Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Sasa si mnasema kuran imekamilika inakila kitu [emoji23][emoji23]Mbona povu
Ni Upumbavu kutaka Quran ithibitishwe na Sayansi kama ambavyo pia itakuwa Upumbavu kutaka Biblia ithibitishwe na Sayansi
 
Ngoja nichukue nafasi ya mwisho kukujibu kabla hujaonyesha upuuzi wako

Nimekuonyesha wakihoji juu ya kuumbwa Kwa Adamu? Je roboti linahoji?

Pili hawana free will kwakuwa wao hawana mambo maovu na mabaya,Wana mission maalumu.

Ngoja nione kama umeelewa au laa! Ili nijue najadiliana na mtu anayejitambua au mpuuzi kama MOKITI na Championi!

Kama hawana freewill inakuwaje wanahoji?
 
Hiyo ni lugha ya cheo mkuu kasome bibilia ya kiyunani uone Muhammad katajwa vipi mule someni wakristo msi kariri
Hapa na wewe Mwenzangu unataka kuwafunga Kamba BIBLIA HAIFAHAMU WALA KUMTAMBUA MUHAMMAD SAW. TUACHE UJINGA. Tuwe wakweli. Mimi natumia akili si Ushabiki wa Kipumbavu.😁
 
Hapa na wewe Mwenzangu unataka kuwafunga Kamba BIBLIA HAIFAHAMU WALA KUMTAMBUA MUHAMMAD SAW. TUACHE UJINGA. Tuwe wakweli. Mimi natumia akili si Ushabiki wa Kipumbavu.😁
Inamtambua Sana,,,tupeane Mda mkuu tutaleta ushahidi,pamoja na kujitahidi kufuta alama yake lkn Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu kuna alama zake zipo, kuwa na Subira Tu,,,,
 
wlYaani hata haueleweki unataka nini au unafahamu nini?

Uwe na siku njema.
Mimi sina motivation wala agenda yoyote ninayoipinga au kuitetea..I simply want to understand the truth.
Uliniaminisha kuwa malaika sio kama maroboti kwakuwa wanahoji--nikakuamini.
ila sasa nikapata swali tena, kama wanahoji inamaanisha wana free will?
 
Inamtambua Sana,,,tupeane Mda mkuu tutaleta ushahidi,pamoja na kujitahidi kufuta alama yake lkn Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu kuna alama zake zipo, kuwa na Subira Tu,,,,
Acha kujidanganya na kutaka kujifariji. Nimesoma Quran nimesoma Biblia BIBLIA HAIMTAMBUI MUHAMAD HAYA HUWA TUNAAMBIANA WAKATI FLANI KWA SABABU ZILEE...Lakini kiukweli Muhamad hakuwahi hata fikiriwa kwenye Biblia. Hafahamiki. Tuache kujidanganya nna kudanganya watu.
 
Ndio mnavyodananyana kwenye vijiwe vya kashata!

lete mstari wa kwenye biblia ya kiyunani unaomtaja Mohammed
Bibili mwanzo 1:26 Mungu anasema Tumfanye mtu kwa mfano wetu hiyo
Iyo bibilia hapo katungue kitabu chako uone kataa hapo alafu wewe ni mvivu sana inaonesha kasome song of Solomon cha kihalameik uone Muhammad katajwa tena kwa wingi je Muhammed nao ni wengi
Fahamu kuna wingi wa cheo na hekima na wingi wa idadi akili yako natumai umejibiwa fungua tena bibilia ya kiyahudi mwanzo 1:1 uone ilivyo andikwa kama unajua kiyahudi kama hujui subiri wachungaji wako waje kukuongopea
 
Katika soma yangu nimekutana na hii aya. Naona inapishana na baiolojia niliyosoma miaka ile ya sekondari.

Quran 23:14

Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji

English translation:

Then We made the sperm drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.

Ukisoma tafsiri ya kiingereza na kiswahili unaelewa kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Nikatafuta wataalamu wa tafsiri kuhusu hiyo clot.

Prof Haanein Muhammad Makhloof, on page 508 of his Dictionary of the meanings of words of the Quran says that the Arabic word alaq translated into English as "clot" means frozen blood.

Maswali yangu

1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?

battawi FaizaFoxy Mokiti adriz Kisai
Chuki yako dhidi ya Quran ndio unakusumbua Quran ipo sahihi kwa 100%

Twende kwa hao wanasayansi wako wanasemaje?

Wanasema yai ni cell na damu pia nimuunganiko wa cell Yani white cell na red cell

Yai nilapokutana na sperm kitu Cha kwanza kuonekana ni damu

Na kiumbe kitachopatikana hapo damu ndio inakuwa codinetor katika cell zote Hadi kitapozaliwa na katika maisha yake

Sasa shida yako nini Quran inaposema yai ni damu iliyoganda

Kama hakuna uhusiano wowote kati ya yai na damu hiyo damu uliyonayo wewe imetoka wapi?

Kama wewe unahisi hao wanasayansi wako wanaijua sana damu kiliko Allah mbona hadi Leo hii hawana uwezo wa kutengeneza damu katika hizo maabara zao
 
Acha kujidanganya na kutaka kujifariji. Nimesoma Quran nimesoma Biblia BIBLIA HAIMTAMBUI MUHAMAD HAYA HUWA TUNAAMBIANA WAKATI FLANI KWA SABABU ZILEE...Lakini kiukweli Muhamad hakuwahi hata fikiriwa kwenye Biblia. Hafahamiki. Tuache kujidanganya nna kudanganya watu.
Soma yote song of Solomon sikupi aya maana nyinyi wavivu sana kitabu cha kiharameik shukran
 
Usisome Quran km unasoma gazeti la nipashe mkuu.....watu wanakaa vyuo vikuu kupata hizo elimu kwa miaka ming sana
Kama anaakili timamu hili jibu linamtosha kabisa kuacha kufkiria hicho anachokifkiria akilini mwake.
 
Huyu jamaa Champion naye ni mpuuzi Sana, hapo umemuwekea Aya iko wazi lkn kila komenti anarudia ujinga wake.

Waislamu humu kuna watu wawili inabidi tuwapuuze katika mijadala kwasababu ni WAPUUZI WAKUBWA!

1) MOKITI

2) CHAMPION

Hawajadili kuelimishana Bali kuweka ligi za kipumbavu.

Binafsi naachana nao kabisa!
Allah kasema mifupa tupu ipo ndani ya mji wa uzazi, Mimi unanishambulia ili iweje
 
Hivyo kama huna mfumo sahihi wa maisha yako ndio huna DINI na kuna mifumo mingi ya maisha hivyo ukisikia mtu ni muislamu basi anatuata mfumo mzima maisha ya kiislamu na ukisikia mtu na mpa gani basi ni hivyo hivyo ikiwa mtu hana dini basi hana mfumo wa maisha kabisa na hata anae muamini mchawi kwenye maisha yake basi na Dini yake vilevile inaambatana na kile alicho kiamini na kukifanyia kazi
Asante
Kwa tafsiri yako hii hakuna asiyekuwa na mfumo wa maisha kwahiyo naona ni tafsiri isiyokuwa na sense.
 
Allah kasema mifupa tupu ipo ndani ya mji wa uzazi, Mimi unanishambulia ili iweje
Kama kasema Mungu ashindwi mbona kakutoa katika sehemu ambayo ukitoka hatua weza rudishwa tena ashindwe mifupa tu kaitoa mbegu iliyo kufa ardhini ikakuketa mpunga akakupa akili ya kupinga ya kweli ashindwe hilo la mifupa mbona dogo tu kwani wewe hapo ulipo huna mifupa na kati ya mifupa na ngozi yako kipi kilitakiwa kutangulia kuwepo je mtoto akizaliwa anakua hana mifupa na kama alikua hana aliipata alivyo zaliwa au? Jibu hayo maswali tafadhali
 
Back
Top Bottom