Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
Mkuu chanzo ni nini hebu nipe il'm kidogoHakuna kitu kwenye vitabu hivyo, we uliza chanzo cha wanawake kuvikwa MA nikabu, utachoka kabisa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu chanzo ni nini hebu nipe il'm kidogoHakuna kitu kwenye vitabu hivyo, we uliza chanzo cha wanawake kuvikwa MA nikabu, utachoka kabisa!!
Ni kweli Muhammad amezaliwa 600's wakati nchi kama Greek zilishaendelea sana, even wayahudi walishakua wameendelea sanaHuyu mpuuzi naomba mumpuuze! Ila kama mna Mda wa kupoteza fine jadilianeni nae!
Ebu tulia tukufahamishe mkuu,, waarabu mara nyingi wale wenye hadhi katika jamii na matajiri walikuwa wanapoongea wanapenda kutumia neno Sisi, na wakitumia neno Sisi kuonyesha ukubwa wao au utukufu wao,,,,na ndio maana Allah akaamua atumie wingi ili aende Sawa na tamaduni zao,,kama wao wanajiona wakubwa basi Allah ni Mkubwa zaidi na anastahili heshima zaidi.Waandishi wa quran walikuwa wanafahamu concept ya ukristo ambapo Yahweh is one, Father, Son and Holy Spirit. Walipata tabu kumtengeneza Allah mwenye nafsi moja tu ndio maana wakajikuta wanatumia wingi.
Kwenye biblia kitabu cha kwanza kabisa Mungu anasema, "na tumfanye mtu" (let Us make man). Lakini bado mnabishia concept ya trinity.
Hapa utetezi unaouweka hauna uhalisia wowote kwenye kiswahili wala kiingereza lakini unakomaa nao ili kujilinda.
Point yako nini hasa?Ni kweli Muhammad amezaliwa 600's wakati nchi kama Greek zilishaendelea sana, even wayahudi walishakua wameendelea sana
Matope meusi inamaanisha bahari nyeusi,,,,tafuta ilipo bahari nyeusi ndo utajua iko wapi,,,,Acha upuuzi
Nimekupa hii link usikilize majibu yako unaingiza mambo mengine tena.....nakutumia tena kaa usikilize vitu hivyoKuhusu kula nguruwe nisikilize maneno ya online tv ya Tanzania.. tena mtoa maneno anaonekana ni dini ya ya majambia na kuoa vitotoz
Tazama mwenyewe picha za harusi nazo attach
Surat Al jinEbu tulia tukufahamishe mkuu,, waarabu mara nyingi wale wenye hadhi katika jamii na matajiri walikuwa wanapoongea wanapenda kutumia neno Sisi, na wakitumia neno Sisi kuonyesha ukubwa wao au utukufu wao,,,,na ndio maana Allah akaamua atumie wingi ili aende Sawa na tamaduni zao,,kama wao wanajiona wakubwa basi Allah ni Mkubwa zaidi na anastahili heshima zaidi.
Hiyo ndio maana halisi,,,,Uislamu umeepukana na miungu mitatu mnayo iyabudu,na ushirikina sio sehemu ya Dini ya Mwenyezi Mungu.
Kwahiyo sperm inadevelop yenyewe kuwa damu iliyoganda?Ntadeal na wewe kima mpaka uelewe. Haya elezea hiyo hoja yako kupitia AYA hii.
14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.
"KISHA TUKAIUMBA TONE KUWA DAMU ILIYOGANDA"
Umeelewa hiyo sentensi??
English version: tasfiri hii sentensi
She undergo some biological changes from juvenile INTO adult.
Neno INTO limetumikaje hapo??
Mkuu si alikua hajui kusoma Sasa amendikajeAlikuwa anaandikiwa ?
Ule ulikua uongo sema watu hawawez kubaliKwahiyo sperm inadevelop yenyewe kuwa damu iliyoganda?
Mkuu kwahiyo stage za development zinahusisha sperm kubadilika kuwa damu iliyoganda? Halafu iwe nyama?Mkuu, mbona huo mstari uko wazi kwamba kinachozungumzwa hapo sio kipi na kipi vinaingiana bali ni hatua za mabadiliko kutoka sperm mpaka kufikia kiumbe kingine?
Hofu yangu ni haya maandiko iwe Quran au Bibilia, sio kila mtu ana elimu na hekima inayotosha kuyafafanua maana yake.
Kusoma tunajua hamuwezi, video pia mnashindwa kuitazama,Kwa hiyo Sperm huwa zinaingia kwenye damu iliyoganda ili Mimba itungwe?
Kiarabu ni lugha Tu kama lugha nyingine, ingawa Qur'an imeshuka Kwa kiarabu lkn imetafsiriwa katika lugha mbali mbali,kwahiyo Acha upuuzi wakoKwanza hakuna muislamu anayeelewa kiarabu isipokuwa mmekariri quran kiarabu. Nyie mkienda kwa waarabu hamuwezi kuongea nao kwasababu hamjui kiarabu.
Pili, wewe ndio shule ndogo unashindwa kuelewa direct statements kama hizo.
Soma hiyo verse ya kiingereza hapo juu. Kwahiyo sperm inabadilika kuwa damu iliyoganda?Kijana unasoma Aya gani ? Aya hakuna iliposema kwamba Sperm inaingia kwenye damu. Wewe haya tuambie kwanza umeyapata wapi ?
Kwa namna hiyo hawezi kuelewa kamwe.Amekuja kwa mlengo wa kidini sio kuelewa .
Hapana nawe umekosea, soma hiyo aya vizur sheikhJibu ni ndio sperm zinaingia kwenye damu iliyo ganda maana ukitaka kuamini hilo tazama mwanamke akiwa na hedhi anatoka nini na lile si ndio yai likikosa rutuba kama ndio kwanini listoke kwa rangi tofauti na damu mbona mnapenda kuleta hoja kipumbavu hivi cell za yai zinarangi gani humo tumboni mwa huyo mwanamke ni ndio maana nasema hua wakristo wengi hawajitambui
Soma kwenye kiingereza halafu urudi hapa.wapi imesema chief,hata hayo uliyoandika kwa kiswahili haisemi sperm imeingia kwenye damu,ni vile namna umeelewa
Kwahiyo tone ambalo ndio sperm likabadilika kuwa damu iliyoganda? Damu iliyoganda inakuwa hai au imekufa?"Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama."
tone ikawa damu,sio tone ikaingia kwenye damu ...finish....
Unalazimisha sana.. Kubali tuu kitabu hiko ni hekaya kama ilivyo Biblia na vitabu vingine vya dini. Ni utapeli wa asubuhiSperm inageuka kuwa damu iliyoganda(ile nzito tofauti na ile inayoflow mwilini)mi naona Iko sawa na ndivyo inavyotokea sperm-damu-nyama
Unalazimisha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwaupande wangu naona yupo sahihi during fertilization yai la kike ( damu iliyoganda) au ova itakuja mpaka kwenye fallopian tube ambapo fertilization ( urutubishaji) hufanyika, sperm itaingia kwenye ova na kurutubisha then itasafiri mpaka kwenye uterus body na kujiattach aside.