Zainab j
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,817
- 2,362
Rudi shuleKwahiyo tafsiri sahihi ni sperm kubadilika na kuwa damu iliyoganda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudi shuleKwahiyo tafsiri sahihi ni sperm kubadilika na kuwa damu iliyoganda?
Alichoandika Allah ni bora kuliko hiyo video. Hatua za uumbaji wa Allah ni hizi hapa:Kwani bro hizo video zilizorushwa umezitazama au ndio ubishi kwanza elimu baadaye
Kumbe tulikuwa tunazungumza na mpuuzi sasa umeleta hoja unaibiwa hutaki umeshika kitabu kilicho kuzidi umri inaonesha kwanza neno fahamu kua quran sio gazeti useme pekeako utaelewa na kama umezikimbia zile video basi hatutarajii kukujibu naona umejaa ubishi kwanza wewe DINI isije tukawa tunazungumza na wasio na DINI kama akina champion hapaVideo ya Nini wakati Koran ninayo
Naomba unipe tafsiri yako ya dini.Sasa mtu unaishi bila ya DINI iweje uwatafute na kuwasumbua wenye DINI zao kwa upuuzi alafu embu zitazame zile video mbili huyu alafu ndio urudie tena hoja yako maana hapo ulipo hata ao wenzio washakuona ueleweki maana huna DINI
KwenuHongera sana. Ulijifunzia madrasa?
Wewe ni stone kisser acha kujifichaMIMI SIO MTU WA DINI ILA NAOMBA NIULIZE SWALI?
KWANINI HAWA WAKRISTO WAMEONEKANA NA CHUKI KUBWA SANA NA HAWA WAISLAM SANA SANA UKU JF AU NI MIMI TU NAONA IVO ?
Hatua ambazo Allah alitumia kuumba ni za uongo mtupu. Hizi hapa chini:Rudi shule
Sawa wewe zipuuzie ila ipo siku utaelewa not now maana hufahamu hata maana ya kama wakubwa wanakaa chini tena wasomi kuliko wewe mara elfu wanafikiri nakutoa majibu kuhusu aya wewe nani tukisikiliza tena kwenye jukwaaAlichoandika Allah ni bora kuliko hiyo video. Hatua za uumbaji wa Allah ni hizi hapa:
Kutoka sperm - kuwa damu iliyoganda - halafu nyama - kisha mifupa - baadae mifupa inavalishwa nyama - ndipo anatokea kiumbe mwingine.
Hatua hizi ni uongo mtupu unaopaswa kupuuzwa.
Ushasema huna DINI tafsiri yaniniNaomba unipe tafsiri yako ya dini.
Mbona Aya Iko wazi kabisa hiyo, Ipo ktk literal meaning ila hao washapigwa mihuri ktk nafsi zao, hawawezi kuelewa hata ukiwapigia mifanoUsisome Quran km unasoma gazeti la nipashe mkuu.....watu wanakaa vyuo vikuu kupata hizo elimu kwa miaka ming sana
Anaetakiwa kificha ujinga ni Muhammad, lakini ni too late kashakufa na ujinga wake upo kwenye vitabuJua halizami wewe ficha ujinga.
Jua lipo palepale tangu unazaliwa Hadi unakufa. Halitingishiki Wala haliyimbi hata cm 2
Fikicha akili
😂😂😂 Allah kasema damu iliyoganda , Yani kwa ujinga huu hamna tofauti na Muhammad , kusema damu iliyoganda inakaa Kwenye mji wa uzazi kwa siku 40Tatizo huna akili halafu hujui km huna akili ...wewe mvaa rozari huna mental ya kukosoa Quran..
Jews na ungwingwi wao wote wameishindwa...Chukua hizo sperm zako halafu Anika juani then ukae baada ya dakika uone km hazigandi...
Sasa si mnasema kuran imekamilika inakila kitu [emoji23][emoji23]Mbona povuNi Ujinga kutaka Wanasayansi walezee maandiko yaliyo kwenye Quran. Unaonesha mtoa mada huna akili.
Kujua sio umbile tu na akili pia , ila mtoto Aisha alikuwa na kamwili kadogo Kuna Hadith analishwa ili awe toto bonge , Muhammad kaanza kulala Nako kakiwa na miaka SITAUnashindwa kutofautisha vyeo bro yule ni mtume ni kiongozi so huwezi mkawa sawa mambo yote alafu hiyo unayo ona ni ngono we ndio ulikuwa doctor was huyo mwanamke ukaona afya yake labda ni dhaifu au hana mwili wa kuhimili tendo la ndoa au umeliona umbile lake likoje we vipi bro kwani alie sema miaka 18 ndio mtu anakua mtu mzima we unavyo dhani yuko sawa yani mtu abalehe na miaka nane alafu aje mtu ameambiwa subiri miaka fulani ndio unakua ushakuahahahhaahhaha
Kwa usahihi ilipaswa kuanziwa aya ya nyuma yake isemayo;Katika soma yangu nimekutana na hii aya. Naona inapishana na baiolojia niliyosoma miaka ile ya sekondari.
Quran 23:14
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji
English translation:
Then We made the sperm drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.
Hapana, na hapa ndipo ulipokosea mtirirko mzima, kuanzia pale aya inapoeleza kuhusu ‘Blood Clot’ inaongelewa hatua ndani ya tumbo la mama na si manii kama manii.Ukisoma tafsiri ya kiingereza na kiswahili unaelewa kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Nikatafuta wataalamu wa tafsiri kuhusu hiyo clot.
Maana ya neno za kiarabu “Alaq”Prof Haanein Muhammad Makhloof, on page 508 of his Dictionary of the meanings of words of the Quran says that the Arabic word alaq translated into English as "clot" means frozen blood.
Hapana, manii huingia kwenye yai kulirutubisha, baada ya kueleza makao ya manii aya ilienda moja kwa moja kueleza yanayotokea tumboni kwa mama.Maswali yangu
1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
Inategemea wakati gani, wakati wa hatua za mwanzo huwa na kitu kama damu iliyoganda.2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
Hapana, inafahamu, na katika Quran 28:14 katika lugha ya kiarabu limetumika neno ‘nutfah’ ambalo wafasiri wamelifasiri kuwa ni yai lililorutubishwa.3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
Hapana, hatua zilizoeleZwa zilielezwa zinazokuwa zinatokea tumboni kwa mama.4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
Kauli ile imetokana na ukweli kuwa hatua za mwanzo za ukuaji wa mwanaadamu tumboni hazitofautiani na za Samaki, Mjusi, Panya, Sungura na wengine mpaka pale mikono na miguu inapoanza kujijenga.5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?
Huo ni mchoro sio picha imepigwa1000 before Islam na hiyo picha alipiga lini?
Damu iliyoganda[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23] Allah kasema damu iliyoganda , Yani kwa ujinga huu hamna tofauti na Muhammad , kusema damu iliyoganda inakaa Kwenye mji wa uzazi kwa siku 40
Tafsiri zinaweza kutofautiana ndio maana nimeomba unipe yakwakoUshasema huna DINI tafsiri yanini
Hakuna lugha ya picha , Muhammad mwenyewe kasema linazama kwenye chemchem ya matope , kwingine kasema ni kwenye kiti Cha Allah ambao chini yake Kuna maji na jua linaongea linamuomba Allah kila sikuCoco beach jua linachomoza baharini,jangwani linachomoza na kuzama mchangani..elewa lugha ya picha