Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Sasa si mnasema kuran imekamilika inakila kitu [emoji23][emoji23]Mbona povu
Ni Upumbavu kutaka Quran ithibitishwe na Sayansi kama ambavyo pia itakuwa Upumbavu kutaka Biblia ithibitishwe na Sayansi
 

Kama hawana freewill inakuwaje wanahoji?
 
Hiyo ni lugha ya cheo mkuu kasome bibilia ya kiyunani uone Muhammad katajwa vipi mule someni wakristo msi kariri
Hapa na wewe Mwenzangu unataka kuwafunga Kamba BIBLIA HAIFAHAMU WALA KUMTAMBUA MUHAMMAD SAW. TUACHE UJINGA. Tuwe wakweli. Mimi natumia akili si Ushabiki wa Kipumbavu.😁
 
Hapa na wewe Mwenzangu unataka kuwafunga Kamba BIBLIA HAIFAHAMU WALA KUMTAMBUA MUHAMMAD SAW. TUACHE UJINGA. Tuwe wakweli. Mimi natumia akili si Ushabiki wa Kipumbavu.😁
Inamtambua Sana,,,tupeane Mda mkuu tutaleta ushahidi,pamoja na kujitahidi kufuta alama yake lkn Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu kuna alama zake zipo, kuwa na Subira Tu,,,,
 
wlYaani hata haueleweki unataka nini au unafahamu nini?

Uwe na siku njema.
Mimi sina motivation wala agenda yoyote ninayoipinga au kuitetea..I simply want to understand the truth.
Uliniaminisha kuwa malaika sio kama maroboti kwakuwa wanahoji--nikakuamini.
ila sasa nikapata swali tena, kama wanahoji inamaanisha wana free will?
 
Inamtambua Sana,,,tupeane Mda mkuu tutaleta ushahidi,pamoja na kujitahidi kufuta alama yake lkn Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu kuna alama zake zipo, kuwa na Subira Tu,,,,
Acha kujidanganya na kutaka kujifariji. Nimesoma Quran nimesoma Biblia BIBLIA HAIMTAMBUI MUHAMAD HAYA HUWA TUNAAMBIANA WAKATI FLANI KWA SABABU ZILEE...Lakini kiukweli Muhamad hakuwahi hata fikiriwa kwenye Biblia. Hafahamiki. Tuache kujidanganya nna kudanganya watu.
 
Ndio mnavyodananyana kwenye vijiwe vya kashata!

lete mstari wa kwenye biblia ya kiyunani unaomtaja Mohammed
Bibili mwanzo 1:26 Mungu anasema Tumfanye mtu kwa mfano wetu hiyo
Iyo bibilia hapo katungue kitabu chako uone kataa hapo alafu wewe ni mvivu sana inaonesha kasome song of Solomon cha kihalameik uone Muhammad katajwa tena kwa wingi je Muhammed nao ni wengi
Fahamu kuna wingi wa cheo na hekima na wingi wa idadi akili yako natumai umejibiwa fungua tena bibilia ya kiyahudi mwanzo 1:1 uone ilivyo andikwa kama unajua kiyahudi kama hujui subiri wachungaji wako waje kukuongopea
 
Chuki yako dhidi ya Quran ndio unakusumbua Quran ipo sahihi kwa 100%

Twende kwa hao wanasayansi wako wanasemaje?

Wanasema yai ni cell na damu pia nimuunganiko wa cell Yani white cell na red cell

Yai nilapokutana na sperm kitu Cha kwanza kuonekana ni damu

Na kiumbe kitachopatikana hapo damu ndio inakuwa codinetor katika cell zote Hadi kitapozaliwa na katika maisha yake

Sasa shida yako nini Quran inaposema yai ni damu iliyoganda

Kama hakuna uhusiano wowote kati ya yai na damu hiyo damu uliyonayo wewe imetoka wapi?

Kama wewe unahisi hao wanasayansi wako wanaijua sana damu kiliko Allah mbona hadi Leo hii hawana uwezo wa kutengeneza damu katika hizo maabara zao
 
Soma yote song of Solomon sikupi aya maana nyinyi wavivu sana kitabu cha kiharameik shukran
 
Usisome Quran km unasoma gazeti la nipashe mkuu.....watu wanakaa vyuo vikuu kupata hizo elimu kwa miaka ming sana
Kama anaakili timamu hili jibu linamtosha kabisa kuacha kufkiria hicho anachokifkiria akilini mwake.
 
Allah kasema mifupa tupu ipo ndani ya mji wa uzazi, Mimi unanishambulia ili iweje
 
Kwa tafsiri yako hii hakuna asiyekuwa na mfumo wa maisha kwahiyo naona ni tafsiri isiyokuwa na sense.
 
Allah kasema mifupa tupu ipo ndani ya mji wa uzazi, Mimi unanishambulia ili iweje
Kama kasema Mungu ashindwi mbona kakutoa katika sehemu ambayo ukitoka hatua weza rudishwa tena ashindwe mifupa tu kaitoa mbegu iliyo kufa ardhini ikakuketa mpunga akakupa akili ya kupinga ya kweli ashindwe hilo la mifupa mbona dogo tu kwani wewe hapo ulipo huna mifupa na kati ya mifupa na ngozi yako kipi kilitakiwa kutangulia kuwepo je mtoto akizaliwa anakua hana mifupa na kama alikua hana aliipata alivyo zaliwa au? Jibu hayo maswali tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…