Kwa Nini unaruka stage ya pande la nyama linakuwa mifupa tupu, Yani hapa NDio nime m disqualify Allah kuwa MunguYaani unakomalia kitu ambacho unataka kiwe hivyo Kwa matakwa yako mwenyewe,ni upumbavu ulioje?
Baada ya mbegu ya kiume kukutana na Yai,inakuwa tone la manii, ambalo linaenda sehemu maalumu katika mji WA mimba,hlf katika ukuaji ndo linakuwa pande la damu,then kiumbe kinaanza ukuaji ktk pande la nyama na kadhalika, unachobisha ni nini hasa?
Yaani unashikilia kitu kana kwamba upo sahihi? Acha upuuzi
Skeleton lipo ndani ya mji wa uzazi , mwanamke si angekufa !