Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Waandishi wa quran walikuwa wanafahamu concept ya ukristo ambapo Yahweh is one, Father, Son and Holy Spirit. Walipata tabu kumtengeneza Allah mwenye nafsi moja tu ndio maana wakajikuta wanatumia wingi.

Kwenye biblia kitabu cha kwanza kabisa Mungu anasema, "na tumfanye mtu" (let Us make man). Lakini bado mnabishia concept ya trinity.

Hapa utetezi unaouweka hauna uhalisia wowote kwenye kiswahili wala kiingereza lakini unakomaa nao ili kujilinda.
Ebu tulia tukufahamishe mkuu,, waarabu mara nyingi wale wenye hadhi katika jamii na matajiri walikuwa wanapoongea wanapenda kutumia neno Sisi, na wakitumia neno Sisi kuonyesha ukubwa wao au utukufu wao,,,,na ndio maana Allah akaamua atumie wingi ili aende Sawa na tamaduni zao,,kama wao wanajiona wakubwa basi Allah ni Mkubwa zaidi na anastahili heshima zaidi.

Hiyo ndio maana halisi,,,,Uislamu umeepukana na miungu mitatu mnayo iyabudu,na ushirikina sio sehemu ya Dini ya Mwenyezi Mungu.
 
Kuhusu kula nguruwe nisikilize maneno ya online tv ya Tanzania.. tena mtoa maneno anaonekana ni dini ya ya majambia na kuoa vitotoz

Tazama mwenyewe picha za harusi nazo attach
Nimekupa hii link usikilize majibu yako unaingiza mambo mengine tena.....nakutumia tena kaa usikilize vitu hivyo
 
Ebu tulia tukufahamishe mkuu,, waarabu mara nyingi wale wenye hadhi katika jamii na matajiri walikuwa wanapoongea wanapenda kutumia neno Sisi, na wakitumia neno Sisi kuonyesha ukubwa wao au utukufu wao,,,,na ndio maana Allah akaamua atumie wingi ili aende Sawa na tamaduni zao,,kama wao wanajiona wakubwa basi Allah ni Mkubwa zaidi na anastahili heshima zaidi.

Hiyo ndio maana halisi,,,,Uislamu umeepukana na miungu mitatu mnayo iyabudu,na ushirikina sio sehemu ya Dini ya Mwenyezi Mungu.
Surat Al jin
 
Ntadeal na wewe kima mpaka uelewe. Haya elezea hiyo hoja yako kupitia AYA hii.


14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.

"KISHA TUKAIUMBA TONE KUWA DAMU ILIYOGANDA"

Umeelewa hiyo sentensi??

English version: tasfiri hii sentensi

She undergo some biological changes from juvenile INTO adult.

Neno INTO limetumikaje hapo??
Kwahiyo sperm inadevelop yenyewe kuwa damu iliyoganda?
 
Mkuu, mbona huo mstari uko wazi kwamba kinachozungumzwa hapo sio kipi na kipi vinaingiana bali ni hatua za mabadiliko kutoka sperm mpaka kufikia kiumbe kingine?

Hofu yangu ni haya maandiko iwe Quran au Bibilia, sio kila mtu ana elimu na hekima inayotosha kuyafafanua maana yake.
Mkuu kwahiyo stage za development zinahusisha sperm kubadilika kuwa damu iliyoganda? Halafu iwe nyama?
 
Kwa hiyo Sperm huwa zinaingia kwenye damu iliyoganda ili Mimba itungwe?
Kusoma tunajua hamuwezi, video pia mnashindwa kuitazama,
Huyu Sheikh maswali yenu yote ameyajibu .....Fungua hii video ili mjadala uishe na kuanzia hapa kama kweli akili iko salama utagundua
1:Quran siyo maneno ya kawaida
2Quran Siyo maneno ya Mtume Muhammad s.a.w
3:Quran ni maneno halisi ya Allah muumbaji
Check hii video
 
Kwanza hakuna muislamu anayeelewa kiarabu isipokuwa mmekariri quran kiarabu. Nyie mkienda kwa waarabu hamuwezi kuongea nao kwasababu hamjui kiarabu.

Pili, wewe ndio shule ndogo unashindwa kuelewa direct statements kama hizo.
Kiarabu ni lugha Tu kama lugha nyingine, ingawa Qur'an imeshuka Kwa kiarabu lkn imetafsiriwa katika lugha mbali mbali,kwahiyo Acha upuuzi wako
 
Jibu ni ndio sperm zinaingia kwenye damu iliyo ganda maana ukitaka kuamini hilo tazama mwanamke akiwa na hedhi anatoka nini na lile si ndio yai likikosa rutuba kama ndio kwanini listoke kwa rangi tofauti na damu mbona mnapenda kuleta hoja kipumbavu hivi cell za yai zinarangi gani humo tumboni mwa huyo mwanamke ni ndio maana nasema hua wakristo wengi hawajitambui
Hapana nawe umekosea, soma hiyo aya vizur sheikh
 
"Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama."

tone ikawa damu,sio tone ikaingia kwenye damu ...finish....
Kwahiyo tone ambalo ndio sperm likabadilika kuwa damu iliyoganda? Damu iliyoganda inakuwa hai au imekufa?
 
Sperm inageuka kuwa damu iliyoganda(ile nzito tofauti na ile inayoflow mwilini)mi naona Iko sawa na ndivyo inavyotokea sperm-damu-nyama
Unalazimisha sana.. Kubali tuu kitabu hiko ni hekaya kama ilivyo Biblia na vitabu vingine vya dini. Ni utapeli wa asubuhi
 
Kwaupande wangu naona yupo sahihi during fertilization yai la kike ( damu iliyoganda) au ova itakuja mpaka kwenye fallopian tube ambapo fertilization ( urutubishaji) hufanyika, sperm itaingia kwenye ova na kurutubisha then itasafiri mpaka kwenye uterus body na kujiattach aside.
Unalazimisha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom