Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Weakness ya Kwanza,,,nipe kifungu kinachosema kuwa Yesu ni Mungu na pili nipe kifungu kinachosema kuwa Ukristo ni Dini,,,,,ukijibu hayo ndio tutakuja kuonyesha uozo WA biblia mpaka mkimbie

Nijibu hayo Kwanza nipo hapa nasubiri!
Hiyo statement ya pili ni kwenye matendo ya mitume wakristu wa Antiokia
 
Mkuu tukiacha ubishi , hakuna kitabu cha dini kinacho eleza uumbaji isipokuwa Qur-an, pili kime jitosheleza pia kimesheheni sayansi kubwa, hv ninyinyi majiulizi kwa nini Qur-an haibadiliki?
Kutobadilika sio tiketi ya kutulisha pumba ,
Mifupa tupu inakaaje ndani ya mji wa uzazi ?
 
Umeandika kwa uzuni kubwa na msononeko wa moyo

Nimeuliza tu mifupa tupu Yani skeleton inawezaje kukaa ndani ya mji wa uzazi ?

Damu iliyoganda inawezaje kukaa siku 40 Muhammad kasema Kwen
Hivi mnaona shida gani kuangalia hii video nyie watu au shida yenu msumbue watu tu humu....mbona haya maswali yote yanajibiwa kwenye hii video,unashindwa nn kufungua au mb hamna?
Hebu fungua hii mjadala uishe
 
Kwa usahihi ilipaswa kuanziwa aya ya nyuma yake isemayo;

28:12
“And indeed, We created humankind from an extract of clay,”

“Na hakika tumewaumba watu kutokana na udongo.”

28:13
“then placed each ˹human˺ as a sperm-drop in a secure place,”

“kisha tukamweka kila mtu kama tone la manii mahali pa usalama.”

28:14
“then We developed the drop into a clinging clot ˹of blood˺, then developed the clot into a lump ˹of flesh˺, then developed the lump into bones, then clothed the bones with flesh, then We brought it into being as a new creation. So Blessed is Allah, the Best of Creators.”

“Kisha tukalifanya tone kuwa pande la damu linaloshikana, kisha tukalitengeneza pande la damu kuwa bonge la nyama, kisha tukaliumba bonge hilo kuwa mifupa, kisha mifupa tukaivika nyama, kisha tukaifanya kuwa kiumbe kipya. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu, Mbora wa Waumbaji.”

28:15
“After that you will surely die,”

“Baada ya hayo hakika mtakufa,”

Hapana, na hapa ndipo ulipokosea mtirirko mzima, kuanzia pale aya inapoeleza kuhusu ‘Blood Clot’ inaongelewa hatua ndani ya tumbo la mama na si manii kama manii.

Maana ya neno za kiarabu “Alaq”
Kwa mujibu wa Dr. Zakir Naik ameeleza kuna maana tatu za neno “Alaq”

1. Kitu kama Ruba (leech-like substance) kiumbile na kitabia
Katika hatua za mwanzo za “embryo” huonekana kama ruba, mbali na muonekano huo pia hua na tabia kama ya ruba kwa maana hupata nutrisheni (nutrition) zake toka kwa mama kupitia placenta.
View attachment 2373715
View attachment 2373716

2. Kitu kinachoshika/ganda (Clinging substance)
Hapa kwa maana ya kuwa “Embryo” huganda kwenye ukuta wa uterus kwa miezi yote 9.
View attachment 2373717

3. Kama Damu (Clot/ Conjured out of blood)
Katika hatua za mwanzo damu huwa haitembei na huonekana kukusanyika sehemu moja.
View attachment 2373719

Hapana, manii huingia kwenye yai kulirutubisha, baada ya kueleza makao ya manii aya ilienda moja kwa moja kueleza yanayotokea tumboni kwa mama.

Inategemea wakati gani, wakati wa hatua za mwanzo huwa na kitu kama damu iliyoganda.

Hapana, inafahamu, na katika Quran 28:14 katika lugha ya kiarabu limetumika neno ‘nutfah’ ambalo wafasiri wamelifasiri kuwa ni yai lililorutubishwa.

Hapana, hatua zilizoeleZwa zilielezwa zinazokuwa zinatokea tumboni kwa mama.

Kauli ile imetokana na ukweli kuwa hatua za mwanzo za ukuaji wa mwanaadamu tumboni hazitofautiani na za Samaki, Mjusi, Panya, Sungura na wengine mpaka pale mikono na miguu inapoanza kujijenga.
View attachment 2373731
View attachment 2373732
So unaokubaliana na evolution. Kuwa watu hawajaumbwa bali walievolve
 
Mjumbe auwawi.

Kama kuna anaweza kutengeza angalau aya moja ktk quran basi uwanja ni wenu.

Mana kuna watu hawataki kuamini kama quran ni maneno ya Allah mwenyewe muumba mbingu na ardhi pasi na nguzo na wala hana mshiirika katika ufalme wake...wenye kupinga wanapinga tu kwa kuwa wana upungufu wa hormones flani kwenye miili yao na pia wana stress za ajira maisha magumu.coz wapingaji wakubwa walikuwa zama zake mwenye mtume muhammad swalahullahu alaih wasalam lakin hawakufanikiwa .itakuwa hawa wa leo mavi kunuka wanaoshinda kwenye betting na wazinifu
Screenshot_20221001-114026_Chrome.jpg
Screenshot_20221001-114033_Chrome.jpg
 
Nimesoma comments zote, nimejaribu kupitia maswali ya msingi ya mleta mada.

Nilichogundua ni kwamba mleta mada hakujiandaa kupata majibu sahihi. Alikuja na majibu yake tayari kichwani hivyo hata kama waislam walioisoma Quran wamempatia majibu sahihi na yenye kueleweka kwa watu wote WENYE AKILI TIMAMU, bado amekataa ana anabishia.

Mtu ametoa aya zinazoelezea process nzima ya uumbwaji wa binadamu tena kwa ufasaha lkn bado mtu anabishia kisa pande la damu.

Swali kwa mleta uzi.
UMEWAHI KUTOA MIMBA/KUTOLESHA MIMBA??
Kama sio pande la DAMU kile ni nini kinachotoka wakati mtoto bado hajaunganika??
Pande la damu mfu Yani damu iliyoganda ndio Allah anasema
Na pia anasema mtoto anakuwa mifupa tupu skeleton ndani ya mji wauzazi , hii issue ingekuwa kweli wapiga utra sound wangekuwa wakiona picha wanazimia 😂😂😂😂
 
Mkuu kwanza naomba nikupe salute maana angalau umekuja na kujenga hoja. Ndugu zako wengi wameleta vihoja

Kisha tukalifanya tone kuwa pande la damu linaloshikana, kisha tukalitengeneza pande la damu kuwa bonge la nyama, kisha tukaliumba bonge hilo kuwa mifupa, kisha mifupa tukaivika nyama, kisha tukaifanya kuwa kiumbe kipya. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu, Mbora wa Waumbaji.”
Sasa mimi nitajikita kwenye huu mstari maana umetoa mtiririko wa uumbaji ndani ya tumbo la uzazi. Hatua dhahiri zinazoonekana hapo ni hizi:

Kutoka sperm - kuwa damu iliyoganda - halafu nyama - kisha mifupa - baadae mifupa inavalishwa nyama - ndipo anatokea kiumbe mwingine.

Huoni kama kuna mkanganyiko mkubwa hapo kwenye nyama kuwa mifupa? Pia damu ikiganda inakuwa imekufa haiwezi kuwa hai.

Kauli ile imetokana na ukweli kuwa hatua za mwanzo za ukuaji wa mwanaadamu tumboni hazitofautiani na za Samaki, Mjusi, Panya, Sungura na wengine mpaka pale mikono na miguu inapoanza kujijenga.
Kwahiyo hapa unataka kusema kwamba mwanadamu hawi mwanadamu halisi kwa tendo la urutubishaji bali anakuwa mwanadamu baada ya kupitia hatua zote za development?
 
Juma kilumbi Allahu akulipe kila la kheri maana huyu champion Na mwenzie mokit hawa kwanza wametumwa kuitukana Dini ya uislamu pili wangesoma kwanza na sio kusoma soma yani waakuankama wapumbavu hawa ndio wanapaswa kuchinjwa
Juma amejenga hoja na nimemjibu kwa hoja. Fuatilia mjadala wewe mfia dini.
 
Mjumbe auwawi.

Kama kuna anaweza kutengeza angalau aya moja ktk quran basi uwanja ni wenu.

Mana kuna watu hawataki kuamini kama quran ni maneno ya Allah mwenyewe muumba mbingu na ardhi pasi na nguzo na wala hana mshiirika katika ufalme wake...wenye kupinga wanapinga tu kwa kuwa wana upungufu wa hormones flani kwenye miili yao na pia wana stress za ajira maisha magumu.coz wapingaji wakubwa walikuwa zama zake mwenye mtume muhammad swalahullahu alaih wasalam lakin hawakufanikiwa .itakuwa hawa wa leo mavi kunuka wanaoshinda kwenye betting na wazinifuView attachment 2373744View attachment 2373745
Allah ni muongo Sana , anatoa challenge wakati ana Aya
Kibao ka copy
Za siafu kaongea ,ndegu HUD, HUD , shetani , na ana surah nzima majini yanaongea ,
 
Bro hawawezi kufungua kwasababu wakristo wengi hawajui kua elimu inatafutwa na sio unakaachumbani na laptop yako unaingia Google ukajiona una elimu umo kwenye video mwenye akili yoyote yule anatajua tu kua mtoa mada hajafanya analysis yoyote kabla ya kuleta jukwaani maana hawajuagi kutafuta elimu wenzetu
 
Sio tafsiri hivyo ndivyo ulivyo sema wewe kua huna DINI alafu pitia Uzi wa juma hapo
Kama huwezi kuleta tafsiri yako basi mjadala umekushinda. Maana inaonesha thamani kubwa kwako ni dini lakini hata huwezi kueleza ni kitu gani hicho.
 
Juma kilumbi Allahu akulipe kila la kheri maana huyu champion Na mwenzie mokit hawa kwanza wametumwa kuitukana Dini ya uislamu pili wangesoma kwanza na sio kusoma soma yani waakuankama wapumbavu hawa ndio wanapaswa kuchinjwa
Amiin allahumma amiin,
Hapana ndugu yangu hawa ni jamaa zetu tunapaswa ku-reason nao taratibu na kuvumilia matusi yao.
 
Aaah, kumbe malaika ni kama vile maroboti...Yani wao ni Yess boss tu hawajiulizi mara mbili...Hawana free will na Mungu anawatumia kama midoli yake..Yani mungu kwao ni dikteta la madikteta ila kwasababu hawana akili hawawezi kuhoji.

Sasa kwanini Mungunasingetuumba na sisi tukawa maroboti hivo hivo ili tusijishughulishe na kumuasi kabisa?
Nimekuja kujibu Kwa heshima yako kwakuwa umeuuliza kama mtu anayejitambua.

Malaika hawana free will kwakuwa wao wameumbwa Kwa kazi maalum Tu,,,ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu.

Kuna ambao wanambawa mbili mbili ,wengine tatu na kadhalika kutokana mapenzi ya Mwenyezi Mungu,wameumbwa Kwa nuru,hawana jinsia ya kiume wala kike,hawali wala kulala, mpaka hapo Kwanza naona umeona jinsi walivyokuwa tofauti na wanadamu na majini.

Ukisema wapo kama maroboti unakosea,na hawana mambo mengi ya kuhoji,,,sehemu moja Tu ambayo tumeonyeshwa wakihoji ni pale alipokuwa anaumbwa Adamu,wao walimwambia Mwenyezi Mungu je Una Muumba kiumbe ambaye atakuja kufanya ufisadi na kumwaga damu?

Mola wao akawajibu kuwa yeye anayajua wasiyo yajua wao,ndio pale baada ya kumuumba,akamfundisha baadhi ya mambo,kisha akawauliza Malaika awatajie majina ya vitu kadhaa,wakashindwa na kisha Adamu akavitaja,ndio pale wakaambiwa wamsujudie Adam Kwa heshima.

Sasa wanadamu na Majini wamepewa free will kwasababu wao ndio wapo katika mtihani hapa duniani,na Malaika hawapo katika mtihani Wana daraja Yao Kwa Mola wao.

Tumepewa free will ili tufanye mema tuingie peponi Aya tufanye maovu tuingie Motoni,,lakini Mwenyezi Mungu hakutuacha Bila muongozo wa kujua mema na mabaya,ndio maana akaleta mitume wake na vitabu vyake kama muongozo wa kuishi hapa duniani,ni juu yetu kufuata au kukataa,kufanya mema au mabaya,,kazi IPO kwetu.

Natumaini nimekujibu ndugu yangu.

Shukrani.
 
Dini ni mfumo mzima wa maisha ya mwanadamu hivyo ni maana general
Hivyo kama huna mfumo sahihi wa maisha yako ndio huna DINI na kuna mifumo mingi ya maisha hivyo ukisikia mtu ni muislamu basi anatuata mfumo mzima maisha ya kiislamu na ukisikia mtu na mpa gani basi ni hivyo hivyo ikiwa mtu hana dini basi hana mfumo wa maisha kabisa na hata anae muamini mchawi kwenye maisha yake basi na Dini yake vilevile inaambatana na kile alicho kiamini na kukifanyia kazi
Asante
 
Nimekuja kujibu Kwa heshima yako kwakuwa umeuuliza kama mtu anayejitambua.

Malaika hawana free will kwakuwa wao wameumbwa Kwa kazi maalum Tu,,,ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu.

Kuna ambao wanambawa mbili mbili ,wengine tatu na kadhalika kutokana mapenzi ya Mwenyezi Mungu,wameumbwa Kwa nuru,hawana jinsia ya kiume wala kike,hawali wala kulala, mpaka hapo Kwanza naona umeona jinsi walivyokuwa tofauti na wanadamu na majini.

Ukisema wapo kama maroboti unakosea,na hawana mambo mengi ya kuhoji,,,sehemu moja Tu ambayo tumeonyeshwa wakihoji ni pale alipokuwa anaumbwa Adamu,wao walimwambia Mwenyezi Mungu je Una Muumba kiumbe ambaye atakuja kufanya ufisadi na kumwaga damu?

Mola wao akawajibu kuwa yeye anayajua wasiyo yajua wao,ndio pale baada ya kumuumba,akamfundisha baadhi ya mambo,kisha akawauliza Malaika awatajie majina ya vitu kadhaa,wakashindwa na kisha Adamu akavitaja,ndio pale wakaambiwa wamsujudie Adam Kwa heshima.

Sasa wanadamu na Majini wamepewa free will kwasababu wao ndio wapo katika mtihani hapa duniani,na Malaika hawapo katika mtihani Wana daraja Yao Kwa Mola wao.

Tumepewa free will ili tufanye mema tuingie peponi Aya tufanye maovu tuingie Motoni,,lakini Mwenyezi Mungu hakutuacha Bila muongozo wa kujua mema na mabaya,ndio maana akaleta mitume wake na vitabu vyake kama muongozo wa kuishi hapa duniani,ni juu yetu kufuata au kukataa,kufanya mema au mabaya,,kazi IPO kwetu.

Natumaini nimekujibu ndugu yangu.

Shukrani.
Bado sijaona tofauti ya malaika na roboti hapa...ongezea nyama.
 
Back
Top Bottom