Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Sperm ambayo ni cell ya uzaz ya mwanaume inapoungana na ovum ambayo ni cell ya uzaz ya mwanamke tunapata zygote ambayo inadevelop kuwa ball of cell(mfano wa mpira wenye cell) zinazoendelea kujigawa na mwishon kuunda tissue,organ,system na mwishon mtoto anakamilika

Hayo mambo ya tone la damu kuwa nyama mmepigwa nenden mkasome embryology and developmental biology
Mkuu tukiacha ubishi , hakuna kitabu cha dini kinacho eleza uumbaji isipokuwa Qur-an, pili kime jitosheleza pia kimesheheni sayansi kubwa, hv ninyinyi majiulizi kwa nini Qur-an haibadiliki?
 
Wewe huoji kutaka kujua ila unahoji ili udhihaki /ufanye istihizai .
Waislamu huwa mnafundishwa sana tangu madrasa na mara nyingi mnakariri bila kuhoji.

Mimi hapa nawasaidia kuona weaknesses za quran ili mshtuke na kuanza kuhoji ili mpate kumfahamu Mungu wa kweli.
 
Ndiyo maana Qur'an ikasema imeshuka kwa kiarabu,unapaswa kukijua kiarabu...kiar

Shule yako ndogo...karudie kusoma tafsiri ya kiswahili uliyoweka...sugar cane into sugar inatafsirika vipi!?
Kwanza hakuna muislamu anayeelewa kiarabu isipokuwa mmekariri quran kiarabu. Nyie mkienda kwa waarabu hamuwezi kuongea nao kwasababu hamjui kiarabu.

Pili, wewe ndio shule ndogo unashindwa kuelewa direct statements kama hizo.
 
Sperm drop into a clinging clot.. hii statement umeielewaje?

Iko clear kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda (clinging clot).
Kajifunze kwanza lugha ya kingereza na hata kiswahili pia maana kiarabu bado kitakupa tabu.

Quran 23:14

Sahih International

Then We made the sperm-drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.

Ali Muhsin Al-Barwani

Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji"

Mtoa mada jifunze maana ya neno "thumma/then/kisha" halafu kajifunze maana ya neno " into"
 
Mkuu tukiacha ubishi , hakuna kitabu cha dini kinacho eleza uumbaji isipokuwa Qur-an, pili kime jitosheleza pia kimesheheni sayansi kubwa, hv ninyinyi majiulizi kwa nini Qur-an haibadiliki?

Mnasema quran imeshushwa na Mungu lakini kuna mambo mengi ya ajabu yanafanya sisi tupinge na kuhoji maana Mungu hawezi kuandika upumbavu

Jiulize je dini ya kweli inaruhusu vipi mtume wake mwenye miaka zaidi ya 50 kuoa mtoto wa miaka 6 ?

Hata wewe mwenyewe huwezi kubali binti yako wa miaka 6 aolewe tena na mzee wa miaka 50.
Tena alifanya tendo la ndoa na huyo mtoto akiwa na miaka 9 ( hu sio ubakaji kweli?)

Jiulize Quran na Dini ya kweli inaruhusu ndoa ya masaa kazaa tu ( mutaa) tena baada ya kumaliza kupigana miti mnalipana pesa kisha ndoa inaisha ?

Quran na Dini ya kweli inawafundisha muwaue watu wa dini zingine wasiomuamini mtumwe wenu.

Quran na Dini ya kweli inaruhusu utumwa. Na tena inawaruhusu wanaume wa kiislam kuwatombaaz watumwa mtakaowapata wa kike. ( dini ina promote uzinzi na ubakaji)

Quran na Dini ya kweli inaruhusu wanawake wapigwe na waume zao. Yaani wanawake kuwapiga na kuwabonda ni ruhksa ,

Quran Dini ya kweli inakataza waumini wake wasijenge urafiki na hata kupigana na watu wa dini zingine?
 
Kwanza hakuna muislamu anayeelewa kiarabu isipokuwa mmekariri quran kiarabu. Nyie mkienda kwa waarabu hamuwezi kuongea nao kwasababu hamjui kiarabu.

Pili, wewe ndio shule ndogo unashindwa kuelewa direct statements kama hizo.
Unaugua akili wewe,hatujui kiarabu!!!...we make sunflower seeds into cooking oil
 
Ndio tunahoji ni akina nani wanaoongea wao kwenye quran na sio yeye (Allah).

Ukisoma quran kila mahali Allah anatumia maneno kama; tuna (tunawaagiza), tume (tumekuandikieni) badala ya kusema ninawaagiza au kusema ninawaandikieni.
Hujui kiarabu, quran haikushuka kwa kiswahili,Kama huniamini google Hilo suala lako
 
Kajifunze kwanza lugha ya kingereza na hata kiswahili pia maana kiarabu bado kitakupa tabu.

Quran 23:14

Sahih International

Then We made the sperm-drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.

Ali Muhsin Al-Barwani

Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji"

Mtoa mada jifunze maana ya neno "thumma/then/kisha" halafu kajifunze maana ya neno " into"
Hapa unazungukazunguka tu, yai la mwanamke (ovum) liko wapo hapo.

Unataka kumaanisha kwamba sperm yenyewe ndio imebadilishwa kuwa damu iliyoganda halafu ikawa nyama, halafu mifupa na tena mifupa ikavishwa nyama?

Unazidi kuiharibia quran kwa hiyo tafsiri yako.
 
Koran imeandikwa kama rap song , inaishia na kina kimoja , unakuta Allah na shetani wanaongea wanaishia na kina kimoja

Koran Haina maajabu , verse zake hazieleweki na hazima info za kutosha unacho fanya kasome Hadith , kasome sabubnuzu, kasome Tafsir ndio utaelewa , mbali na hapo ukisoma Koran tu ni useless book hisiyo na maana

Si kweli hata kidogo, bibilia ndio kitabu chenye udhaifu mwingi sna, vitu Vingi ni vya kutunga mf
Walio ishi na yesu walimwita mwalimu, sasa wewe unaanzaje ku mwita mungu?, kati ya wao na wewe na ana mjua yesu zaidi?,

Na ukiangalia tukio la kufa yesu duuh hadi aibu hovyo hovyo ni uongo uongo sasa sijui hilo hulijui ila I'm sorry mkuu
 
Hapa unazungukazunguka tu, yai la mwanamke (ovum) liko wapo hapo.

Unataka kumaanisha kwamba sperm yenyewe ndio imebadilishwa kuwa damu iliyoganda halafu ikawa nyama, halafu mifupa na tena mifupa ikavishwa nyama?

Unazidi kuiharibia quran kwa hiyo tafsiri yako.
Kwahiyo ulitaka Quran ikwambie kuwa manii ikitoka inaenda kuungana na yai la mama kuform zygote, kisha zygote inaenda kuwa tone la damu n.k?
 
Kwahiyo ulitaka Quran ikwambie kuwa manii ikitoka inaenda kuungana na yai la mama kuform zygote, kisha zygote inaenda kuwa tone la damu n.k?
Quran inasema sperm ndio inaingia (inakuwa) damu iliyoganda. Huu ni uongo kwa mujibu wa scientific findings.
 
Quran 22:5

Enyi watu! Ikiwa nyinyi mna shaka ya kufufuliwa basi kwa hakika Sisi tulikuumbeni kutokana na udongo, kisha kutokana na manii, kisha kutokana na kipande cha damu ilio gandana, kisha kutokana na kipande cha nyama chenye umbo na kisicho kuwa na umbo, ili tukubainishieni. Nasi tunakiweka katika matumbo ya uzazi tunacho kitaka mpaka muda ulio wekwa. Kisha tunakutoeni kwa hali ya mtoto mchanga, kisha mfikie kutimia akili. Na wapo katika nyinyi wanao kufa, na wapo katika nyinyi wanao rudishwa kwenye umri wa unyonge kabisa, hata mtu awe hajui kitu baada ya kuwa anakijua. Na unaiona ardhi imetulia kimya, lakini tunapo yateremsha maji juu yake husisimka na kututumka, na kumea kila namna ya mimea mizuri
 
Back
Top Bottom