoendelea kujigawa na mwishon kuunda tissue,organ,system na mwishon mtoto anakamilika
Hayo mambo ya tone la damu kuwa nyama mmepigwa nenden mkasome embryology and developmental biology
Waislamu huwa mnafundishwa sana tangu madrasa na mara nyingi mnakariri bila kuhoji.Wewe huoji kutaka kujua ila unahoji ili udhihaki /ufanye istihizai .
Kwanza hakuna muislamu anayeelewa kiarabu isipokuwa mmekariri quran kiarabu. Nyie mkienda kwa waarabu hamuwezi kuongea nao kwasababu hamjui kiarabu.Ndiyo maana Qur'an ikasema imeshuka kwa kiarabu,unapaswa kukijua kiarabu...kiar
Shule yako ndogo...karudie kusoma tafsiri ya kiswahili uliyoweka...sugar cane into sugar inatafsirika vipi!?
Kajifunze kwanza lugha ya kingereza na hata kiswahili pia maana kiarabu bado kitakupa tabu.Sperm drop into a clinging clot.. hii statement umeielewaje?
Iko clear kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda (clinging clot).
Mkuu tukiacha ubishi , hakuna kitabu cha dini kinacho eleza uumbaji isipokuwa Qur-an, pili kime jitosheleza pia kimesheheni sayansi kubwa, hv ninyinyi majiulizi kwa nini Qur-an haibadiliki?
Ndio tunahoji ni akina nani wanaoongea wao kwenye quran na sio yeye (Allah).Wanaongea akina nani!?
Unaugua akili wewe,hatujui kiarabu!!!...we make sunflower seeds into cooking oilKwanza hakuna muislamu anayeelewa kiarabu isipokuwa mmekariri quran kiarabu. Nyie mkienda kwa waarabu hamuwezi kuongea nao kwasababu hamjui kiarabu.
Pili, wewe ndio shule ndogo unashindwa kuelewa direct statements kama hizo.
Hujui kiarabu, quran haikushuka kwa kiswahili,Kama huniamini google Hilo suala lakoNdio tunahoji ni akina nani wanaoongea wao kwenye quran na sio yeye (Allah).
Ukisoma quran kila mahali Allah anatumia maneno kama; tuna (tunawaagiza), tume (tumekuandikieni) badala ya kusema ninawaagiza au kusema ninawaandikieni.
Hapa unazungukazunguka tu, yai la mwanamke (ovum) liko wapo hapo.Kajifunze kwanza lugha ya kingereza na hata kiswahili pia maana kiarabu bado kitakupa tabu.
Quran 23:14
Sahih International
Then We made the sperm-drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.
Ali Muhsin Al-Barwani
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji"
Mtoa mada jifunze maana ya neno "thumma/then/kisha" halafu kajifunze maana ya neno " into"
Koran imeandikwa kama rap song , inaishia na kina kimoja , unakuta Allah na shetani wanaongea wanaishia na kina kimoja
Koran Haina maajabu , verse zake hazieleweki na hazima info za kutosha unacho fanya kasome Hadith , kasome sabubnuzu, kasome Tafsir ndio utaelewa , mbali na hapo ukisoma Koran tu ni useless book hisiyo na maana
Si kweli hata kidogo, bibilia ndio kitabu chenye udhaifu mwingi sna, vitu Vingi ni vya kutunga mfKoran imeandikwa kama rap song , inaishia na kina kimoja , unakuta Allah na shetani wanaongea wanaishia na kina kimoja
Koran Haina maajabu , verse zake hazieleweki na hazima info za kutosha unacho fanya kasome Hadith , kasome sabubnuzu, kasome Tafsir ndio utaelewa , mbali na hapo ukisoma Koran tu ni useless book hisiyo na maana
Acha basi kuongea uongo. Nafahamiana na waislamu wengi wamekariri quran lakini hawawezi kusoma gazeti la kiarabu.Unaugua akili wewe,hatujui kiarabu!!!...we make sunflower seeds into cooking oil
Kwahiyo ulitaka Quran ikwambie kuwa manii ikitoka inaenda kuungana na yai la mama kuform zygote, kisha zygote inaenda kuwa tone la damu n.k?Hapa unazungukazunguka tu, yai la mwanamke (ovum) liko wapo hapo.
Unataka kumaanisha kwamba sperm yenyewe ndio imebadilishwa kuwa damu iliyoganda halafu ikawa nyama, halafu mifupa na tena mifupa ikavishwa nyama?
Unazidi kuiharibia quran kwa hiyo tafsiri yako.
Tatizo huelewi kiarabu hao waliotafsiri hawaķutumwa na mnyaazi
ngoja jioni jua lizame kwenye matope
We jamaa ubishi huu achana naoUnajua tips of fingers? Alama za vidole mbona hakuna hapo
Badala ya kujibu hoja na kifanya tafakari umeamua kuwa mfia dini na mpambanaji.Hujui kiarabu, quran haikushuka kwa kiswahili,Kama huniamini google Hilo suala lako
Google 'why Allah uses plural pronouns'Badala ya kujibu hoja na kifanya tafakari umeamua kuwa mfia dini na mpambanaji.
Anakariri vipi Kama kusoma hawezi!?Acha basi kuongea uongo. Nafahamiana na waislamu wengi wamekariri quran lakini hawawezi kusoma gazeti la kiarabu.
Quran inasema sperm ndio inaingia (inakuwa) damu iliyoganda. Huu ni uongo kwa mujibu wa scientific findings.Kwahiyo ulitaka Quran ikwambie kuwa manii ikitoka inaenda kuungana na yai la mama kuform zygote, kisha zygote inaenda kuwa tone la damu n.k?