Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Muhammad anaendela kutema mashudu , Allah embryology

Allah anasema maji ya mwanaume ni mazito na meupe (hapa kapatia) maji ya mwanamke ni membamba na ya njano (apa Muhammad alipiga demu mwenye ugonjwa wa zinaa) , anasema atakae pizi wa kwanza mtoto abafanan nae jinsia ,

"The Messenger of Allah (ﷺ) said: 'The man's water is thick and white, and the woman's water is thin and yellow. Whichever of them comes first, the child will resemble (that parent).'"Sunan an-Nasa'i 200
 
Kupitia uzi huu umejiabisha mno na umeonyesha jinsi gani ulivyokuwa mtu wa hovyo ,tokea mwanzo nilivyoona umeshindwa kuweka hata tafsiri iliyokuwa sahihi nikaona upo katika levo ya wajinga ambao hawastahili kujadiliana nao .

Kama unataka kupata elimu lazima utilize munkari na mihemko ya kidini kila kitu uweke kwa umakini na elewa Qu'ran siyo gazeti kuwa uchukue kipande kimoja basi ndio inakuwa concept nzima kwani aya au sura moja inaweza kutomaliza au kueleza stage ya pili ya kitu fulani ambacho ukienda kwenye aya nyingine unakuta mwanzo wake au muendelezo ,sasa ukijifanya wewe ndio mjuzi zaidi utapuuzwa tu.
Kwa mujibu wa Allah uumbaji uko hivi

Sperm - damu iliyoganda - nyama - mifupa - mifupa inavalishwa nyama - kiumbe kingine.

Sasa wewe kama una akili timamu unaona hiyo trend ni sahihi?
 
Allah anasema maji ya mwanaume ni mazito na meupe (hapa kapatia) maji ya mwanamke ni membamba na ya njano (apa Muhammad alipiga demu mwenye ugonjwa wa zinaa) , anasema atakae pizi wa kwanza mtoto abafanan nae jinsia ,

"The Messenger of Allah (ﷺ) said: 'The man's water is thick and white, and the woman's water is thin and yellow. Whichever of them comes first, the child will resemble (that parent).'"Sunan an-Nasa'i 200
Muhammad alikuwa anafanya guessing lakini watu leo wanasema alikuwa mtume.
 
Kwa mujibu wa Allah uumbaji uko hivi

Sperm - damu iliyoganda - nyama - mifupa - mifupa inavalishwa nyama - kiumbe kingine.

Sasa wewe kama una akili timamu unaona hiyo trend ni sahihi?
Weka hayo makosa maana wewe ambaye unaona sio sahihi ndio jukumu lako ..
 
Hakuna verse ya Kiingereza hiyo ni tarjama ya Kiingereza. Unajua kusoma Qur'aan ? Matini ya aya yanetarujumiwa kwa Kiswahili vizuri sana, usiwe unaweka tarjama bila kuisoma Martini ya aya kwanza.

Nakuwekea matini ya Aya Kisha Kisha unionyeshe wapi manii inaingua kwenye damu.

23_14.gif


Main ya Aya hiyo hapo. Onyesha wapi manii yanaingia kwenye damu ?
Kisai mziki mzito huu , Allah katema pumba sayansi inamuumbua , usijifiche kwenye kiaarabu
 
Jibu hoja Kwanza Acha kukimbia,,,,,najua hata nikupe mwaka mzima hautapata jibu ng'o.

Jiandaeni kujibu siku ya Malipo.
Pale hakuna hoja umejenga zaidi ya kuleta hearsay. Lete verse unazoziongelea tutakujibu.
 
Weka hayo makosa maana wewe ambaye unaona sio sahihi ndio jukumu lako ..
Mifupa tupu , skeleton ipo ndani ya mji wa uzazi , huyu ni mwanamke Allah anamzungumzia au ni kiumbe gani?
 
Moja wapo ya Maandiko hovyo kabisa kutoka katika waandishi WA biblia ni hayo uliyosema.

Malaika hawawezi kumuasi Mola wao Kwanza ndio wasaidizi wake wakuu,pili hawana utashi kama binadamu na majini, na Mungu hawezi kuwapa Malaika mamlaka ya kumsaidia angali anajua kuwa watapotoka, jamani muwe basi mnatafakari lipo ni sahihi na lipi.

Lakini haishangazi kama kuna Maandiko yanasema Mungu alipigwa mtama na yakobo,hivi unajua ukishaanza dhambi ya kumfanya mwanadamu kuwa Mungu basi kila kitu kwenu mnaona Sawa tupu.

Poleni Sana,mnapotoshwa Kwa kukosa maarifa
Aaah, kumbe malaika ni kama vile maroboti...Yani wao ni Yess boss tu hawajiulizi mara mbili...Hawana free will na Mungu anawatumia kama midoli yake..Yani mungu kwao ni dikteta la madikteta ila kwasababu hawana akili hawawezi kuhoji.

Sasa kwanini Mungunasingetuumba na sisi tukawa maroboti hivo hivo ili tusijishughulishe na kumuasi kabisa?
 
Mimi sihitaji dini maana niko ndani ya Kristo.
Sasa mtu unaishi bila ya DINI iweje uwatafute na kuwasumbua wenye DINI zao kwa upuuzi alafu embu zitazame zile video mbili huyu alafu ndio urudie tena hoja yako maana hapo ulipo hata ao wenzio washakuona ueleweki maana huna DINI
 
Unapo leta fikra zako za kibinaadamu hapo utakua inafeli kabisa akili yako inapo ishia ndio ya Mungu inapo anzia yote hayo ni chuki zenu tu juu ya Quraan kwa sababu tu inamajibu tosha kuanzia maisha ya mwanadam kabla hajazaliwa baada ya kuzaliwa malezi maisha siasa mpaka kufa na Kisha maisha ya akhera kitu ambacho kitabu chenu hakuna vitu hivi acheni wivu na kitabu chetu
Umeandika kwa uzuni kubwa na msononeko wa moyo

Nimeuliza tu mifupa tupu Yani skeleton inawezaje kukaa ndani ya mji wa uzazi ?

Damu iliyoganda inawezaje kukaa siku 40 Muhammad kasema Kwenye Hadith ?
 
bado nayo ni amani ambayo wengine inawasaidia na kuwafaa lakini wengine wengine wasione hayo kama ilivyo katika dini
Hapana, science, proved by peers, haina maoni mara mbili. 1+1=2. Asiyeona hivyo huyo usiandamane naye!
 
Weka hayo makosa maana wewe ambaye unaona sio sahihi ndio jukumu lako ..
Huoni makosa hapo kwenye hiyo trend? Hatua za mtoto tumboni ndio ziko kwenye mpangilio huo?

Naurudia tena hapa chini:

Kutoka sperm - kuwa damu iliyoganda - halafu nyama - kisha mifupa - baadae mifupa inavalishwa nyama - ndipo anatokea kiumbe mwingine..
 
Naungana nawewe kua aachane na mambo ya dini kama tu anaona hayamfai na hayampendezi.lakini siafikiani na wewe kuwa dini ni upuuzi.na sijui kama kuna mtu anaishi bila kuamini chochote,kwa sababu hata kuamini sayansi bado nayo ni amani ambayo wengine inawasaidia na kuwafaa lakini wengine wengine wasione hayo kama ilivyo katika dini
Hapa kikubwa ni kuziishi hizo dini,kuacha kuzishiana uongo bali kuishi kwa upendo na haki.

Tukirudi kwa mtoa mada,japo tunamshauri aachane na udini lakini hawezi fanya ivo kirahisi maana ana chembe chembe za (UNAFIKI) ndani yake yaani,anajua anachokifanya,anaonesha ni mtu anayependa taharuki na mafarakano zaidi.
HALI HIYO INAWEZA KUSABABISHWA ZAIDI NA UJINGA(hata kama kasoma,maana sio wote waliosoma wameelimika) NA UTOTO(kutokuyajua maisha hasa katika maarifa na uhalisia wake).
Utamjuaje? kwenye heading kasema anaomba wanasayansi wamsaidie,lakini angalia wanasayansi aliowavuta(tag) Ili wasikose kumpa huo msaada anaohitaji.
Kuhoji,kudadisi ni sawa ikiwa lengo ni kujifunza ila si sawa kama lengo ni kukera au kudharaulisha.
Huyu akivaa rozari yule akivaa hijabu inaathiri vipi maisha ya mtu asiyeamini hadi ahamasishe wengine wavichukie ivo vitu kama achukiavyo yeye?

naungana nawewe kua aachane na hayo mambo kama hayana mana kwake,na naamini AKIKUA KISHA KUYAJUA MAISHA NA KUELIMIKA KISHA AKASTAARABIKA ATAACHA MWENYEWE.

Maana hakuna mtu ajuae yote na mkamilifu kwa kila kitu.
nimelipenda andiko lako, BRAVO
 
Back
Top Bottom