Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani we ndio basi kumbe wakati unakataa ulikuwa ujui unacho kikataa kua aki make Sense hapo ndio unapaswa kushukuru maana umejua tafsiri siku nyingine hutokua unaruka ruka mada bila kujua unacho kikataa au kukikubali au umesahau hoja ilikuwa nini mpaka ukajibiwa hivyoKwa tafsiri yako hii hakuna asiyekuwa na mfumo wa maisha kwahiyo naona ni tafsiri isiyokuwa na sense.
Wewe ni akili ndogo hivyo nakuacha.Inaelekea akili huna sijui umesoma shule zipi zilizokufanya uwe mjinga kiasi hiki ? taratibu ya majadiliano ilibidi wewe uonyeshe usahihi kea kutumia huo usahihi ukosoe upotoshaji unaouita wa kwenye Qu'ran hapo utakuwa umemuelimisha mtu kwani ataweza kucompare na kugundua ukweli na upofu kwa misingi wa ulinganifu.
Sasa unaponiuliza mimi kama hizo hatua zipo sahihi unajua vipi kama nina elimu ya maswala hayo ? hawezi kuwa mwalimu bora kwa kukosa tu jibu la mwanafunzi pasi na kuweka jibu sahihi ili mwanafunzi alinganishe na kugundua makosa na kujifunza na mimi nilikuomba unipe jibu sahihi sasa wewe unapiga kona ukiitwa mwehu kuna makosa ? ndio maana nimesema uzi huu umeonyesha jinsi gani ulivyokuwa mweupe hata skills ndogo tu za majadiliano huna.
Badala ya kujikita kukataza waislam wasile nguruwe ilikuaje kuran ikajichanganya kwenye sayansi tena???Embryology ya Allah na Muhammad huwa inachekesha Sana
Damu inaganda (dead blood) alafu ipo ndani ya mwanamke
Damu iliyoganda inabadilika kuwa pande la nyama ! , Pande la nyama linabadilika linakuwa mifupa tupu alafu mifupa inakuja tena kuvalishwa nyama dah!
Ila sio makosa yake Muhammad, hakuwa na technology iliyokuwepo kipindi icho aweze kujua ukweli wa embriology kwa kuangalia stages
Jaman wapi tena hiyo [emoji16][emoji16] nyie watu mnafurahisha sana. Mm kwkuwa najua wakt Quran ni ya zaman na sut ni ya karne za juzi tu ningechukua hiyo kama point ya kudefend Quran kwa kujua ujio wa suti. I'd be like what a masterpieceKuruani haiko kisomi....
We uliona wapi kitabu cha dini kinaelekezwa watu wenye akili tumamu eti wasivae suti
Acha kudanganya na kujidanganya bwana. Inakufaidia nini? Muhammad hatambuliki kwa Wakristo. HAWAMTAMBUI na sisi wengine tumeridhika hatuoni haja ya kulazimisha maana Muhammad hawahusu Wakristo.Soma yote song of Solomon sikupi aya maana nyinyi wavivu sana kitabu cha kiharameik shukran
Mbona hata wamekatazwaBadala ya kujikita kukataza waislam wasile nguruwe ilikuaje kuran ikajichanganya kwenye sayansi tena???
Nashukuru umeridhika kutokujua ukweli basi na sisi mtuachie aya yetu nyinyi inawahusu nini au mnajua sisi atuisomi hiyo bibilia mka yaka Nyaga sAcha kudanganya na kujidanganya bwana. Inakufaidia nini? Muhammad hatambuliki kwa Wakristo. HAWAMTAMBUI na sisi wengine tumeridhika hatuoni haja ya kulazimisha maana Muhammad hawahusu Wakristo.
Kwa Antony lusekelo halaf waje kusema waislamu wanafuga majini [emoji28][emoji28]Vipi kesho utakwenda kuruka majoka na kupandisha mapepo yanayonena kwa lugha?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa Antony lusekelo halaf waje kusema waislamu wanafuga majini [emoji28][emoji28]
Sijui kama kuna Mkristo mwenye akili anasoma Quran. Kama huyu aliyeandika ni mbabaishaji hawezi kuwa Mkristo. Na kama ni Mkristo basi atakuwa Mpumbavu. Mi nasoma Quran sababu inanihusu na Biblia pia. Wazazi wangu wamegawanyika kwa Dini. So hakuna wa kunidanganya hapo.Nashukuru umeridhika kutokujua ukweli basi na sisi mtuachie aya yetu nyinyi inawahusu nini au mnajua sisi atuisomi hiyo bibilia mka yaka Nyaga s
Wasabato wana bible yao na wengne kina roman wana yao. Ila dini ni ileile iliyofundishwa, sjui iliyoletwa na mwana wa mungu Yesu Kristu[emoji1781] aliyewachanganya wayahud wakamchapa misumari[emoji1787][emoji1787]. Cheza na vichwa vya wayahud unaongea zigzag vitu avielewek afu wakuache[emoji41].Mbona hata wamekatazwa
Mh pole sanaSijui kama kuna Mkristo mwenye akili anasoma Quran. Kama huyu aliyeandika ni mbabaishaji hawezi kuwa Mkristo. Na kama ni Mkristo basi atakuwa Mpumbavu. Mi nasoma Quran sababu inanihusu na Biblia pia. Wazazi wangu wamegawanyika kwa Dini. So hakuna wa kunidanganya hapo.
Inakuaje Dini moja vitabi tofauti yani hiyo ni weakness teyarWasabato wana bible yao na wengne kina roman wana yao. Ila dini ni ileile iliyofundishwa, sjui iliyoletwa na mwana wa mungu Yesu Kristu[emoji1781] aliyewachanganya wayahud wakamchapa misumari[emoji1787][emoji1787]. Cheza na vichwa vya wayahud unaongea zigzag vitu avielewek afu wakuache[emoji41].
Katika soma yangu nimekutana na hii aya. Naona inapishana na baiolojia niliyosoma miaka ile ya sekondari.
Quran 23:14
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji
English translation:
Then We made the sperm drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.
Ukisoma tafsiri ya kiingereza na kiswahili unaelewa kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Nikatafuta wataalamu wa tafsiri kuhusu hiyo clot.
Prof Haanein Muhammad Makhloof, on page 508 of his Dictionary of the meanings of words of the Quran says that the Arabic word alaq translated into English as "clot" means frozen blood.
Maswali yangu
1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?
battawi FaizaFoxy Mokiti adriz Kisai
Asante. Maana ni kweli huwa wengi wananionea huruma kwa kuupenda ukweli. Wananishangaa... Mi sicheki na nyani au wa dini yoyote akileta uongo namchana tu na akitaka niingine ndani zaidi naingia. Maana maamuma ndo huwa wana kelele sanaMh pole sana
Verse inasema sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Yai la mwanamke halihusiki?
Katika soma yangu nimekutana na hii aya. Naona inapishana na baiolojia niliyosoma miaka ile ya sekondari.
Quran 23:14
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji
English translation:
Then We made the sperm drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.
Ukisoma tafsiri ya kiingereza na kiswahili unaelewa kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Nikatafuta wataalamu wa tafsiri kuhusu hiyo clot.
Prof Haanein Muhammad Makhloof, on page 508 of his Dictionary of the meanings of words of the Quran says that the Arabic word alaq translated into English as "clot" means frozen blood.
Maswali yangu
1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?
battawi FaizaFoxy Mokiti adriz Kisai
Ila nakushauri tu usiisome quran chumbani tafuta mtu akufundishe alafu jitahidi kuisoma Yohana iliujiulize ile aya inayo mtabiri issa kua kuna mtaraji atakuja baada yake ana mkusudia naniAsante. Maana ni kweli huwa wengi wananionea huruma kwa kuupenda ukweli. Wananishangaa... Mi sicheki na nyani au wa dini yoyote akileta uongo namchana tu na akitaka niingine ndani zaidi naingia. Maana maamuma ndo huwa wana kelele sana