Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Hii ni DINI ya kiislamu ni ya hovyo sana.

Wakristo tunaamini Lusfer alipoasi na baadhi ya Malaika kule MBINGUNI.

Akatupwa Duniani Akawa shetani, Malaika wakawa Majini,Mapepo nk.

WAO WANONA KUFUGA MAJINI NO SIFA.
Moja wapo ya Maandiko hovyo kabisa kutoka katika waandishi WA biblia ni hayo uliyosema.

Malaika hawawezi kumuasi Mola wao Kwanza ndio wasaidizi wake wakuu,pili hawana utashi kama binadamu na majini, na Mungu hawezi kuwapa Malaika mamlaka ya kumsaidia angali anajua kuwa watapotoka, jamani muwe basi mnatafakari lipo ni sahihi na lipi.

Lakini haishangazi kama kuna Maandiko yanasema Mungu alipigwa mtama na yakobo,hivi unajua ukishaanza dhambi ya kumfanya mwanadamu kuwa Mungu basi kila kitu kwenu mnaona Sawa tupu.

Poleni Sana,mnapotoshwa Kwa kukosa maarifa
 
Attachments

  • Screenshot_20221001-100627_Firefox.jpg
    89.2 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221001-100343_Firefox.jpg
    116.7 KB · Views: 8
  • tumblr_mbowqt10e71r146zvo1_r1_1280.jpg
    87.4 KB · Views: 7
  • CA005-0001-047.jpg
    43.3 KB · Views: 6
Skiliza haya maneno kwanza mkuu
 
Skiliza haya maneno kwanza mkuu

Kuhusu kula nguruwe nisikilize maneno ya online tv ya Tanzania.. tena mtoa maneno anaonekana ni dini ya ya majambia na kuoa vitotoz

Tazama mwenyewe picha za harusi nazo attach
 
Attachments

  • Screenshot_20221001-100343_Firefox.jpg
    116.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20221001-100627_Firefox.jpg
    89.2 KB · Views: 5
  • tumblr_mbowqt10e71r146zvo1_r1_1280.jpg
    87.4 KB · Views: 6
  • CA005-0001-047.jpg
    43.3 KB · Views: 7
Mkuu shida yako ni moja tu,unasoma Quran ili utafute kosa lilipo...Hebu msikilize huyu sheikh hapa kisha urudi tena hapa na hiyo mijadala yako mfu.
 
Kipindi Muhammad anaandika Koran elimu ya embryology ilikuwepo na akai copy kama ilvyo, sasa imekuwa advanced ndio unaona koran inaonekana imeandika mashudu
View attachment 2372618
Hyo picha imepigwa lini?
Mnapika mambo mpk mnasahau viungo mlivyotumia kupikia.....Tuambie hyo picha ya huyo "mzee" imepigwa karne ipi?
 
Hivi kimaumbile unadhani mwanamke anaweza olewa na wanaume zaidi ya mmoja?

Je mtoto atakaye patikana atakuwa ni WA Baba yupi?

Hivi huwa mnafikiria Kwa Makini au mnafuata Tu propaganda za wavuta bangi?
 
Sayansi ya mambo hayo ilishakuwepo miaka 350BC enzi za ugiriki halafu kuna muhuni mmoja akakopi...hizo ni hujuma
Kipindi Hicho kuna sayansi ambayo ili advance kama Leo? Kumbuka huyo Muhammad hajui kusoma wala kuandika je aliwezaje kukopi hata kama hiyo sayansi ingekuwa ime advance? Hivi Kaka ubongo wako upo Sawa kweli?
 
Umemaliza mkuu,
Tatizo lake ni kwamba anatafuta amani huku ana bisibisi mkononi.
Huwezi kuuliza kitu ukaelewa huku ukiwa tyr una majibu yako mkononi,Hapa Duniani hakuna mtu au kundi la watu litakuja kutokea kumudu kuikosoa Quran na likafanikiwa,haitatokea mpk Dunia hii inaisha....Quran imeongea mambo mengi mazito sana na mengine mpk sasa hatujayajua bado japo huko vizazi vijavyo vitakuja kuelewa.
 
Hivi kimaumbile unadhani mwanamke anaweza olewa na wanaume zaidi ya mmoja?

Je mtoto atakaye patikana atakuwa ni WA Baba yupi?

Hivi huwa mnafikiria Kwa Makini au mnafuata Tu propaganda za wavuta bangi?

Je hawa pichani ni wavuta bangi ama sio wavuta bangi.

Je wanavyofunga ndoa na watoto wadogo quran, hadithi na sunnah zinaruhusu ama haziruhusu
 
Attachments

  • Screenshot_20221001-100343_Firefox.jpg
    116.7 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221001-100627_Firefox.jpg
    89.2 KB · Views: 5
  • tumblr_mbowqt10e71r146zvo1_r1_1280.jpg
    87.4 KB · Views: 6
  • CA005-0001-047.jpg
    43.3 KB · Views: 7
Kipindi Hicho kuna sayansi ambayo ili advance kama Leo? Kumbuka huyo Muhammad hajui kusoma wala kuandika je aliwezaje kukopi hata kama hiyo sayansi ingekuwa ime advance? Hivi Kaka ubongo wako upo Sawa kweli?
Hv watu huwa wanawaza vp aisee😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…