Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Yaani unakomalia kitu ambacho unataka kiwe hivyo Kwa matakwa yako mwenyewe,ni upumbavu ulioje?

Baada ya mbegu ya kiume kukutana na Yai,inakuwa tone la manii, ambalo linaenda sehemu maalumu katika mji WA mimba,hlf katika ukuaji ndo linakuwa pande la damu,then kiumbe kinaanza ukuaji ktk pande la nyama na kadhalika, unachobisha ni nini hasa?

Yaani unashikilia kitu kana kwamba upo sahihi? Acha upuuzi
Kwa Nini unaruka stage ya pande la nyama linakuwa mifupa tupu, Yani hapa NDio nime m disqualify Allah kuwa Mungu

Skeleton lipo ndani ya mji wa uzazi , mwanamke si angekufa !
 
Weakness ya Kwanza,,,nipe kifungu kinachosema kuwa Yesu ni Mungu na pili nipe kifungu kinachosema kuwa Ukristo ni Dini,,,,,ukijibu hayo ndio tutakuja kuonyesha uozo WA biblia mpaka mkimbie

Nijibu hayo Kwanza nipo hapa nasubiri!
Ukristo sio dini. Dini ni jitihada za mwanadamu kumtafuta Mungu. Ukristo ni uhusiano (relationship) na ushirika (fellowship) na Mungu aliyehai.

Hapa Yesu anaitwa Mungu dhahiri shahiri, Yohana 20:27-28

27. Kisha akamwambia Tomaso, “Weka kidole chako hapa. Iangalie mikono yangu. Weka mkono wako hapa ubavuni mwangu. Acha kuwa na mashaka na uamini.”

28. Tomaso akamwambia Yesu, “Bwana wangu na Mungu wangu!”
 
Uhalisia ni baiolojia.

Kwahiyo kwa mujibu wa hiki umeandika hapa mwanadamu anakuwa ndani ya sperm na hakuna haja ya yai la mwanamke?
Siifahamu sana Quraan lakin kwa haya zilizoanishwa hapo juu naona hazikinzani sana na uhalisa wa kisayansi.

Kwa nijuavyo mimi sperm ni mbegu. Hivyo basi chanzo cha uhai ni mbegu. Lakini hakuna uhai bila ya vitu vifuatavyo; ambavyo ndizo element za uhai yaani; Ardhi, Maji, joto na hewa.

Hivyo kwa swali lako yai la mwanamke linasimama hapo kwenye Ardhi, na utambue mbegu haiwezi kumea pasipo na ardhi.
 
Ukitaka tuendelee ni ukubali Umeelewa ama lah, hakuna masuala ya assumptions hapa.

Kisha nitakuelewesha vingine amabvyo nina elimu navyo, kama bado hujaelewa hapo niendelee kutoa elimu ndogo niliyo nayo.
Sperm inabadilika kuwa damu iliyoganda?
 
Kwahiyo manii ni muunganiko wa sperm na ovum? Wewe jamaa sidhani kama una ubongo katika kichwa chako.

Quran inasema tone ndio sperm na hiyo ndio inabadilika na kuwa damu iliyoganda.
Leo tunakugeuza wewe ndo "UBAO" leo ili wengine wajifunze kupitia wewe....Hii video leo utaifungua tu utake usitake,shida yetu tunataka uache kuuliza uliza mambo makubwa kwa mihemko.
Fungua hii
 
Ukristo sio dini. Dini ni jitihada za mwanadamu kumtafuta Mungu. Ukristo ni uhusiano (relationship) na ushirika (fellowship) na Mungu aliyehai.

Hapa Yesu anaitwa Mungu dhahiri shahiri, Yohana 20:27-28

27. Kisha akamwambia Tomaso, “Weka kidole chako hapa. Iangalie mikono yangu. Weka mkono wako hapa ubavuni mwangu. Acha kuwa na mashaka na uamini.”

28. Tomaso akamwambia Yesu, “Bwana wangu na Mungu wangu!”
Ovyo kabisa,,leta andiko Yesu anasema yeye ni Mungu?
 
Hivi akili yako iko sawa mkuu? Mbona unauliza mambo ya kitoto hivi?
Jibu swali acha kurukaruka humu ndani.

Hata hivyo najua akili yako ni ndogo huwezi kuelewa significance ya hilo swali. Wenzako wote wanaelewa ndio maana wanakimbia bila kulijibu.
 
Kwa Nini unaruka stage ya pande la nyama linakuwa mifupa tupu, Yani hapa NDio nime m disqualify Allah kuwa Mungu

Skeleton lipo ndani ya mji wa uzazi , mwanamke si angekufa !
Inatisha. Nyama ikawa mifupa halafu baadae ikavalishwa nyama. Yote haya yametendeka ndani ya tumbo la uzazi.
 
Soma hiyo verse ya kiingereza hapo juu. Kwahiyo sperm inabadilika kuwa damu iliyoganda?
Hakuna verse ya Kiingereza hiyo ni tarjama ya Kiingereza. Unajua kusoma Qur'aan ? Matini ya aya yanetarujumiwa kwa Kiswahili vizuri sana, usiwe unaweka tarjama bila kuisoma Martini ya aya kwanza.

Nakuwekea matini ya Aya Kisha Kisha unionyeshe wapi manii inaingua kwenye damu.

23_14.gif

Main ya Aya hiyo hapo. Onyesha wapi manii yanaingia kwenye damu ?
 
Kwa Nini unaruka stage ya pande la nyama linakuwa mifupa tupu, Yani hapa NDio nime m disqualify Allah kuwa Mungu

Skeleton lipo ndani ya mji wa uzazi , mwanamke si angekufa !
Unapo leta fikra zako za kibinaadamu hapo utakua inafeli kabisa akili yako inapo ishia ndio ya Mungu inapo anzia yote hayo ni chuki zenu tu juu ya Quraan kwa sababu tu inamajibu tosha kuanzia maisha ya mwanadam kabla hajazaliwa baada ya kuzaliwa malezi maisha siasa mpaka kufa na Kisha maisha ya akhera kitu ambacho kitabu chenu hakuna vitu hivi acheni wivu na kitabu chetu
 
Sperm inabadilika kuwa damu iliyoganda?
Kupitia uzi huu umejiabisha mno na umeonyesha jinsi gani ulivyokuwa mtu wa hovyo ,tokea mwanzo nilivyoona umeshindwa kuweka hata tafsiri iliyokuwa sahihi nikaona upo katika levo ya wajinga ambao hawastahili kujadiliana nao .

Kama unataka kupata elimu lazima utilize munkari na mihemko ya kidini kila kitu uweke kwa umakini na elewa Qu'ran siyo gazeti kuwa uchukue kipande kimoja basi ndio inakuwa concept nzima kwani aya au sura moja inaweza kutomaliza au kueleza stage ya pili ya kitu fulani ambacho ukienda kwenye aya nyingine unakuta mwanzo wake au muendelezo ,sasa ukijifanya wewe ndio mjuzi zaidi utapuuzwa tu.
 
Back
Top Bottom