Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
kuhusu biology soma vitabu vya biology, kuhusu dini soma vitabu vya dini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani unakomalia kitu ambacho unataka kiwe hivyo Kwa matakwa yako mwenyewe,ni upumbavu ulioje?Mkuu kwahiyo stage za development zinahusisha sperm kubadilika kuwa damu iliyoganda? Halafu iwe nyama?
Nani alifufuliwa bwana weHilo fumbo huenda lisifumbuliwe leo,
Jibu likaja baada ya miaka 1000 ijayo.
Wakati huo wa zamani hata watu waliulizana iweje Mungu aweze kuwafufuwa binaadamu wote wanaokufa,
Je atawajuwaje?wakati wapo wanaokufa na miili yao kuharibika?
Ndy hapo ikaja AYA ya Qurain,,
"NITAWAFUFUENI KILA MMOJA BILA KUPOTEZA ALAMA ZENU ZA VIDOLE."
hakika fumbo hili limevumbuliwa kizazi cha hivi karibuni kwamba kila mwanadamu ana alama za vidole ambazo haziingiliani na mwingine,,
Alama za vidole zipo kwenye Qurain.
Miaka 600 iliyopita.
Nashukuru ndugu yangu.Mheshimiwa makaveli10 usipoteze mda kumjibu Mpumbavu anaejifanya ni much know while ni empty head kichwa maji typically anaeongozwa na mihemko ya kitoto iliyojawa na chuki juu ya Uislam…….barikiwa kwa hints zako📌📌📌📌📌
Baada ya hili povu ninaomba uniambie jambo moja.. tu assume kwamba sperm haiingii kwenye damu iliyoganda bali sperm inabadilika (kwa kuumbwa) kuwa damu iliyoganda. Huu ni ukweli au uongo?Watu kama wewe,wakati yesu anafanya miujiza ndio wale waliomuita mchawi.kwa sababu wamejaa roho za chuki na ujinga ndani yao.
Na sio wote wanaosoma huwa wanaona na na kukielewa sawia kile kilichondikwa.
na ndio maana katika iyo aya Qur'an 24:14 uliyoinukuu(kwa kiswahili) hakuna palipoandikwa kuwa "manii inaingia katika damu iliyoganda" kama papo nioneshe.
katika hilo tayari umezusha na umeifanya kuwa hoja yako ya msingi.
Kwa hiyo hapa tunajadili uzushi.
Nachokushauri,somo au mada moja katika dini hizi mbili haiandikwi kwenye mstari au aya au kitabu kimoja, ndio maana biblia ni mkusanyiko wa vitabu vingi na Qur'an ni mkusanyiko wa vitabu vingi vile vile.
Kwa hiyo huwezi kuijua dini hata iyo yako kwa ku-google google tu.maana hata wajinga huwa wanaposti google.
Kwenye dini yoyote watu wanahoji na kitafsri maandishi.ndio maana Kuna "mafundisho" na "madrasa"
Kama kweli unania ya kuijua dini fulani jitoe kujifunza kwa wenye elimu nayo,hata mapadri na mashehe wamasome wakaelimika ndio maana huji kuwaona wakilumbana katika dini zao.
Maana DINI NI IMANI. yaani kuamini vinavyoonekana,visivyoonekana kwa macho ya nyama na kuamini vinavyowezekana na visivyowezekana kibinadamu.kwa hiyo katika Imani ya mtu hakuna jambo la ajabu kwake,
Ndio maana hata yesu "alitembea juu ya maji ,kwa nyayo zake" kitu ambacho kisayansi mtu kutembea juu ya maji haiwezekani,LAKINI KWA IMANI(dini).
Kwa hiyo kulinganisha dini na sayansi,KWA AYA MOJA" vitu ambavyo watu wanajifunza maisha yao yote kwa muda na gharama pia kwa na bado hawajavimaliza,kama sio chuki ni UJUHA.
Punguza kuteseka juu ya Imani za watu,ishi kwa Imani yako
ELIMU NI BAHARI.(Usitangulize kebehi,dharau kama kweli una nia ya kujifunza).
Wapo watu wana elemu katika wakristo na waislam ila hawatoi majibu wakishagundua nia ya mtoa mada,/hoja.wanaamua kukaa kimya,
KWA MAANA KUKAA KIMYA KIHENGA NA KIIMANI NI HEKIMA.
NA PIA KUKAA KIMYA NI JIBU KWA MPUMBAVU,(basi tusiwafanye wenye maarifa watukalie kimya).
Uwe na hekima katika kujifunza kwako.
Muhamaad alikua bingwa wa copy and paste jamaa head yake ilikuwa na uwezo wa kucite sana...na ikumbukwe alikuwa na misafara mingi sana na kukutana na watu wa jamii tofauti ikiwemo wagirik, wayahud nkKipindi Hicho kuna sayansi ambayo ili advance kama Leo? Kumbuka huyo Muhammad hajui kusoma wala kuandika je aliwezaje kukopi hata kama hiyo sayansi ingekuwa ime advance? Hivi Kaka ubongo wako upo Sawa kweli?
Pamoja na jua kuzama matopeni[emoji57][emoji57][emoji57]Umemaliza mkuu,
Tatizo lake ni kwamba anatafuta amani huku ana bisibisi mkononi.
Huwezi kuuliza kitu ukaelewa huku ukiwa tyr una majibu yako mkononi,Hapa Duniani hakuna mtu au kundi la watu litakuja kutokea kumudu kuikosoa Quran na likafanikiwa,haitatokea mpk Dunia hii inaisha....Quran imeongea mambo mengi mazito sana na mengine mpk sasa hatujayajua bado japo huko vizazi vijavyo vitakuja kuelewa.
Lets assume you are right.. so sperm development inatokea kwenye tone halafu inakuwa damu iliyoganda?😂 😂 😂
Usikaze kichwa, majibu yako kichwani futa, muhemko wa kidini uweke kando ndio tujadili hili.
Kwa mujibu wa tafsiri yako, si niliyoleta mimi,hakuna sehemu shahawa imeingia kwenye pamde la damu kama ipo nioneshe nijipige ban JF, umeiandika wewe mwenyewe umesema hivi
"Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine.
Na kingereza chake uliweka kinachosema" Then We made the sperm drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump"
Mbona hii lugha inazungumzia stage moja kwenda inayofata, kwamba aliumba/badili tone la shahawa kwenda kuwa pande la damu na sio kuingia kwenye pande la damu
Sasa hapo sijui tatizo ni lugha kwako, maana hakuna sehemu pameandikwa shahawa imeingia kwenye pande la damu bali shahawa imebadilika na kuwa pande la damu katika tumbo la uzazi la mwanamke.
Usikaze kichwa mzee, lugha nyepesi saana hiyo.
🥰🥰🥰💕💕💕💕
Weakness ya Kwanza,,,nipe kifungu kinachosema kuwa Yesu ni Mungu na pili nipe kifungu kinachosema kuwa Ukristo ni Dini,,,,,ukijibu hayo ndio tutakuja kuonyesha uozo WA biblia mpaka mkimbieAnzisha mada ya udhaifu wa biblia tutakujibu kwasababu wataalamu tunafahamu hakuna weakness wala mistake mule.
Ukitaka tuendelee ni ukubali Umeelewa ama lah, hakuna masuala ya assumptions hapa.Lets assume you are right.. so sperm development inatokea kwenye tone halafu inakuwa damu iliyoganda?
Inapotokea kitu kinachojiita mungu kinaongea uongo na makosa ya kibaiolojia ni lazima tukirekebishe.Hivi watu wa dini huwa mnabishana nini hawa waislam kitabu chao kimeeleza process za upatikanaji wa mtoto kwa imani yao nyie wengine hamkubali na nilivofuatilia izo hatua zinakaribia kufanana na zile wanazoamini wanasayansi tofauti ni ndogo sana kwanini mmoja amuone mjinga mwenzie uyu anasema sperm inaenda kukutana na yai la mwanamke ili apatikane mtoto mwingine anasema sperm inaenda kweny pande la damu iliyoganda ili apatikane mtoto na ukiangalia mwili wa binadam umezungukwa na damu sioni kitu kikubwa chakubishana mambo ya imani yamekaa kimtego yani unatakiwa uamini kitu hata kama haki make sense
Kwa imani yaki sayansi unatakiwa uamini kitu kinacho make sense kweny akili ya kawaida ndo maana wanasayansi wengi walikuwa wanafungwa walijaribu kugundua vitu mbali mbali na kuviweka public watu waliwaona ni waongo
Akili ya binadamu haiwezi kukubali kitu kirahisi ndo mitihani ya imani ilipojificha apo.. ukitaka amini, usipotaka tafuta jambo linaloridhisha ubongo wako
Acheni kelele kila mtu ashike lake
Hawata kujibu coz huwa hawajui chochote Bali ujanja ujanja tuNimesoma comments zote, nimejaribu kupitia maswali ya msingi ya mleta mada.
Nilichogundua ni kwamba mleta mada hakujiandaa kupata majibu sahihi. Alikuja na majibu yake tayari kichwani hivyo hata kama waislam walioisoma Quran wamempatia majibu sahihi na yenye kueleweka kwa watu wote WENYE AKILI TIMAMU, bado amekataa ana anabishia.
Mtu ametoa aya zinazoelezea process nzima ya uumbwaji wa binadamu tena kwa ufasaha lkn bado mtu anabishia kisa pande la damu.
Swali kwa mleta uzi.
UMEWAHI KUTOA MIMBA/KUTOLESHA MIMBA??
Kama sio pande la DAMU kile ni nini kinachotoka wakati mtoto bado hajaunganika??
Kwahiyo Allah ndio amekutuma uandike hivi?Mheshimiwa makaveli10 usipoteze mda kumjibu Mpumbavu anaejifanya ni much know while ni empty head kichwa maji typically anaeongozwa na mihemko ya kitoto iliyojawa na chuki juu ya Uislam…….barikiwa kwa hints zako📌📌📌📌📌
Jikite hapohapo madrasa uendelee kukariri. Hii mada imekuzidi kimo.Ni Ujinga kutaka Wanasayansi walezee maandiko yaliyo kwenye Quran. Unaonesha mtoa mada huna akili.
Alikopi mafundisho ya Gillan wa uturuki ambaye aliandika hayo 150AD. Hawa waislamu badala wajipe elimu wameamua kukomaa na maneno ya muhammad na Allah.Hii ndo kilaza kumuigilizia majibu kilaza....haya maelezo ya reproduction Muhammad aliyaiga sehemu...Mbaya zaidi aliyemkopi ni kilaza.
Akili za madrasa hizi.Moja wapo ya Maandiko hovyo kabisa kutoka katika waandishi WA biblia ni hayo uliyosema.
Malaika hawawezi kumuasi Mola wao Kwanza ndio wasaidizi wake wakuu,pili hawana utashi kama binadamu na majini, na Mungu hawezi kuwapa Malaika mamlaka ya kumsaidia angali anajua kuwa watapotoka, jamani muwe basi mnatafakari lipo ni sahihi na lipi.
Lakini haishangazi kama kuna Maandiko yanasema Mungu alipigwa mtama na yakobo,hivi unajua ukishaanza dhambi ya kumfanya mwanadamu kuwa Mungu basi kila kitu kwenu mnaona Sawa tupu.
Poleni Sana,mnapotoshwa Kwa kukosa maarifa
Elewa yule Binti alikua na miaka wewe mtoto wko wa miaka 6 unaweza ruhusu akaolewaKwani uyo binti alikuwa mama yako au ndio hamkubali waoelewe lakini mnaruhusu waziniane si ndio mila zenu za kijinga hizo ndoa mnaona ajabu ila mwanamke kuishi na mwanaume bila kuoelewa ndio sawa duh